James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,187
- 15,535
Benediction is light...
Chalie Puth??My best chorus killer 🔥
1. Breezy
2. August
3. Jeremiah
4. Badgirl rir
5. Bieber
Chalie bado amuaona kama Dualipa vile nihatari lakini hao watu niliowaeka hapo ni nyoko sana..Chalie Puth??
Ohoo DuaLipa tenaChalie bado amuaona kama Dualipa vile nihatari lakini hao watu niliowaeka hapo ni nyoko sana..
Kuna mwana kafanya mambo yakeWw mbna imeandikwa drake nan kaedit?!
Kwani hawezi kuimba huyo mchumba?Ohoo DuaLipa tena
Video sio nuhimu ila audio ni hatar
HahaaYeah sio muhimu kwako Goddess
Dada kama vile una chukiHao waache wanajifurahisha tu
Unaweza mchukia usiemjua?! Au chuki kwako ni nn?!Dada kama vile una chuki