AU wakataa wazo la voluntary colonies cities..

AU wakataa wazo la voluntary colonies cities..

Tatizo wamesababisha wenyewe nchi za kiarabu za Afrika kaskazini na mashariki ya kati zilikuwa nchi za amani zilizotulia ambazo raia wake waliishi vizuri mno na wengi hawakuwa na mpango wa kwenda ulaya kama wakimbizi au wahamiaji.

Wazungu wakaanzisha vurumai za mapinduzi ya Arab spring kisingizio kikiwa ooh hakuna demokrasia!!!! kwenye nchi hizo!!! wakazibomoa na mabomu barabara .Chumi zikaporomoka chini sasa wakazi wa nchi hizo wanaona maisha magumu wanaona waende huko huko kwenye nchi za washambuliaji wakakae huko sababu kwao hakukaliki maisha mazuri waliyozoea hayapo tena.

Sasa wazungu waliojitia wana huruma, huruma ya kuwapokea wakimbizi imekatika.Walitakiwa wasiziingilie nchi hizo za kiarabu mambo yao ya ndani ulaya kungekuwa kimya na kusingekuwa na ugaidi duniani.Wao wakiona nchi imetulia wanachotakiwa kufanya ni kuiacha iendelee kutulia kwani ikilipuka hata kwao kutakuwa si salama.Sasa hivi Wakimbizi ni agenda ya kisiasa ujerumani wakati kabla ya hapo haikuwepo.Waliposhambulia miinchi kama Iraq ndio ukaanza kuzaliwa ugaidi mbaya kabisa.

Nchi kama Somalia ilitawaliwa na dikteta Siad barre kwa miaka kibao lakini Somalia ilikuwa taifa moja na lililotulia.Marekani na Ulaya wakajitia na videmokrasia vyao kuwa somalia inatakiwa itawaliwe kidemokrasia ya nchi za Magharbi wakaondoa mzee wa watu hawakujua aina ya watu kama wasomali wanatakiwa kutawaliwa kidikteta.Mwarabu na msomali utawala unaomfaa ni wa kidikteta au kifalme ndio panatulia.Mpaka leo marekani na ulaya hawajui nini kifanyike somalia.Nchi haikuwa na magaidi imezalisha magaidi wa ALSHABAB baada ya SIAD BARRE kuondolewa.Wanajuta kuingilia Somalia.Kila nchi ina aina ya watu na staili za kuwatawala na kuifanya itulie hawa wamarekani na ulaya wanajifanya wana solution ya utawala ya aina moja kwa dunia nzima.They are wrong.Hiyo miundo na mifumo yao ya kidemokrasia,ushoga,usagaji na ndoa za jnsia moja inafaa huko kwao sio muarobaini wa kila nchi!!!!!Ulaya Na marekani zamani walikuwa Na watu wenye akili sana kwenye mambo ya utawala wa ndani na wa kimataifa sasa hivi hawana watu.Very sad

Hilo tatizo wamelitengeneza wenyewe hiyo miji waijenge huko huko kwao
Mtasingizia wazungu kwa mengi.

Wazungu hawakuanzisha hayo mapinduzi bali waliyaunga mkono. Waarabu walitakiwa wake na uwezo wa kumanage mambo Yao. Period. Kama kisingekuwa tamaa ya madaraka wangeweza kutransform na manage situation.

Hayo matatizo yatakuwa kutokea kwenye hadhi ya nchi za kiafrika including Tanzania. Kwa Tanzania hii tabia ya wao kujidai kuwa wana uwezo na akili ya kuongoza nchi kwa sababu wako ndani ya chama flani kuna siku itaback fire tu.
 
Haya wazungu waliowaunga Mkono si wawasaidie Ku manage hiyo crisis mbona Wazungu wamewatoroka na kuwatelekeza hao waliowaunga Mkono? Si wawasaidiie Ku manage nchi ziwe na utulivu kama ziilivyokuwa kabla? Miinchi mbona haiko manageable kabisa ,inazalisha migaidi na mikimbizi tu na ina vurugu kutwa? Wazungu wenyewe hata kutembelea hawaendi tena wanaogopa kulipuliwa wakati kabla walikuwa wakienda Bila hofu.
 
Ninachojaribu kusema hapa tatizo siyo wazungu. Tatizo ni sisi wenyewe kushindwa kuendeshwa nchi zetu mpaka kusababisha haya matatizo.
 
Wewe uliyeleta uzu huu na kushabikia kujengwa mji hiyo ni mzungu, siyo mwafrika. Maana kama wewe ni mwafrika utakuwa ni mtumwa (slave). Na ni mtumwa anayefurahia huo utumwa. Mwafirika haswa na akili zake atalaani kitendo hicho mpaka kufa.
Badala ya kumshambulia mleta mada nadhani kwanza mngemuomba vyanzo sahihi vya taarifa yake hiyo. Baada ya hapo ungejikita kwa kujadili mantiki iliyopo kwenye mada husika.
Labda nikuulize, Je, Mwafrika gani unayemuongelea wewe kwamba atalaani kitendo hicho mpaka kufa?
 
Huna akili kabisa...mpumbavu mkubwa wee na punguani. Yaani bado unaamini katika kukombolewa na wazungu? We mjusi wa mabaka-mabaka. Yani ukubali hawa nguruwe wakishoga waje wajenge miji hapa na waiendeshe wao ktk nchi yako? Aisee ngoja ntakupata na lazima nikufumue pusi mkubwa kabisa.
Wakati unatukana nawe umeyasikia matusi hayo simply means umejitukana na wewe pia.
 
Katika jitihada za kuokoa maisha ya vijana wa Kiafrika wanaozamia Ulaya (na wengi wao kufia njiani) waziri wa masuala ya Afrika wa Ujerumani Gunter Nooke alipendekeza kuwa nchi za Ulaya ziwekeze katika kujenga miji kwenye nchi za Kiafrika lakini miji hiyo iendeshwe na Wazungu kwa angalau miaka 50.

Viongozi wa Kiafrika wamelikataa wazo hilo (and most likely hawa wa kwetu walikuwa wa kwanza kupinga). Mnajua sababu kubwa ya maana ya wao kupinga?
Wanajua kuwa wazungu watafanya vizuri zaidi (na kwa kuwa viongozi wetu wa Kiafrika wanajijua kamwe hawana uwezo wa ku-match standard itakayowekwa na wazungu) WANAOGOPA KUAIBISHWA NDANI YA NCHI ZAO WENYEWE HUKU RAIA TUKISHUHUDIA.

Williamson Diamonds waliujenga mji wa Mwadui kwa mfano huo. Kaangalie leo ulivyo baada ya sisi kuachiwa.

Lumumba fc njooni mjibu tuhuma.

mkuu umeongea kweli tupu......
wazungu hata wakipewa singida ndani ya miaka 3 litakua jiji
 
Huna akili kabisa...mpumbavu mkubwa wee na punguani. Yaani bado unaamini katika kukombolewa na wazungu? We mjusi wa mabaka-mabaka. Yani ukubali hawa nguruwe wakishoga waje wajenge miji hapa na waiendeshe wao ktk nchi yako? Aisee ngoja ntakupata na lazima nikufumue pusi mkubwa kabisa.
mara 1000 wazungu kuliko hawa wakoloni weusi miaka 50 ya uhuru ni porojo tu na vichwa vyao kama madenge
 
Huyo Mzungu aliyetoa hilo wazo ana akili nyingi na anaona mbali sana!, Infact hilo wazo ni zuri mno na linapaswa kufanyiwa kazi!. Hoja hapa siyo kutawaliwa na Mzungu, Bali hoja iwe ni Kuongozwa na Yeyote mwenye uwezo wa kudeliver na kuleta maendeleo!. Chukulia mfano, Kwenye ishu za Management na Makampuni tumeshaanza kuchukua Wataalamu kutoka ulaya, America, South Afrika , yaani popote pale ILIMRADI AWE NA UWEZO WA KUDELIVER NA KULETA MAENDELEO NA HALAFU SISI BADO NDO WENYE SAUTI.

Kwenye Michezo tumeshaanza kutumia Makocha wa nje ya nchi, bado kwenye Uongozi wa Kisiasa tu, Na naamini hii ndo itakuwa Model ya kuendesha mambo duniani miaka 100 Ijayo. Kama tuna Maono basi tuanze Mapema, tuonyeshe njia

Mimi sioni hatari kwa Mfano Marehemu Mzee Mandela wakati alipokuwa hai angekuwa Raisi wa TZ, au Bill Clinton au Mahathir Muhammed, Hoja ya Msingi ni kwamba Sisi ndo tunampa kazi, atutumikie kisha tunamlipa Ujira wake, akishindwa tunamtoa tunamuweka mwingine bila kujali ni Mweusi, Mzungu, Mchina etc!

HOJA SIYO KUTAWALIWA, HOJA NI KUONGOZWA NA YEYOTE MWENYE UWEZO KWA RIDHAA YAKO MWENYEWE!

Hii Model ya Uongozi ni model ya Future, Vizazi vya Mbele sana vitaangalia uwezo wa mtu kudeliver then watamlipa awaongoze bila kujali anatoka nchi gani!.

Hii mipaka tunayojifanya tunailinda, wametuchorea Wazungu anyway, Kwetu ni Duniani na Kila aishiye Duniani mimi ni Ndugu Yangu!

Kama tunaamini Kuna Nchi ni Development Partners, sasa kuna Ubaya gani wakija nchini tukafanya partnership ya ukweli hapahapa, Walete Mitaji, Walete Uongozi Bora, Walete Siasa Safi, Watu tupo, Ardhi Ipo LAKINI CONDITION NI MOJA TU, SISI NDO WENYE NCHI NA NDO WENYE SAUTI YA MWISHO!

BINADAMU WOTE NI NDUGU ZANGU NA AFRIKA NI MOJA
Unakichaa wewe
 
Katika jitihada za kuokoa maisha ya vijana wa Kiafrika wanaozamia Ulaya (na wengi wao kufia njiani) waziri wa masuala ya Afrika wa Ujerumani Gunter Nooke alipendekeza kuwa nchi za Ulaya ziwekeze katika kujenga miji kwenye nchi za Kiafrika lakini miji hiyo iendeshwe na Wazungu kwa angalau miaka 50.

Viongozi wa Kiafrika wamelikataa wazo hilo (and most likely hawa wa kwetu walikuwa wa kwanza kupinga). Mnajua sababu kubwa ya maana ya wao kupinga?
Wanajua kuwa wazungu watafanya vizuri zaidi (na kwa kuwa viongozi wetu wa Kiafrika wanajijua kamwe hawana uwezo wa ku-match standard itakayowekwa na wazungu) WANAOGOPA KUAIBISHWA NDANI YA NCHI ZAO WENYEWE HUKU RAIA TUKISHUHUDIA.

Williamson Diamonds waliujenga mji wa Mwadui kwa mfano huo. Kaangalie leo ulivyo baada ya sisi kuachiwa.

Lumumba fc njooni mjibu tuhuma.

Hebu mkuu
Tujarib kuwa serious kwny issues zngne
N kwel kuwa hil nalo linahtaj siasa za ulumumba na ufipa kulielewa

Yan mtu arud ardhin mwako na aendeshe masuala kadha wa kadha ktk nchi yako.???
And stil tulete siasa zetu za ukijani na unyumbu???

Hvi wazee wetu walopoteza maisha yao kulikomboa bara hil tunawachukuliaje????

Ah
Nashindwa hata kuendelea kuandika kwa kwel
Na hii ndo jf
 
Katika jitihada za kuokoa maisha ya vijana wa Kiafrika wanaozamia Ulaya (na wengi wao kufia njiani) waziri wa masuala ya Afrika wa Ujerumani Gunter Nooke alipendekeza kuwa nchi za Ulaya ziwekeze katika kujenga miji kwenye nchi za Kiafrika lakini miji hiyo iendeshwe na Wazungu kwa angalau miaka 50.

Viongozi wa Kiafrika wamelikataa wazo hilo (and most likely hawa wa kwetu walikuwa wa kwanza kupinga). Mnajua sababu kubwa ya maana ya wao kupinga?
Wanajua kuwa wazungu watafanya vizuri zaidi (na kwa kuwa viongozi wetu wa Kiafrika wanajijua kamwe hawana uwezo wa ku-match standard itakayowekwa na wazungu) WANAOGOPA KUAIBISHWA NDANI YA NCHI ZAO WENYEWE HUKU RAIA TUKISHUHUDIA.

Williamson Diamonds waliujenga mji wa Mwadui kwa mfano huo. Kaangalie leo ulivyo baada ya sisi kuachiwa.

Lumumba fc njooni mjibu tuhuma.

Nakuubga mkono watu weusi wanaukoloni wa viongozi ambao wanajilimbikizia mali, hawataki kutoka madarakani, hawapendi kushindana kwa hoja! Wanaenda kila leo Ulaya lakini kuijenga miji yetu vizuri hawataki zaidi wanaiba pesa na kwenda kuzitunzia huko.
Tuseme ukweli sisi yumeshindwa kujitawala kwa usawa na umoja.
 
Wewe uliyeleta uzu huu na kushabikia kujengwa mji hiyo ni mzungu, siyo mwafrika. Maana kama wewe ni mwafrika utakuwa ni mtumwa (slave). Na ni mtumwa anayefurahia huo utumwa. Mwafirika haswa na akili zake atalaani kitendo hicho mpaka kufa.

Asante sana kwa maneno yako mtumwa wa hiari kwa ccm. Angalau sisi tunajua kuwa weusi wenzetu wanataka tuwe watumwa wao na ndio maana HATUTAKI UTUMWA MILELE.
 
Back
Top Bottom