Habari za jioni ndugu zangu wanachit-chat, natumai mpo salama salmini.
Nawaandikia ujumbe huu ili muwe makini sana na huyu jamaa kwani ameingia humu jukwaani kwa kazi kuu ya kuwatafutia watu ban. Ameshafanikiwa kwa baadhi ya member na bado anawatafutia wengine ban.
Huyu bwana ID yake inafanana na watu weupe na kakabila fulani hapa Bongo.
Staili anayotumia ni ya kupost vitu vya kukera na mara utakapompa neno baya mara moja anakureport kwa mod ili uende jela. Kuweni makini na huyu bwana.
UPATAPO UJUMBE HUU MJULISHE NA MWENZIO.
Ahsanteni na jioni njema.