Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
- Thread starter
- #61
Ni katika kumsaidia tu jamaa, coz kuna mtu wanafahamiana, alichanganyikiwa bw Harusi!!!!
hapo kwenye red iyo siyo kazi yao
hapo kwenye red iyo siyo kazi yao
unaonekana ni dada mpole kwa mawazo yako duu sikufikilia kama ungefika kuwaza haya, hata wewe unataka ushake haaaa!hapa ni sheki weli bifoo usi,ebo!!!
Sitaki magumashi kbs!!!
unaonekana ni dada mpole kwa mawazo yako duu sikufikilia kama ungefika kuwaza haya, hata wewe unataka ushake haaaa!
Haaa haaa,Hahahahaaa!!! Cantalisia una mambo!!!!
Haa haaa haa!!!unaonekana ni dada mpole kwa mawazo yako duu sikufikilia kama ungefika kuwaza haya, hata wewe unataka ushake haaaa!
KWELI AISEE daaaa!Mahitaji ya wakubwa hayana mpole
hahahhah umenifurahisha sana sasa nani akubali kulipa mahali kabla hajaitest??Haa haaa haa!!!
Nilishastuka siku nyingi ati,
Kwan wapole ndio wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia???
Akilipa tu mahari lzm nifanye riheso kabla ya pafomansi ebo?
Habari ndio hiyo,hahahhah umenifurahisha sana sasa nani akubali kulipa mahali kabla hajaitest??
au wewe unapenda utest vp kuhusu mwenzio!
HALAFU AKUPIGE KISHA AKUMWAGE!
Upo uwezekano huyo bibi harusi alishakuwa mjamzito mimba ya huyo dowezi, aliamua kumkimbia mumewe akidhani analinda ukweli wa uovu wake, mimi nadhani huyu bibi harusi aheshimiwe, aulizwe nini mustakabali ndoa yake, atamke kwa mdomo wake na bwana harusi atekeleze ikiwa itakuwa ni tofauti na kuendelea na maisha ya ndoa, bwana harusi akumbuke aliaye mwanzo hucheka mwisho na achekaye mwanzo hulia hatimaye. pole sosi.
Habari zenu wana JF!!
Ni wiki 2 sasa zimepita baada ya kutokea kisa kitaani kwetu kilichokuwa kama movie flani hivi lakini ni cha kweli. Jamaa wa kitaani kwetu aliamua KUOA na kufuata taratibu zote; KUCHUMBIA,KUTOA MAHARI, SEND OFF na mwisho HARUSI iliyofaana sana.
Baada ya harusi MUME an MKE wakaenda HONEY MOON ili kukamilisha ndoa kwa lile tendo lenyewe lakini Bi HARUSI akagoma sababu alikuwa amechoka sana na mishe za Harusi toka asubuhi, Bw Harusi akawa mwelewa coz anajua mali ni ya kwake siku zote na kuvumilia hadi asbh.
Kumekucha Bi. Harusi akaenda kuoga then Bw. Harusi akafuatia kwenda bafuni, alipotoka kuoga akamkuta mkewe keshavaa na kupendeza. Akamwambia mumewe kuwa anaenda hapo supermarket kuchukua Dawa ya meno ndo HAKURUDI TENA.
Baada ya uchunguzi wa Usalama wa Taifa na police wakaenda kumpata Tabora na huyo mchumba mpya aliyemtorosha na kumuoa badala ya MUME wa ndoa!!! hivi sasa wamekamatwa na Police inasubiliwa Bw.Harusi aamue nini cha kufanya!!
Ingekuwa wewe ungeamua nini????!!!!! Toa maoni. Ahsanteni mimi nilikuwa best man kwenye SEND_OFF nmeombwa ushauri.
Are you serious??
Bibi harusi aulizwe nini wakati alishajiondokea?? Kuna kitu kweli kinaongea vizuri bila kuacha utata kama matendo?
Naamini huyo bibi harusi akiulizwa atawapa majibu ambayo hawatakaa wayasahau!!