Atorokwa na MKE siku moja baada ya harusi!!! Toa maoni

hapo pekundu kaka!?
kuna kumuudhi gani baba mchungaji kunakoweza kuwa zaidi ya hiki alichofanya sasa!!? ongeza na aibu kwao na kwake! Mi nadhani ni waluwalu tu hakuna cha zaidi!
Angeweza kukimbia kabla hata ya ndoa, and that would have saved her all this ambarrassment to herself and her family! Na unajua yanayosemwa, mabaya au mazuri, yanaumba!
And to the one you have just called 'her lover', very poor planner! sees not beyond his nose! Binafsi kanikera.

Inaitwa kusogeza mbele matatizo mkuu....binadamu tuna tabia hiyo sana...
Tunaahirisha matatizo, na matokeo yake ni kuongeza matatizo mengine....badala ya kuyakabili yaishe....
Hapa kila mmoja ana 'share' yake ya lawama....kuanzia binti, baba yake, mama yake, 'muoaji' na 'mwizi'.....
 
kwanza nampa pole huyo Kaka kwani kwake hilo ni jaribu,
pili yawezekana huyo dada kuna roho tu ya kipepo ilimwingia kama ujuavyo shetani amekua akiwawinda sana watoto wa watumishi na umesema huyu dada baba yake ni mchungaji hivyo yawezekana kabisa hakua amekusudia kumsaliti,
tatu yawezekana huyu dada alikua ana kisasi chake moyoni baada ya kutendwa akaona alipizie kwa mtu asiyekua na hatia,
mwisho kama neno lisemavyo mtu asimwache mkewe isipokuwa kwa sababu ya uzinzi basi kijana anaweza akaendelea na safari yake japo tunaambiwa samehe sasa sijajua inakuaje maana tena tunaambiwa alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe..
 
ndio mambo ya kuuzia mbuz kwenye gunia hayo.......
landa alichokitarajia sicho mmh kaz kwel kwel
 
Hii stori niliipata mitaa flani hivi, inasemekana mwanamke mwenyewe yupo Dar. Yule demu ukimuona ni mkimya flani hivi coz niliwai kukutana nae mara kadhaa wakati anasoma Mlimani, ila kumbe halmashauri yake ya akili sio nzuri. Mwambie huyo msela kwamba mapenzi hayalazimishwi, kama demu kaamua kusepa aachanenae tu.
 
Pole zake bwana harusi,haya mambo yakuuziana mbuzi kwenye gunia kwa kuogopa kutenda zambi wakati zambi zingine watu wanazitenda bila aibu,haya ndio matokeo yake,watu wanatakiwa waanzane mapema na kujuana vizuri ktk nyanja zote mpaka mkifikia kwenda mbele ya padiri mmesharizika wote,sasa hapo labda bi harusi kahisi huyu jamaa atakuwa na tatizo au kapewa stori to katoka nduki kufuata kipoozeo chake alichokizoea,ajipange upya na siku nyingie asikubali kucheza bahati na sibu maishani.
 
Ninachofahamu ni EAG na si TAG, ebu fatilia vizuri best man!!!!



Hakulazimishwa tena ni mtoto wa MCHUNGAJI kanisa moja la TAG!!
Siku ya SEND-OFF mimi nilikuwa shahidi walikuwa wanaonesha wanapendana sana hakukuwa na tofauti yoyote!!
Mchungaji naye alisema aliwaita ofsini kwake b4 uchumba na kuwauliza mara nyingi sana kama kweli wameamua kuoana!!!
Walipeana mabusu mengi mbele ya mchungaji!!!!!!
 
Watu wengine bana mnafikiri kila kitu ni story tu!!!
Ngoja ikutokee ndo ujue kuna wanawake wa design hii!!
Cha kufanya ungerekebisha tu au ungekaa kimya, pia check Matron ina maana gn ndo ukurupuke kujibu!!!


Du!! Hekaya za Abunuasi!! Katika send off tunakuwa na best mana ama Matron?? Naona kinyaa kuchangia kwani uongo huo hauna mashiko katu!!

Muona Erick akupe angalizo katika utunzi wa hadithi!!
 
Kwahiyo zile issue za kilokole ndo tuziache!!!
Inabidi tusivunje amri ya 6 Cantalisia!!!!!


Haa haaa haa!!!
Nilishastuka siku nyingi ati,
Kwan wapole ndio wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia???
Akilipa tu mahari lzm nifanye riheso kabla ya pafomansi ebo?
 
wacha niende chooni nikalie...... hawa wadudu wanaofanana na watu ni wabayaaaa,,,,,,, uwiiiiu!!!""""""
 
dah huyo dada kweli alikuwa hajatulia...Mungu wangu eeeeeee....hilo tatizo lingewakumbuka wengi...namshukuru Mungu sikubahatika kwenye huo mkasa sijui leo ningelia vp....mie nilijitoa kwenye mchakato baada ya kusikia kuna watu wengine kwani nami nilimpenda kwa sababu ya tabia zake na kwakuwa ni mlokole.
sasa hapa nasita kuoa hata huyo mlokole....maana km huyo dada alikuwa na tabia hiyo basi wasafi hakuna
 
Watu wengine bana mnafikiri kila kitu ni story tu!!!
Ngoja ikutokee ndo ujue kuna wanawake wa design hii!!
Cha kufanya ungerekebisha tu au ungekaa kimya, pia check Matron ina maana gn ndo ukurupuke kujibu!!!

inaweza kuwa kweli imetokea. tatizo ni hizi chumvi unazoongeza wewe, kwa mfano unaposema "usalama wa taifa walisaidia kupatikan kwa binti". hiyo ni kazi ya usalama wa taifa????. ukitaka kuaminiwa jifunze kuongea kile ulicho na uhakika kuwa kilitokea, ambacho hukijui achana nacho. kumbuka hizo sentensi zisizo na logic ndo zinamaliza nguvu ya habari yako, na hii siyo hapa tu sehemu nyinginen yoyote ukiongea ongea unachokijua, achana na kuongezea maneno ili mradi story iwe ndefu, unajiharibia
 
inaweza kuwa kweli imetokea. tatizo ni hizi chumvi unazoongeza wewe, kwa mfano unaposema "usalama wa taifa walisaidia kupatikan kwa binti". hiyo ni kazi ya usalama wa taifa????. ukitaka kuaminiwa jifunze kuongea kile ulicho na uhakika kuwa kilitokea, ambacho hukijui achana nacho. kumbuka hizo sentensi zisizo na logic ndo zinamaliza nguvu ya habari yako, na hii siyo hapa tu sehemu nyinginen yoyote ukiongea ongea unachokijua, achana na kuongezea maneno ili mradi story iwe ndefu, unajiharibia
mkuu naomba usimtuhumu huyu jamaa ila jinsi ilivyokuwa ni balaaaaaa ilidhaniwa katekwa eti ikabidi hadi ufuatiliaji wa simu ya mawasiliano utumike na ndipo alipojulikana sehemu alipo
 
Mimi NIngeshukuru Mungu Kwani Kisichoriziki hakiliki. "Shukuruni kwa kila jambo" huenda umeepushwa na jambo kubwa ambalo lingekupata. Kinga ni Bora kuliko tiba japo hekima ya hali ya juu inatakiwa kwa hili.
 
Jamaa yetu naye alichemka sana kwa kijifanya anajua taratibu za kanisa,mila na destuli.Wenzake siku hizi tunanunda mimba kwanza harafu demu anajileta mwenye mimba ikimbana.Hizo taratibu kwa mademu wa kileo ni uzalirishaji.Naomba hilo liwe fundisho kwa wengine wenye malengo kama hayo.Njia rahisi ni kupiga mimba tu.
 
Hapo umenena bulaza!!Tatizo watu wengine wanakurupuka kujibu bila kusoma kila kitu!!!!
Soma kwanza b4 hujajibu thread!!


mkuu naomba usimtuhumu huyu jamaa ila jinsi ilivyokuwa ni balaaaaaa ilidhaniwa katekwa eti ikabidi hadi ufuatiliaji wa simu ya mawasiliano utumike na ndipo alipojulikana sehemu alipo
 
Back
Top Bottom