Atorokwa na MKE siku moja baada ya harusi!!! Toa maoni

Bibi harusi ni muuaji huyo!

Hata kama ana sababu...hawezi kumshawishi mtu kwamba ilikuwa fair kulipiza kisasi namna hiyo!

Jamaa apige moyo konde na kuanza mchakato upya....Sheria imsaidie kupata haki yake ya talaka. Vinginevyo ataendelea kujulikana kama mume halali wa huyo mwanamke!

Kwa Wakatoliki ndoa inakamilishwa na tendo la ndoa...sina hakika ya taratibu za makanisa mengine.....
 
Sawa ila hawa jamaa tayari walishatia mkono kwenye paper!!

Hapo hakuna ujanja...lazima waonane na wale waheshimiwa wanaoongela lugha yao wenyewe wawasaidie kutafsiri sheria ya Mwaka 1971!!
 
Usalama wa Taifa walifuatilia sms za mwisho na kujua alipo na kuona kuwa walikuwa wanawasiliana na jamaa hadi tym ya kutoroshwa!!
Inamaanisha kuwa HAKUTEKWA ili ilikuwa PLANNED!!!!

inategemea na "kilichomkuta alipoenda supermarket kununua coligeti ya kusafishia meno"...inawezekana ALITEKWA NYARA NA KUPELEKWA KUSIKOJULIKANA NA WASIOJULIKANA ....

pia inawezekana bi-harusi ana matatizo ya akili thats y alifanya kituko cha karne ijayo kwa tanzania ila kwa wenetu kina kim kardashian ni simpo tuuu....
 
Labda Bw Harusi hakuweza kumla TIGO akaona hawezi maisha ya Ndoa bila TIGO
 
Kwa Wakatoliki ndoa inakamilishwa na tendo la ndoa...sina hakika ya taratibu za makanisa mengine.....

Sawa ila hawa jamaa tayari walishatia mkono kwenye paper!!

Hapo hakuna ujanja...lazima waonane na wale waheshimiwa wanaoongela lugha yao wenyewe wawasaidie kutafsiri sheria ya Mwaka 1971!!
Sheria inasemaje?
 
Jamaa keshatoa Talaka cz Tendo la kukamilisha ndoa halikufanyika!!!
Nini kifuate??!!

Bibi harusi ni muuaji huyo!

Hata kama ana sababu...hawezi kumshawishi mtu kwamba ilikuwa fair kulipiza kisasi namna hiyo!

Jamaa apige moyo konde na kuanza mchakato upya....Sheria imsaidie kupata haki yake ya talaka. Vinginevyo ataendelea kujulikana kama mume halali wa huyo mwanamke!
 
Usalama wa Taifa walifuatilia sms za mwisho na kujua alipo na kuona kuwa walikuwa wanawasiliana na jamaa hadi tym ya kutoroshwa!!
Inamaanisha kuwa HAKUTEKWA ili ilikuwa PLANNED!!!!

Mkuu kuna sehemu fulani ya hii hadithi hujaiweka wazi.....
Ni kwa nini binti akubali ndoa halafu asepe ndani ya saa 24!
 
Hivi hata polisi ni usalama wa taifa?

Mi huwa nadhani usalama wa taifa ni kikundi cha hata mie sijui
ila huwa ni separate entity na polisi.

Usalama wa Taifa walifuatilia sms za mwisho na kujua alipo na kuona kuwa walikuwa wanawasiliana na jamaa hadi tym ya kutoroshwa!!
Inamaanisha kuwa HAKUTEKWA ili ilikuwa PLANNED!!!!
 
Hapo ndo pagumu RR, Bi Harusi hana la kusema kuhusu hilo!!!!

Mkuu kuna sehemu fulani ya hii hadithi hujaiweka wazi.....
Ni kwa nini binti akubali ndoa halafu asepe ndani ya saa 24!
 
Lizzy, Mahari vp?? Gharama za harusi vip?? Time na Fedheha vp??

Angekua mjanja hayo madai yangefuatana na atalaka. Kama bado hajatoa talaka kisheria atafute mwanasheria mzuri aangalie ni kwa namna gani anaweza kupata fidia alafu awape hao wazushi offer. Wakikataa asisaini makaratasi ya talaka ili huyo dada aendelee kuwa mke wake kisheria ,kumnyima uhuru wa kuruka kimanga na huyo jangili mwenzake.
 
daaah huyo dada balaa sasa madhabahuni alikwenda fanya nini...........huyo jamaa atoe talaka tokomea kabisa asikubali msamaha kutoka pande zote nini gharama aone aliibiwa stand kama alivyoibiwa mke
 
Back
Top Bottom