Athumani Ally Maumba aliyetikisa miaka ya 1980s kwa kulawiti wanafunzi yupo wapi?

Huyo bibi alifanya nini ,samahani sie wengine wa 90's mkuu
Asha Mkwizu alimuua mumewe kwa shoka alimvizia amelala, kisha akamkatakata vipande na kumweka kwenye viroba, akaenda kumzika uani. ..nafikiri alinyongwa yule mama.
 
Mkuu umeingia chaka alimuua mchepuko wa mumewe
 
Hivi huyu bwana bado ananyea debe? Aliviharibu sana visichana vya shule za msingi huyu.

Kwa wale wenzangu na mie mliokuwa mjini kabla chipsi hazijafika lazima mtakuwa mmelisikia hili jina. Wapi Ze Boss?sikuwepo yote mageni kwangu hayaaa

---
mama chupaki said,

Maumbo hakuwanajisi watoto wa shule ya msingi Jamhuri.

Maumba aliwanajisi watoto wa shule ya mnazi mmoja na mtendeni ndio waliokuwa wanaenda kwa Maumba fundi wa kushona nguo karibu na ofisi ya kata ya mchafukoge.

alikuwa akiwashika wanafunzi wa kike matiti ilikuwa na bei yako,makalio na bei yake.akiduu mbele na bei ya na kulawiti ilikuwa na bei.wanafunzi wakitoka huko wanaenda kununua mihogo wa said mihogo baharia na juisi ya ukwaju kwa kidevu pale shule ya msingi mnazi moja.

Wanafunzi wa kike tulipata shida kwa kutaniwa hasa tuliokuwa tunapanda daladala ukitoa shilingi moja konda akusema kuwa unapesa bwana wenu si maumba.Hii ilikuwa miaka ya 1988/89.

Lakini hakutungiwa nyimbo kiboko ilikuwa kwa yule msichana Jamila wa mtaa wa mwanza ilala alibokolewa na mchagga muuza duka.

---
neba said, Mzee Maumba alifungua duka jingine la ushonaji mtaa wa Idrisa Magomeni mapipa.Akamrejea Mola wake. Ametangulia mbele ya haki.
 
Asha Mkwizu alimuua mumewe kwa shoka alimvizia amelala, kisha akamkatakata vipande na kumweka kwenye viroba, akaenda kumzika uani. ..nafikiri alinyongwa yule mama.
Daah roho mbaya sana ukizingatia wakati ule matukio ya mauaji hayakuwepo sana.Alipaswa kupewa hiyo adhabu.
 
Sara Martin Simbaulanga namkumbuka sana
Huyu mama nilimuona juzikati maeneo ya Mikocheni B karibu na flat za nic ndipo alipojenga kulikuwa na msiba jirani yake, nilipewa story yake kuwa aliiba milioni 30 kwa kipindi hicho ilikuwa ni fedha nyingi sana, alihukumiwa miaka 27 lkn cha ajabu hakutumikia hata robo ya kifungo chake akatoka kwa msamaha wa Rais Mwinyi.
 
Hivi huyu bwana bado ananyea debe? Aliviharibu sana visichana vya shule za msingi huyu.

Kwa wale wenzangu na mie mliokuwa mjini kabla chipsi hazijafika lazima mtakuwa mmelisikia hili jina. Wapi Ze Boss?

---
mama chupaki said,

Maumbo hakuwanajisi watoto wa shule ya msingi Jamhuri.

Maumba aliwanajisi watoto wa shule ya mnazi mmoja na mtendeni ndio waliokuwa wanaenda kwa Maumba fundi wa kushona nguo karibu na ofisi ya kata ya mchafukoge.

alikuwa akiwashika wanafunzi wa kike matiti ilikuwa na bei yako,makalio na bei yake.akiduu mbele na bei ya na kulawiti ilikuwa na bei.wanafunzi wakitoka huko wanaenda kununua mihogo wa said mihogo baharia na juisi ya ukwaju kwa kidevu pale shule ya msingi mnazi moja.

Wanafunzi wa kike tulipata shida kwa kutaniwa hasa tuliokuwa tunapanda daladala ukitoa shilingi moja konda akusema kuwa unapesa bwana wenu si maumba.Hii ilikuwa miaka ya 1988/89.

Lakini hakutungiwa nyimbo kiboko ilikuwa kwa yule msichana Jamila wa mtaa wa mwanza ilala alibokolewa na mchagga muuza duka.

---
neba said, Mzee Maumba alifungua duka jingine la ushonaji mtaa wa Idrisa Magomeni mapipa.Akamrejea Mola wake. Ametangulia mbele ya haki.
Kulikuwa hadi na wimbo wa rap unaimba''kama sikupendi toka ucheze sitapenda wengi kama Maumba''..''ice ice baby show show x 2"
 
Asha Mkwizu alimuua mumewe kwa shoka alimvizia amelala, kisha akamkatakata vipande na kumweka kwenye viroba, akaenda kumzika uani. ..nafikiri alinyongwa yule mama.
Hapana hakumuua mumewe...alimuua hawara wa mumewe.alikuwa na house boy anayeitwa Juma huyu Juma ndo aliyeenda kureport police pale Salender Bridge.
Enzi hizo mzee Gewe (ametokea Gidas -Babati Manyara) na ambaye alikuja kuwa RPC wa Dar es Salaam alikuwa afisa upelelezi kituo cha Salender Bridge
 
Ndiye huyu Maumba aliyekuwa akitumia mafuta ya shanti kama kilainishi?
 
Huyu mama nilimuona juzikati maeneo ya Mikocheni B karibu na flat za nic ndipo alipojenga kulikuwa na msiba jirani yake, nilipewa story yake kuwa aliiba milioni 30 kwa kipindi hicho ilikuwa ni fedha nyingi sana, alihukumiwa miaka 27 lkn cha ajabu hakutumikia hata robo ya kifungo chake akatoka kwa msamaha wa Rais Mwinyi.
Hiyo milioni 30 aliirudisha?
 
Back
Top Bottom