Athumani Ally Maumba aliyetikisa miaka ya 1980s kwa kulawiti wanafunzi yupo wapi?


Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
79,582
Likes
43,494
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
79,582 43,494 280
Hivi huyu bwana bado ananyea debe? Aliviharibu sana visichana vya shule za msingi huyu.

Kwa wale wenzangu na mie mliokuwa mjini kabla chipsi hazijafika lazima mtakuwa mmelisikia hili jina. Wapi Ze Boss?

---
mama chupaki said,

Maumbo hakuwanajisi watoto wa shule ya msingi Jamhuri.

Maumba aliwanajisi watoto wa shule ya mnazi mmoja na mtendeni ndio waliokuwa wanaenda kwa Maumba fundi wa kushona nguo karibu na ofisi ya kata ya mchafukoge.

alikuwa akiwashika wanafunzi wa kike matiti ilikuwa na bei yako,makalio na bei yake.akiduu mbele na bei ya na kulawiti ilikuwa na bei.wanafunzi wakitoka huko wanaenda kununua mihogo wa said mihogo baharia na juisi ya ukwaju kwa kidevu pale shule ya msingi mnazi moja.

Wanafunzi wa kike tulipata shida kwa kutaniwa hasa tuliokuwa tunapanda daladala ukitoa shilingi moja konda akusema kuwa unapesa bwana wenu si maumba.Hii ilikuwa miaka ya 1988/89.

Lakini hakutungiwa nyimbo kiboko ilikuwa kwa yule msichana Jamila wa mtaa wa mwanza ilala alibokolewa na mchagga muuza duka.

---
neba said, Mzee Maumba alifungua duka jingine la ushonaji mtaa wa Idrisa Magomeni mapipa.Akamrejea Mola wake. Ametangulia mbele ya haki.
 
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,245
Likes
315
Points
180
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,245 315 180
aaisee... Interesting...
 
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,245
Likes
315
Points
180
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,245 315 180
Uliwahi kumsikia au ulikuwa bado uko chekechea kipindi hicho...kama sikosei hii ilikuwa '86 au '87.

Sijawahi msikio yaani hapa ndio "bismillah" ila tu post yako na hio ya pili imejieleza va kutosha
hivo mpaka woote wamjuao watoe hoja zao hapa naona itakua ni insight ya Maumba ya Kutosha....
 
S

Son of Alaska

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2008
Messages
2,813
Likes
118
Points
0
S

Son of Alaska

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2008
2,813 118 0
BONGO tulikuwa nyuma sana,the way hii habari ilivyokuwa sensationalised that time you would have thought huyu jamaa has killed thousands
 
M

Marytina

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Messages
7,034
Likes
57
Points
145
M

Marytina

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2011
7,034 57 145
Kama kweli alitenda hilo kosa na afie jela
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
79,582
Likes
43,494
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
79,582 43,494 280
BONGO tulikuwa nyuma sana,the way hii habari ilivyokuwa sensationalised that time you would have thought huyu jamaa has killed thousands
Boy I tell ya! Yaani kitaani ilikuwa ni Maumba Maumba...hadi chipsi zikaanza kuitwa Maumba kwa sababu ndo chambo alichotumia kuvilaghai visichana vya watu.
 
N

Natasha Ismail

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2008
Messages
557
Likes
204
Points
60
N

Natasha Ismail

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2008
557 204 60
Du,huyo ndio mtu wa kwanza kumsikia akinajisi ,bado yu hai?alikuwa fundi cherahani mtendeni street kama sikosei.
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,675
Likes
1,955
Points
280
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,675 1,955 280
siwezi changia sababu PG (parental guide)
 
Mtambuzi

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Messages
8,807
Likes
1,299
Points
280
Mtambuzi

Mtambuzi

Platinum Member
Joined Oct 29, 2008
8,807 1,299 280
Uliwahi kumsikia au ulikuwa bado uko chekechea kipindi hicho...kama sikosei hii ilikuwa '86 au '87.
Miaka hiyo ndio nilikuwa naingia mjini nikitokea pande za A Town nikaikuta hii stori iko mtaani........... Pia nakumbuka kuna kesi nyingine nadhani ilivuma sana miaka hiyo ya 80's ya Bi Asha Mkwizu........... huyu alihukumiwa Kunyongwa, hata sijui ile hukumu ilitekelezwa...............
 
S

Son of Alaska

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2008
Messages
2,813
Likes
118
Points
0
S

Son of Alaska

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2008
2,813 118 0
FF lazima atakuwa anamjua maumba maana jamaa lili reign supreme mitaa yao-naadhani alikuwa na mke anaitwa alma ambaye kwa sasa yuko england
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
79,582
Likes
43,494
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
79,582 43,494 280
Miaka hiyo ndio nilikuwa naingia mjini nikitokea pande za A Town nikaikuta hii stori iko mtaani........... Pia nakumbuka kuna kesi nyingine nadhani ilivuma sana miaka hiyo ya 80's ya Bi Asha Mkwizu........... huyu alihukumiwa Kunyongwa, hata sijui ile hukumu ilitekelezwa...............
Asha Mkwizu huyu si alimuua mtu...nadhani mumewe. Naikumbuka sana hii stori...maza alikuwaga ananisimulia.
 
S

Son of Alaska

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2008
Messages
2,813
Likes
118
Points
0
S

Son of Alaska

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2008
2,813 118 0
asha mkwizu if me is not mistaken aliua mke mwenzie mitaa ya upanga,na kuzika kwenye garden
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
79,582
Likes
43,494
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
79,582 43,494 280
asha mkwizu if me is not mistaken aliua mke mwenzie mitaa ya upanga,na kuzika kwenye garden
Nadhani uko sawa kaka....kumbukumbu imeanza kurudi.
 

Forum statistics

Threads 1,213,071
Members 461,947
Posts 28,466,075