win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,619
- 32,901
nina shahada ya kuongea na watu vizuriConnection umepata maadamu wajua kuongea na watu vyedi.
nina shahada ya kuongea na watu vizuriConnection umepata maadamu wajua kuongea na watu vyedi.
Uchi ni mtamu lakini una side effects zake nyingi mno ukiachilia mbali magonjwa. Kwa wanamichezo wanakosa stamina na inner power.Kibongo bongo ukiacha wasanii kuna hili kundi la wachezaji na wanamichezo mbalimbali ikiwemo ngumi and so on
udhaifu wao ni kipochi....
Ndo maana kuna kitu Kinaitwa semen retention (SR), ukiendekeza ngono unapoteza nguvu za kimwili na kiroho pia, ngono ni depletion of power and aura.Mike Tyson na Manny Pacquiao walishawahi kukiri waziwazi ngono inamaliza nguvu
We vishu mi kwa sasa sipendi mbunye kwa sasa na focus aiseee an nafocus sana sana anHuko mbali ni wapi, vipi kama alipofika kwake anaona ni mbali?
Labda millenial ila Gen Z, mbunye zinawafata sio rahisi kua wapenda mbunye kama Poor Brain