Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Mbona nawe unaandika kwa kuanza na herufi kubwa jina Mungu kumwonesha uwepo wake,andika herufi ndogo kudeny
Bila shaka unafikiri kwa kutumia zile stake mbili za nyuma chini ya kiuno.
Kwahiyo Mungu na mungu ni tofauti?......mkuu na Mkuu ni tofauti?
Mbona kila kukikucha mnabuni imani mbovu namna hii ili tu kumwabudu huyo jamaa yenu?
 
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi.

Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya JamiiForums sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje. Nakaribisha mijadala zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
Mkuu sidhani kama ni bahati mbaya imekutokea au ni makusudi kuelezea hisia zako hasi kama Mungu alivyo kujalia uwezo wako wa kufikiri.
Naomba unipe jibu ni kwanini Dunia na sayari ,nyota na vingine vingi Ulimwenguni vimekuwepo ktk mpangilio sahihi?

Kwanini wewe unaishi nini kusudio la wewe kuwepo Duniani?
 
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi.

Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya JamiiForums sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje. Nakaribisha mijadala zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
Mkuu, Unaamini Ulimwengu umekuwapo kwa matokeo ya Big bang?
 
Bila shaka unafikiri kwa kutumia zile stake mbili za nyuma chini ya kiuno.
Kwahiyo Mungu na mungu ni tofauti?......mkuu na Mkuu ni tofauti?
Mbona kila kukikucha mnabuni imani mbovu namna hii ili tu kumwabudu huyo jamaa yenu?
Sipendi kuumiza kichwa changu kwaajiri ya upuuzi lakini nionapo upotoshaji siwezi kuacha upuuzi katika dhamira yangu sipendi uongo.

Umekuwa kinara wa propaganda za makafiri na upotoshaji lakini niaminivyo wewe mwenyewe huwezi kujitambua maana umeshikwa ndani ya box.

Unaamini Dunia na Ulimwengu ni matokeo ya bigbang ?

Unaamini viumbe hai ni matokeo ya asilia ki mazingira (super natural)?
 
Hadi wakati huu, sijui ni nini chanzo cha ulimwengu na uhai.

Kuna theory nyingi ikiwemo S.creation nimezipitia lakini kati ya zote hakuna hata moja yenye mashiko.
Mimi kutokujua kitu, hakumpi mtu sababu ya kunidanganya na kunilazimisha kukubali uongo wake.

Sifa mnazosema ni za Mungu haziendani na matendo yake ikiwemo uumbaji.Pili hiyo creationism inasimamia imani na siyo uelewa.

Mwisho nipo huru kutathimini nadharia yoyote juu ya chanzo cha ulimwengu na uhai, lakini kwa sasa sijaona nadharia yenye mashiko.
 
Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje. Nakaribisha mijadala

Mkuu mwana ukoo hishma kwako, mkuu nikuulize hivi upande wa uislam uliusoma wapi? na kwa muda gani?.
 
Umesahau hii hapo kabla tulikuwa tunaabudu kwenye miti na mapango, wakaja wamisionari na waarabu. Siku hizi makanisa na misikiti ya kumwaga na kuna wafuasi kindakindaki kuliko walioleta dini hizo. Sio cultural traditional tu hata cultural beliefs zimekuwa faded na hizi zilizokuja na meli.
Nilikuwa nina hoja kama yako na nilianza kuandika..kushuka China naikuta tayari imeandikwa,naunga mkono.
 
Mi nafikiri nyie ndiyo mnachosha,kama mungu hayupo mbona hadi leo hakuna uthibitisho huo zaidi ya kung'ang'ania tu mungu hayupo.

Leteni uthibitisho tumalize huu ubishi.
Yuko wapi??
 
Tatizo lenu ni moja,mambo unayoyaeleza nyie huwa mnayachukulia ndiyo ukweli wenyewe na hamtaki yahojiwe.

Sasa unapokuja kusema China haipo ni kipi kilichoku kufanya useme hivyo na kuhakikishia kuwa China haipo? au ukishasema hivyo kuwa kitu fulani hakipo moja kwa moja inakuwa ni kweli kwa sababu umesema hakipo?

Kwahiyo tuseme kwamba mnasema hakuna mungu kwa sababu mmeamua tu kusema hivyo hamna uhakika na kwa sababu mmesema kuwa kitu hakipo basi inakuwa kweli hakipo? Ina maana hata mtu akisema hakuna mlima unaoitwa Kilimanjaro hapa duniani halafu watu wakanyamaza tu,je ndiyo tuseme kweli duniani hakuna mlima wa Kilimanjaro kisa hakuna aliyesema upo ili ndiyo aambiwe athibitishe?
Ni kwasababu wewe ulisema kipo.. na ukashindwa kukithibitisha kwamba kipo.(jibu linakuwa ni kinyume chake).
 
Sijafanya utafiti wa kutosha coz batokea nyanda za juu kusini ambako waislam wachache mnooo si sijui zaid

Ila kwa wachache nao wajua huwa uhuru hawana

Mfano tuu,nmesoma shule za bwen toka form one mpk six tena boys

Sasa huwa kunakuwa disco siku flan wtt wa girls wanakuja pale

Baadh ya dini wanahudhuria kero sema walokole huwa wananyana ,ila tofaut kwa waislam dogo atakae atend disco ..ajue baadae n viboko

Huwa nikawa najiuliza kwann wanalazamishana wakat mungu yupo

Na kwann mungu asikwambie kwa unakosea,

Vilevile dini zinasema DHAMBI sio kwamba lazima ushiriki physically but hata spiritually

So kwa nijiavyo mm ni wengi wanaishi kwa woga na sio kwamba wanaiman na kumuelewa huyo mungu

Afadhali.hata atheist walio amua kuwa huru,kuishi kwa uoga na hofu ni utumwa pia

Watu wanaigiza kwamba wana.iman yote kuogopa kutengwa nk

Ilihari.hata huyo mungu hayupo,

Mimi napenda kuweka msimamo kwamba,kama huyo mungu yupo na hapendezwi kwa jinsi navyo ishi basi yeye ndio aniambia na sio nyinyi
Umeongea point nyingi sana..
 
Unajua watanzania ni watu ambao tunatawaliwa kifikra na ulimwengu wa nchi zilizoendelea.

Hapo Awali Tanzania kulikuwa almost hakuna mashoga wala Lesbians lakini hivi sasa baada ya uzungu kutuingia mashoga na Lesbians wamekuwa wa kumwaga. Wasanii wetu walikuwa wanaimba nyimbo za kijamii na zenye kuhusiana na maisha yetu. Hivi sasa wasanii wanaimba nyimbo za kimagharibi na cultural traditional music is slowly fading away and replaced by what Westerners introduce into our heads. Hapo awali Vijana tulikuwa tukivaa nguo zetu vizuri na tukiongea kiswahili kilicho nyooka lakini hivi sasa vijana wanavaa suruali zinaanzia chini ya matako chupi nje na wakiongea wanabana sauti na kuslengisha kiswahili. Sasa hii naona munatuletea Ethisms na kujifanya nyinyi ndiyo mumesoma sana Science. Wacheni kutawaliwa kifikra na kuiga mambo ya wazungu.

Labda ni kuulize ni kinachokufanya usiamini Mungu?
Mungu ayupo thibitisha uwepo wake,au kajificha chooni??!
 
Ndio ukweli wenyewe.... Mungu ana uwezo mkubwa mkubwa sana asingechoose njia hii ya kumjua yeye. This one is not the best approach kuwaweka wazi viumbe, kuna watu use religion belief kama njia ya kurubuni watu wasio na hatia. Wanamiliki mali nyingi kutokana na kubrainwash innocent people...they demand vitu vya thamani kwa kuwatisha watu hawhatia

Mungu alikuwa na uwezo wa kutufikishia meseji kupitia ndoto...kupitia malaika wake its very simple. Hivi kuna anabisha suala la kwenda chooni?? iko obvious, why Mungu mpka mtumie mtu mwingine kutufikishia meseji alafu mtu huyo aache watu wengine wasimuliane... hii ni moja ya sayansi yenye udhaifu. How do u know the scriptures has not changed... kwamba hakuna mtu aliyeweka interest zake ndani yake?? Uislamu unasema kila binadamu anatembea na malaika wawili.. mmoja anaandika maovu yako na mwengine anaandika mema yako... embu jiulize mbona teknolojia hii ya Mungu inapinga na uwezo wake... kwa maana hiyo Mungu ana wasaidizi wake, how come Mungu asaidiwe kuandikiwa zambi na mema za waja wake / viumbe vyake??? Alafu anakuja kupewa a compiled report kuhusu mienendo yetu au mnampa Mungu ukurugenzi au?... yaani haina tofauti na mtu alieajiri walinzi wamlindie mali zake. Why Mungu tunamvisha ubinadamu, awe na matendo ya kibinadamu how???
Dah..Nimekuelewa sana mkuu[emoji123] [emoji123]
 
Mungu ayupo thibitisha uwepo wake,au kajificha chooni??!
Ubishi uliopo kati ya wanaoamini uwepo wa Mungu na wasioamini uwepo wa Mungu ni namna gani neno "Mungu" linavyochukuliwa. Waislam na Wakristo wamempa Mungu sifa na uwezo wa mambo kedekede na wakati huo huo baadhi ya vitu Mungu akivishindwa utaambiwa ni mtihani huo kapewa binadamu. Maelezo juu ya kumtambua Mungu kidini yanajichanganya na kujipinga yenyewe. Kwa mtazamo wangu mimi, naona maana halisi ya neno Mungu ni "chanzo cha ulimwengu" ikiwa mtazamo wako ni kwamba chanzo cha ulimwengu ni energy iliyosababisha kutokea kwa bing bang basi hiyo energy ndio itakuwa ni chanzo (Hiyo energy itakuwa ndio Mungu)
 
Back
Top Bottom