Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Sijajua misingi ya mafundisho ya hawa jamaa mkuu, sikuzote wanasema wabishane kwa fact...hawaelezi watu nini hasa wanachotakiwa waamini, kazi yao ni kuwaambia watu hakuna Mungu lakin hawasemi na kutoa mbadala elekezi wakuwafanya watu wawe na euelekeo flani ambao wanakusudia, wanaacha watu in suspense watumainie science na akili zisizo na tumaini, manufaa na upotevu mtupu, Minataka niwaulize tumaini lao ni nini?

kama mwanadamu ni self existing na mtatuzi na responsible kwa kila matatizo yanayo mkabili, tuseme sawa ana uwezo huo akishayatatua na kuyakabili mazingira yake alafu inakuwaje?

Bado kuna zaidi ya kitu ambacho mwanadamu yuko subjected to....ambacho ni zaidi ya argument ambazo Atheist wanajaribu kuibua, kunamaswali na fact zaidi ya mnazojiuliza ambazo bado hamjajiuliza
Brother, i coudn't agree with you more. Hawa jamaa nafikiri walikosa elimu ya Imani yao tokea utotoni. Na hawakuweka effort zao ukubwani kupata hiyo elimu. Yaani walijikuta tu kwenye dini fulani lakini wazazi wao hawa kutilia maanani katika kuwapatia mafundisho ya imani. Kwa hiyo wamekuwa hivyo hivyo yaani Waktisto jina au Waislamu Jina. Haelewi kwanini amuabudu Mungu na wala Umuhimu wake. Sasa wakiona kwenye TV na mtandaoni kuhusu Ethiest na wao wanaanza kuiga kwa kuwa hawana imani.
 
Wewe jitoe tu ufahamu. Wapo watu wasio na elimu but wana maendeleo makubwa kutokana na msaada wa Mungu. Vipi wale wanaoiona miujiza ya Mungu live, hiyo miujiza inatoka wapi?
Wewe ulithibitisha vip kama huyo ni mungu ndie katenda miujiza
 
Wafia dini punguzeni kelele km mungu yupo si ajitokeze ili awakate ngebe wasioamini uwepo wake ?

Inakuwaje anawaachie nyinyi mtoke jasho kutwa nzima kumtetea?

Ndio maana mnaambiwa Yesu ni mzungu,hakuna Papa mweusi,
Hats waislamu mnapapatikia waarabu tu lakini waafrika mmeng'ang'ania tu hizo dini zilizokuja kwa meli

Mnachosha jomba
 
Ikiwa atheists hawawezi kuthibitisha madai yao ya kwamba hakuna mungu,je tutakubalia vp kuwa wanachokisema ni kweli?na wao wana uhakika gani kuwa ni kweli hakuna mungu na si vinginevyo?

Na ndiyo maana ukiangalia watu wanaokuwa wapinga mungu ni wale ambao walikuwa na tatizo kwenye dini zao au imani,hawa ndiyo maelezo ya atheists huwa na athari kwao lakini kinyume na hivyo hakuna hoja ya kumfanya muamini mungu aache kuamini kwa haya maswali yanayoulizwa na atheists.

Na ndiyo maana mie huita ni imani huko kusema kwao kuwa hakuna mungu,maana ukikataa kuwa si imani basi tuletee uthibitisho na si kueleza mashaka yako kuhusu kuwepo kwa mungu kisha ndiyo ufanye hayo mashaka kuwa ndiyo uthibitisho. Ni jambo ambalo haliwezekani,ila ukisema kuwa unaamini kuwa kutakuwa hakuna mungu kwa kutumia hayo mashaka hapo utaeleweka.

Halafu mnaposema sie tu ndiyo tunapaswa kuthibitisha uwepo wa mungu kwa sababu ndiyo tunaamini na nyie hampaswa kuthibitisha,je Agnostic nao mtawajibu hoja hii hii?
 
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi, Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya Jf sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje .NakaribiSha mijadal zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu

Mbona unajichanganya? Unaonesha hata hujuwi ujumbe unaotaka kuufikisha.
 
Maisha ya kila mtu yanaanzia unapozaliwa na kuishia unapokufa. Anything beyond that is non of ur business...anything beyond that can be a lie.... anything u can not comprehend u leave them. Just live as you are made of... God is imaginary believe in God represent delusion.

There is no great delusion as great as Atheism Ideology, you claim to be free but your having a very complex stronghold in your thinking that are not easily breakable by mere theology, you need Holy Brushing
 
Wafia dini punguzeni kelele km mungu yupo si ajitokeze ili awakate ngebe wasioamini uwepo wake ?

Inakuwaje anawaachie nyinyi mtoke jasho kutwa nzima kumtetea?

Ndio maana mnaambiwa Yesu ni mzungu,hakuna Papa mweusi,
Hats waislamu mnapapatikia waarabu tu lakini waafrika mmeng'ang'ania tu hizo dini zilizokuja kwa meli

Mnachosha jomba
Upo vizuri! hawa jamaa wanata kutumezesha walivyomezeshwa bila kuhojiwa.
Kama Mungu angekuwepo, pasingekuwepo na huu mjadala.
 
Kama nyie mngekuwa watu wa kuhoji basi mngehoji uthibitisho wa kuwa hakuna mungu,ila nyie mmekubali tu kuwa hakuna mungu na mnakubali kuwa hamuwezi kuthibitisha.

Matokeo yake mnakuja kulazimisha sie ndiyo tuthibitishe madai ya kuwa yupo mungu lakini nyie madai yenu ya kusema hakuna mungu yapo sahihi moja kwa moja bila kuhitaji uthibitisho.

Unaposema kitu fulani hakipo halafu hapo hapo unasema hauwezi kuthibitisha ni sawa na kusema huna uhakika na ukisemacho.

Wanaoamini mungu hueleza sababu zilizowafanya wakaamini hivyo,na nyie msioamini mungu mnaeleza sababu zenu zilizowafanya hadi mkawa mnasema hakuna mungu. Sasa hapa iweje kwamba mmoja ndiyo awe analazimika kuthibitisha na mwengine asithibitishe anacho kisimamia?
 
Wafia dini punguzeni kelele km mungu yupo si ajitokeze ili awakate ngebe wasioamini uwepo wake ?

Inakuwaje anawaachie nyinyi mtoke jasho kutwa nzima kumtetea?

Ndio maana mnaambiwa Yesu ni mzungu,hakuna Papa mweusi,
Hats waislamu mnapapatikia waarabu tu lakini waafrika mmeng'ang'ania tu hizo dini zilizokuja kwa meli

Mnachosha jomba
Mi nafikiri nyie ndiyo mnachosha,kama mungu hayupo mbona hadi leo hakuna uthibitisho huo zaidi ya kung'ang'ania tu mungu hayupo.

Leteni uthibitisho tumalize huu ubishi.
 
Kama nyie mngekuwa watu wa kuhoji basi mngehoji uthibitisho wa kuwa hakuna mungu,ila nyie mmekubali tu kuwa hakuna mungu na mnakubali kuwa hamuwezi kuthibitisha.

Matokeo yake mnakuja kulazimisha sie ndiyo tuthibitishe madai ya kuwa yupo mungu lakini nyie madai yenu ya kusema hakuna mungu yapo sahihi moja kwa moja bila kuhitaji uthibitisho.

Unaposema kitu fulani hakipo halafu hapo hapo unasema hauwezi kuthibitisha ni sawa na kusema huna uhakika na ukisemacho.

Wanaoamini mungu hueleza sababu zilizowafanya wakaamini hivyo,na nyie msioamini mungu mnaeleza sababu zenu zilizowafanya hadi mkawa mnasema hakuna mungu. Sasa hapa iweje kwamba mmoja ndiyo awe analazimika kuthibitisha na mwengine asithibitishe anacho kisimamia?
Hivi huyo Mungu ni mlemavu kiasi cha kuhitaji watu wamtete juu ya uwepo wake?

Mungu hawezi kujidhihirisha kwa watu wake mwenyewe?

Hivi tunapojadili juu ya uwepo wake sasa hivi, yeye yupo wapi? anafanya nini? kwa nini asijitokeze?

Kwa nini hatujadili ju ya uwepo/kutokuwepo kwa Mt. Kilimanjaro lakini kwa Mungu tunajadili?
 
Kama hayupo mbona hamuwezi kuthibitisha hadi leo,kitu hakipo inakuaje mnashindwa kuthibitisha na watu wakaacha kufuatilia habari za mungu.

Hii ina maana ya kuwa kusema hakuna mungu ni imani kama zilivyo imani zengine,ingekuwa kweli mungu ni kitu ambacho hakipo basi isingewezekana hadi Leo watu wakawa wanaendelea kubishana kuwa yupo au hayupo.
 
Rejea bandiko namba @[HASHTAG]#174[/HASHTAG].....Huwezi kuthibitisha uwepo wa kitu kisichokuwepo.
Kama Mungu yupo ni jukumu lake kujithibitisha kwa watu[kitu kilichoshindikana kutokea].
Halafu wewe unamwamini Mungu kimashaka sana, huna uhakika kama kweli yupo.Ndio maana unapenda sana kuleta usumbufu kwa kutumia logic 'mfu'

Hivi kweli unamwambia mtu athibitishe kutokuwepo kwa Mungu?

Angalia huu mfano wa dialogue

TELURO:Nimegundua Element mpya inaitwa Tanzanium.

BISALI:Nini sifa, makao, na chanzo cha hiyo Tanzanium?

TELURO:Ni fumbo la imani.

BISALI:Thibitisha uwepo wa hiyo Element[Tanzanium].

TELURO:Wewe amini tu kwamba Tanzanium ipo.

BISALI:Unasema uongo.

TELURO:Kama nasema uongo basi thibitisha kwamba Element ya Tanzanium haipo.

BISALI:WTF???

Je kati ya TELURO na BISALI, na ndondocha?
 
Katika Biblia ambayo wewe naamini unaichukia sana,upo mstari usemao,"IPO NJIA IONEKANAYO SAHIHI MBELE YA MACHO YA MTU,LAKINI MWISHO WAKE NI UPOTEVU." Ndugu yangu uliko siko,hata kama unaona uko sahihi.Surely the majesty of the Universe and the laws which govern it did not come by chance,common sense tells me so.The ecosystem within the universe, and the magnificent relatinship between organisms shows clearly that there is an organizer.Come back to your senses brother.There is a God out there,the creator of the laws which governs the universe,and the organizer of the ecosystem.
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi, Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya Jf sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje .NakaribiSha mijadal zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
 
Mi naamini mungu yupo
Na kingine ninachokiamini ni kwamba mungu kamuumba shetani akashindwa kumdhibiti nahisi shetani naye ananguvu zinazokaribiana Na za mungu Na ndio maana mungu kamshindwa (kashindikana) kumdhibiti
Asante
 
Rejea bandiko namba @[HASHTAG]#174[/HASHTAG].....Huwezi kuthibitisha uwepo wa kitu kisichokuwepo.
Kama Mungu yupo ni jukumu lake kujithibitisha kwa watu[kitu kilichoshindikana kutokea].
Halafu wewe unamwamini Mungu kimashaka sana, huna uhakika kama kweli yupo.Ndio maana unapenda sana kuleta usumbufu kwa kutumia logic 'mfu'

Hivi kweli unamwambia mtu athibitishe kutokuwepo kwa Mungu?

Angalia huu mfano wa dialogue

TELURO:Nimegundua Element mpya inaitwa Tanzanium.

BISALI:Nini sifa, makao, na chanzo cha hiyo Tanzanium?

TELURO:Ni fumbo la imani.

BISALI:Thibitisha uwepo wa hiyo Element[Tanzanium].

TELURO:Wewe amini tu kwamba Tanzanium ipo.

BISALI:Unasema uongo.

TELURO:Kama nasema uongo basi thibitisha kwamba Element ya Tanzanium haipo.

BISALI:WTF???

Je kati ya TELURO na BISALI, na ndondocha?
Hapo ndipo mlipofugwa,hebu nieleze kwa kina ni vp haiwezekani kuthibitisha kitu kisichokuwepo?
 
Wewe jaribu kuthibitisha kwamba mungu dini nyingine hayupo. Mfano kama we mkristo jaribu kuthibitisha allah hayupo. Alafu mimi ntatumia logic yako kuthibitisha mungu unaemwamini wewe pia hayupo.
 
Back
Top Bottom