maxime
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 2,233
- 1,320
Kama umefunga milango yote alafu kiumbe kimezama mpaka chumbani kwako....Du hapo nimechoka ,kwamba miujiza hata kwenye uchawi IPO!
Kama umefunga milango yote alafu kiumbe kimezama mpaka chumbani kwako....Du hapo nimechoka ,kwamba miujiza hata kwenye uchawi IPO!
Asante sana!Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi.
Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.
Taswira ya JamiiForums sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.
Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje. Nakaribisha mijadala zaidi.
Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu

HahaahHAAAA..Unajua watanzania ni watu ambao tunatawaliwa kifikra na ulimwengu wa nchi zilizoendelea.
Hapo Awali Tanzania kulikuwa almost hakuna mashoga wala Lesbians lakini hivi sasa baada ya uzungu kutuingia mashoga na Lesbians wamekuwa wa kumwaga. Wasanii wetu walikuwa wanaimba nyimbo za kijamii na zenye kuhusiana na maisha yetu. Hivi sasa wasanii wanaimba nyimbo za kimagharibi na cultural traditional music is slowly fading away and replaced by what Westerners introduce into our heads. Hapo awali Vijana tulikuwa tukivaa nguo zetu vizuri na tukiongea kiswahili kilicho nyooka lakini hivi sasa vijana wanavaa suruali zinaanzia chini ya matako chupi nje na wakiongea wanabana sauti na kuslengisha kiswahili. Sasa hii naona munatuletea Ethisms na kujifanya nyinyi ndiyo mumesoma sana Science. Wacheni kutawaliwa kifikra na kuiga mambo ya wazungu.
Labda ni kuulize ni kinachokufanya usiamini Mungu?
Mkuu unahitaji maombi.
Huwezi kumwomba Mungu ukatarajia akupe hapo hapo. Pengine huyo X wako Mungu anampima imani yake. Mfano Ayubu mtumishi wa Mungu alivyojaribiwa
siku mwanao akikuuliza "mapenzi yapo..?"kamwambie akasome kitabu cha ngosweKama unataka majibu yenye hoja kasome Neno la Mungu. Zab.53 "MPUMBAVU AMESEMA MOYONI,HAKUNA MUNGU;WAMETENDA HUOVU WA UFISADI NA KUCHUKIZA,HAKUNA ATENDAYE MEMA". Bila shaka jibu umelipata.
Pia wewe uombe toba kwa kutokuamini uwepo wa Mungu.Anapimwa iman zaid ya 10??
Na kwa huyo ulikuwa mifano tuu maana ulitaka udhibitisho kuwa miujiza haipo
Mimi siwezi kwenda kuombewa ,niombewe kwanani??
Zaid ya kupoteza muda tuu,mkuu hao wachunguji wanapotezea mda tuu,MUNGU na mchawi wa.maisha yako ni ww mwenyewe,hakuna zaid
Umemjibu vizuri sanaUmesahau hii hapo kabla tulikuwa tunaabudu kwenye miti na mapango, wakaja wamisionari na waarabu. Siku hizi makanisa na misikiti ya kumwaga na kuna wafuasi kindakindaki kuliko walioleta dini hizo. Sio cultural traditional tu hata cultural beliefs zimekuwa faded na hizi zilizokuja na meli.
mmmmhhhh
sipo kwaajiri ya kubishana au changanya hili na lile ninavyoweza kusema kuna iman nyingi duniani hapa na kila MTU anaamin anapo amin kwamfano watu wengi mashuri kama MZEE mzima Albert Einstein na wengineo wengi walikuwa ni watu wasio amin uwepo wa MUNGU ngoja nikwambie mleta huu Uzi AMIN UNACHO AMIN.
Kwahiyo baada ya kuwahubiria kuhusu Imani yako ya atheism na wakakuelewa dakika hiyohiyo napo Mungu akatoweka? ???Mimi hata grup langu la chuo wananiona wa ajabu hasa pale ninapo wapinga live kuhusu huyo mungu.
Lkn kwasasa naona kuna baadhi wamebadilika na kuwa open mind.
Mwanzon unaonekana km jiti lililokosa adabu, lihuni lkn kadri unavyowatemea facts wakaanza kunielewaa.
Sasa tunaheshimiana na wengi kwasasa hawajishughulishi na mambo ya imani km zaman
Tatizo la atheist wanaona ile hali ya kutokuamini kwao uwepo wa mungu na kuamini kuwa hakuna mungu wanaona waona wamefanya jambo jipya tena la kisomi,kupinga mungu tokea enzi hizo tunazoita za ujinga.
Tatizo sio kupinga mungu ila ni sababu za kupinga,sasa atheists humu wao wakishaamini kuwa hakuna mungu basi hawataki uwahoji imani yao hiyo.
Nyie hamsemi kuwa hakuna mungu ila mnafanana kwa tatizo lenu moja la kusema hakuna uthibitisho wa kuwepo kwa mungu,aina ya uthibitisho mnaotaka ni tofauti na jambo lanyewe lilivyo.Agnostics je?
'wwe ulkuwepo hadi useme wazee wetu walkuwa hawa vai nguo?Unapo sema.hapo mwanzo kweli zungumIa hapo mwanzo..
Hapo sisi tulikuwa hatuvai nguo,mababu zetu walikuwa wanatembea uchi
So kuvaa nguo mpaka milegezo yote sio culture yetu
Hapo mwanzo sisi..mababu zetu walikuwa wakiabudu mababu zao chini ya miti nk
Huyo GOD/allah kaletwa na mashua hakuwepo huku
So kubali au kataa,,ila ukweli n kwamba hata hapo mwanzo..tamaduni zishaingiliwa na kupotea hazipo
Wao wameleta,dini,na elimu
Ni wakat wa sisi kuamka na kujitambua
Mimi hata grup langu la chuo wananiona wa ajabu hasa pale ninapo wapinga live kuhusu huyo mungu.
Lkn kwasasa naona kuna baadhi wamebadilika na kuwa open mind.
Mwanzon unaonekana km jiti lililokosa adabu, lihuni lkn kadri unavyowatemea facts wakaanza kunielewaa.
Sasa tunaheshimiana na wengi kwasasa hawajishughulishi na mambo ya imani km zaman
prove.mkuu......MUNGU hakumuumba shetani ili autese ulimwengu bali ni baada ya shetani kuasi ndipo laana ya MUNGU ikashuka juu yake,
Kumbuka uharibifu wa kwanza ulianzia mbinguni na hii ni baada ya Shetani kuasi.
Mbona nawe unaandika kwa kuanza na herufi kubwa jina Mungu kumwonesha uwepo wake,andika herufi ndogo kudenyNimekuwa nikisema mara kadhaa kwamba hii dhana ya kinachoitwa Mungu ni purely man made idea.
Kama Mungu angekuwepo na ndiye aliyetuumba, pasingekuwepo na haja ya sheria, vitabu, na viongozi wa dini kwani angetuumba tukiwa na uwezo asilia wa kumjua yeye na kumtumikia.
Ila kwanini tumtumikie Mungu kama yeye anaweza kila kitu?
Nadhani watu waliomuumba Mungu walimpachika sifa za kibinadamu sana.