Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Wewe jaribu kuthibitisha kwamba mungu dini nyingine hayupo. Mfano kama we mkristo jaribu kuthibitisha allah hayupo. Alafu mimi ntatumia logic yako kuthibitisha mungu unaemwamini wewe pia hayupo.
Nyie ndiyo mnasema kuwa kisichokuwepo haiwezekani kuthibitisha,na Mimi nimeomba ufafanuzi matokeo yake naambiwa nithibitishe Allah hayupo!

Huo ndiyo ufafanuzi niliyoomba? nimewaambia mthibitishe kuwa mungu hayupo mnasema haiwezekani kuthibitisha kisichokuwepo,nimetaka ufafanuzi ni vp haiwezekani mnaniambia mie tena nithibitishe hakuna mungu wa waislamu au wakristo.
 
Hapo ndipo mlipofugwa,hebu nieleze kwa kina ni vp haiwezekani kuthibitisha kitu kisichokuwepo?
Basi kama inawezekana kuthibitisha kitu kisichokuwepo,
Thibitisha uwepo wa Chemical Element Tanzanium inayotumika kutengeneza sehemu ya nje ya meli [Purely Tanzanium] lakini haiwezi ku-exist kwenye maji kwa zaidi ya dakika moja.pamoja na kutaja sifa zake kama vile;
-Atomic number ya Tanzanium,
-Atomic mass ya Tanzanium,
-Ionization energy ya Tanzanium

Kama ukiweza kuthibitisha kutokuwepo kwa Element Tanzanium[yenye contradiction] baada ya kutaja sifa zake,...nitafanya unachotaka nifanye.
 
Dini yangu imetoka kwa hao hao jamaa ni kina nani??

Mimi nikuulize wewe Kwanini uamini hakuna Mungu??
Dini yangu imetoka kwa hao hao jamaa ni kina nani??

Mimi nikuulize wewe Kwanini uamini hakuna Mungu??
Wazungu na waarabu

Na kwann siamini uwepo mungu ni kwasababu hayupo
Maana history inayo mzungumzia ktk vitabu pia haijaweka any testable proof kuwa god n real...

Tatizo linngine maovu ktk hii dunia
Vifo vya watt wadogo,wamama wasio na hatia ..VITA

magonjwa ya kutisha
Njaaa
nk
Vinatesa watu but bado hapohapo tunasema god is perfectly
God is powerfully and he knw everthing yet anashindwa kuprevent mateso yanayo wakumbu watu anao wapenda na huku uwezo anao kweli ana upendo huyo..??

Sure nakwambia
Kama God/allah is possibility real,,but is not good he is more evil than humanity

I will not follow an unjust and evil GOd/Allah

IF NO ONE INDOCTRINATED CHILDREN WHILE MINDS WERE STILL VULNERABLE NO ONE WOULD BELIEVE IN SUCH NONSENSE

Na watu wengi wanao believe in God\Allah are doing blind belief..

Anakuwa mkristo/muslims kwasababu baba au familia yao ni mkristo/muslims
 
Basi kama inawezekana kuthibitisha kitu kisichokuwepo,
Thibitisha uwepo wa Chemical Element Tanzanium inayotumika kutengeneza sehemu ya nje ya meli [Purely Tanzanium] lakini haiwezi ku-exist kwenye maji kwa zaidi ya dakika moja.pamoja na kutaja sifa zake kama vile;
-Atomic number ya Tanzanium,
-Atomic mass ya Tanzanium,
-Ionization energy ya Tanzanium

Kama ukiweza kuthibitisha kutokuwepo kwa Element Tanzanium[yenye contradiction] baada ya kutaja sifa zake,...nitafanya unachotaka nifanye.
Hilo ndiyo tatizo lenu,nimewaambia mthibitishe madai yenu ya kuwa hakuna mungu mkasema sie ndiyo tunaopaswa kuthibitisha na sio nyie,mara mkaja kusema kisichokuwepo huwezi kuthibitisha. Sasa nataka maelezo ya kwanini haiwezekani kuthibitisha kisichokuwepo matokeo yake mnataka mie nithibitishe vitu visivyokuwepo.

Hivi nyie kweli mnajielewa?hebu nipeni ufafanuzi ni vp haiwezekani kuthibitisha kitu kisichokuwepo kama mlivyosema,baada ndiyo tutakuja kutoleana mifano katika kuona kiuhalisia kama vitu visivyokuwepo havithibitishiki au hali ikoje?
 
Maoni yako ni yapi? je Mungu yupo au hayupo?
 
Nyie ndiyo mnasema kuwa kisichokuwepo haiwezekani kuthibitisha,na Mimi nimeomba ufafanuzi matokeo yake naambiwa nithibitishe Allah hayupo!

Huo ndiyo ufafanuzi niliyoomba? nimewaambia mthibitishe kuwa mungu hayupo mnasema haiwezekani kuthibitisha kisichokuwepo,nimetaka ufafanuzi ni vp haiwezekani mnaniambia mie tena nithibitishe hakuna mungu wa waislamu au wakristo.
Sasa wewe usichoelewa ni nini?

Mtu anayesema kitu fulani hakipo hana haki ya kuthibitisha
Yule anayesema kipo ndio anatakiwa athibitishe

Nikisema China haipo siwezi kuleta ushaidi kuwa china haipo kwasababu nature ya ushaidi ni kwa vitu vilivyopo

Wewe unayesema China ipo ndio unayetakiwa kuleta ushaidi
 
Eh! unaniuliza kama mungu yupo au hayupo tena?
Nadhani starehe yako ipo kwenye ku-quote post na ku-quotiwa.
Hata kama mjadala unakupeleka usipopajua ni sawa tu maana ndio starehe yako.
Huna maswali/hoja za msingi na ukiulizwa mambo ya msingi ni aidha ujibu pumba ama ujaribu kupiga chenga.
Unadhani kuna haja ya mimi na wewe kujadili?
 
Sasa wewe usichoelewa ni nini?

Mtu anayesema kitu fulani hakipo hana haki ya kuthibitisha
Yule anayesema kipo ndio anatakiwa athibitishe

Nikisema China haipo siwezi kuleta ushaidi kuwa china haipo kwasababu nature ya ushaidi ni kwa vitu vilivyopo

Wewe unayesema China ipo ndio unayetakiwa kuleta ushaidi
Tatizo lenu ni moja,mambo unayoyaeleza nyie huwa mnayachukulia ndiyo ukweli wenyewe na hamtaki yahojiwe.

Sasa unapokuja kusema China haipo ni kipi kilichoku kufanya useme hivyo na kuhakikishia kuwa China haipo? au ukishasema hivyo kuwa kitu fulani hakipo moja kwa moja inakuwa ni kweli kwa sababu umesema hakipo?

Kwahiyo tuseme kwamba mnasema hakuna mungu kwa sababu mmeamua tu kusema hivyo hamna uhakika na kwa sababu mmesema kuwa kitu hakipo basi inakuwa kweli hakipo? Ina maana hata mtu akisema hakuna mlima unaoitwa Kilimanjaro hapa duniani halafu watu wakanyamaza tu,je ndiyo tuseme kweli duniani hakuna mlima wa Kilimanjaro kisa hakuna aliyesema upo ili ndiyo aambiwe athibitishe?
 
Yawezekana kati yetu mmoja ana upeo mdogo sana na anashindwa kumuelewa mwenzake.
 
Nadhani starehe yako ipo kwenye ku-quote post na ku-quotiwa.
Hata kama mjadala unakupeleka usipopajua ni sawa tu maana ndio starehe yako.
Huna maswali/hoja za msingi na ukiulizwa mambo ya msingi ni aidha ujibu pumba ama ujaribu kupiga chenga.
Unadhani kuna haja ya mimi na wewe kujadili?
Ndiyo maana sijamjibu tangu aquote post yangu
Niliona mapema jamaa hana hoja
Pointless
 
Kuwa na ELIMU sio kiashiria cha kuto au kuwa na maendeleo..
Waweza kuwa na elimu ila ukawa hujaelimika..

Dunian kuendelea n ujanja ujanja,yes wajanja ni kama wakina ngwajima,kakobe nk wanapiga pesa haswaa haswaa za wajinga wanao kesha kutwa nzima wakisali na kuomba

Cheki km mzee wa upako,Mzee jibapa

Hv miujiza ni nini??

Na.waweza dhibitisha kuwa hao wameiona.hiyo miujiza??

Nasikia ngwajima alifufua Mtu au ndio kama hiyoo
We una uhakika gani km hao kina kakobe ni wajanja wa kupiga hela?

Wale kuna wakati wanaponya watu magonjwa kadhalika(na ushahidi upo)

Sasa iyo supernatural power iliyowaponya imetoka wap?
 
Hao wanaoiona miujiza wao waendelee tu... hata uchawi nao ni muujiza.
Sasa mtu unaamini ktk uchawi lakini huamini ktk Mungu?

Km unaamini kuna miujiza ya kichawi, ni nini kinakuzuia kuamini kuna miujiza ya Mungu?
 
Sasa wewe usichoelewa ni nini?

Mtu anayesema kitu fulani hakipo hana haki ya kuthibitisha
Yule anayesema kipo ndio anatakiwa athibitishe

Nikisema China haipo siwezi kuleta ushaidi kuwa china haipo kwasababu nature ya ushaidi ni kwa vitu vilivyopo

Wewe unayesema China ipo ndio unayetakiwa kuleta ushaidi
Mkuu en kitambo kweli bila kuonekana....Tangu jun sikuwahi kukuona humu....Karibu tena Mkuu.
 
Hahahaaa!!,
Wanadamu hupotea katika njia panda za fikra Zao.

Nmefurahishwa na jinsi unavyojieleza na kutaja wafuasi wa Mrengo wako. Kitu pekee ninachoweza kukwambia ni kuwa kila Swali litajibiwa. Ikiwa utataka majibu.

Ukiujua ukweli utakuweka huru, Nao ukweli ni nini basi?

Ukweli ni kumjua asiyekuwepo kwa mambo yaliyopo. Kumtafuta kwa bidii zote kwa akili aliyokupa. Ukweli hauji kwa kumpinga Asiyekuwepo katika njia panda ya Fikra za nyama.

Basi Nakusihi,, angalia sana katika siku zako, siku za mapito zako. usije ukajipoteza kwa yaliyopo machoni pako nawe ukakosa yasiyokuwepo katika macho yako na Akili yako ambayo katika hayo ndio asili ya roho yako.
Hii huwa tunasema kiburi cha uzima
Asante
 
Ndiyo maana sijamjibu tangu aquote post yangu
Niliona mapema jamaa hana hoja
Pointless
Tangu tuanze kujadili humu huwa namwona akiwayawaya tu....Hasemi kama Mungu yupo ama hayupo, hajui asimame wapi.
Bora kumpotezea tu.
 
Tatizo lenu ni moja,mambo unayoyaeleza nyie huwa mnayachukulia ndiyo ukweli wenyewe na hamtaki yahojiwe.

Sasa unapokuja kusema China haipo ni kipi kilichoku kufanya useme hivyo na kuhakikishia kuwa China haipo? au ukishasema hivyo kuwa kitu fulani hakipo moja kwa moja inakuwa ni kweli kwa sababu umesema hakipo?

Kwahiyo tuseme kwamba mnasema hakuna mungu kwa sababu mmeamua tu kusema hivyo hamna uhakika na kwa sababu mmesema kuwa kitu hakipo basi inakuwa kweli hakipo? Ina maana hata mtu akisema hakuna mlima unaoitwa Kilimanjaro hapa duniani halafu watu wakanyamaza tu,je ndiyo tuseme kweli duniani hakuna mlima wa Kilimanjaro kisa hakuna aliyesema upo ili ndiyo aambiwe athibitishe?
Unaweza kuthibitisha kuwa katika kabati lako la nguo

Hakuna shati lisiloonekana[invisible]?
 
Ikiwa atheists hawawezi kuthibitisha madai yao ya kwamba hakuna mungu,je tutakubalia vp kuwa wanachokisema ni kweli?na wao wana uhakika gani kuwa ni kweli hakuna mungu na si vinginevyo?

Na ndiyo maana ukiangalia watu wanaokuwa wapinga mungu ni wale ambao walikuwa na tatizo kwenye dini zao au imani,hawa ndiyo maelezo ya atheists huwa na athari kwao lakini kinyume na hivyo hakuna hoja ya kumfanya muamini mungu aache kuamini kwa haya maswali yanayoulizwa na atheists.

Na ndiyo maana mie huita ni imani huko kusema kwao kuwa hakuna mungu,maana ukikataa kuwa si imani basi tuletee uthibitisho na si kueleza mashaka yako kuhusu kuwepo kwa mungu kisha ndiyo ufanye hayo mashaka kuwa ndiyo uthibitisho. Ni jambo ambalo haliwezekani,ila ukisema kuwa unaamini kuwa kutakuwa hakuna mungu kwa kutumia hayo mashaka hapo utaeleweka.

Halafu mnaposema sie tu ndiyo tunapaswa kuthibitisha uwepo wa mungu kwa sababu ndiyo tunaamini na nyie hampaswa kuthibitisha,je Agnostic nao mtawajibu hoja hii hii?
Mimi siamini uwepo wa MUNGU na watu wakaniita mm atheist yes kama maana atheist ni kuto amin uwepo wa mungu mimi ni atheist...but haina maana kuwa hakuna kitu ambacho siamini,

kwa mfano WAZAZI wangu naamin kwamba ni.wazazi kwasababu wananifanyia yale ambayo mzazi anafanya kwa mwanae,sina haja ya kuanza kudhibisha kuwa hawa kweli ni wazazi wangu....!!!

Ila kuamini kuhusu sir god kuna.ukakasi,sifa zilizopo ktk historia yake n tofaut na matendo yake,

Ana upendo gan,anaumba dhambi baadae anajuka kukuhukumu kwa mistake alio fanya yeye

Baba gan umemtume mwanao,apigwe,atese,na mwisho kuuliwa na nakuludi kwako eti kutukomboa wakat angekuwa kama mnavyo mwelezea haya yote yasinge kuwepo

Yapaswa mnao amini uwepo wa huyu jamaa Mdhibishe uwepo wake ili nasi tumwelewe,

Note
Wapo watu ambao wameamua.kuto kuamin,pia nazan wapo kundi la watu wasio amin uwepo wa mungu (atheist)
 
We una uhakika gani km hao kina kakobe ni wajanja wa kupiga hela?

Wale kuna wakati wanaponya watu magonjwa kadhalika(na ushahidi upo)

Sasa iyo supernatural power iliyowaponya imetoka wap?
Ninwajanja yea ,b`coz naona waumini wao wanavyo teseka na kumaa na dini km vile ndio itamletea chakula ndan

Hawana uwezo wowote wa kumponya mtu,maama ukienda kuponywa na usipo pona wanasema huna imani...

Sasa kweli kwann wasiniombe nipate iman,
Ushahidi tosha mm hapa mwenyewe navyo kueleza kusikia natumia hearing aid

Sasa achana na.mm nisie.kuwa na iman,naushahid n X wangu anamatatizo ya moyo,kaombewa makanisa tofaut tofaut karbia miaka 10+ sasa na.bado ana iman,na haja pona mpk sasa,zaid anaishi kwa dawa za kutuliza maumivu miaka nenda rudi

Katembea kwa waombaji maarufu wote hapa nchini pamoja kwa nigeria kwa tb joshua,kaangaika mpk huruma ila miaka kibao hakuna jibu
Sasa hao na miujiza yao wanaponya watu gan,Xwangu ana iman mpk kesho na anasema maisha yake kaamua kumkabihi mungu, ila mungu kama yupo naona muuaji tuu

Unataka ushahidi mwingine,nmeiingia mala kibao kwa mzee upako,yaan ukiwa huna.sadaka watu wanakushangaa,maana nilikuwa naenda kisa msichana flan hv.....ila nikajua gundua kwamba hakuna MUNGU mule ni kuwadanganya wajinga tuu
 
Back
Top Bottom