Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Unajua watanzania ni watu ambao tunatawaliwa kifikra na ulimwengu wa nchi zilizoendelea.

Hapo Awali Tanzania kulikuwa almost hakuna mashoga wala Lesbians lakini hivi sasa baada ya uzungu kutuingia mashoga na Lesbians wamekuwa wa kumwaga. Wasanii wetu walikuwa wanaimba nyimbo za kijamii na zenye kuhusiana na maisha yetu. Hivi sasa wasanii wanaimba nyimbo za kimagharibi na cultural traditional music is slowly fading away and replaced by what Westerners introduce into our heads. Hapo awali Vijana tulikuwa tukivaa nguo zetu vizuri na tukiongea kiswahili kilicho nyooka lakini hivi sasa vijana wanavaa suruali zinaanzia chini ya matako chupi nje na wakiongea wanabana sauti na kuslengisha kiswahili. Sasa hii naona munatuletea Ethisms na kujifanya nyinyi ndiyo mumesoma sana Science. Wacheni kutawaliwa kifikra na kuiga mambo ya wazungu.

Labda ni kuulize ni kinachokufanya usiamini Mungu?
Unapo sema.hapo mwanzo kweli zungumIa hapo mwanzo..

Hapo sisi tulikuwa hatuvai nguo,mababu zetu walikuwa wanatembea uchi
So kuvaa nguo mpaka milegezo yote sio culture yetu

Hapo mwanzo sisi..mababu zetu walikuwa wakiabudu mababu zao chini ya miti nk
Huyo GOD/allah kaletwa na mashua hakuwepo huku

So kubali au kataa,,ila ukweli n kwamba hata hapo mwanzo..tamaduni zishaingiliwa na kupotea hazipo

Wao wameleta,dini,na elimu
Ni wakat wa sisi kuamka na kujitambua
 
Kwamba Mungu aliletwa Africa kwa mashua?😀😀😀😀😀
 
Wakuu nakaribisha maswali zaidi, Kuliko kujikita kupinga bila hoja cc aretasludovick
Huwezi jibu maswali ikiwa kichwani upo njia panda.

Hatuwezi kufikiri sawa, kuamini sawa pia ndio kilichoshindikana. Ninachotaka kukuambia ni kuwa wewe usiyejua uwepo wa Mungu ni wazi upo kwenye ndoto ambazo hata uwepo wako bado ni wamashaka.

Huwezi kumthibitisha Mungu ikiwa bado huijui kesho yako na mambo yake. Hujui kwa nini upo Leo lakini si zaman?

Ndio maana nakuambia akili yako imetanzwa na maswali mengi ulioshindwa kuyapatia majibu.

Huwezisema Mungu yupo kwaakili yenye Maswali. Kitendo cha kuwa na maswali ni udhihirisho tosha kuwa bado unaakili ndogo isiyojua mambo mengi.

Karibu katika Elimu duara, elimu isiyo na pembe, Elimu inayozunguka bila miisho. Elimu isiyo na maswali wala kupitwa na wakati.
 
Unapo sema.hapo mwanzo kweli zungumIa hapo mwanzo..

Hapo sisi tulikuwa hatuvai nguo,mababu zetu walikuwa wanatembea uchi
So kuvaa nguo mpaka milegezo yote sio culture yetu

Hapo mwanzo sisi..mababu zetu walikuwa wakiabudu mababu zao chini ya miti nk
Huyo GOD/allah kaletwa na mashua hakuwepo huku

So kubali au kataa,,ila ukweli n kwamba hata hapo mwanzo..tamaduni zishaingiliwa na kupotea hazipo

Wao wameleta,dini,na elimu
Ni wakat wa sisi kuamka na kujitambua
Mungu hakuletwa kama usemavyo, Mungu alikuwepo katika kila jamii, lugha, jamaa, taifa na dunia kwa ujumla.
Unachojaribu kueleza ni kuwa watu walichanganya utamaduni na ubinafsi katika Kumtafuta na kumuabudu huyu Mungu.

Pia jamii moja kutaka kujitofautisha na jamii nyingi kulingana na mazingira na maumbile ndivyo vilivyopelekea Mungu aonekane kagawanyika.

Ukweli ni kwamba Mungu ni yule wa wote mwenye uweza japokuwa jamii zimemmilikisha Fulani zimemmilikisha na baadhi ya mataifa kumtaifisha huku baadhi ya watu kumbinafsisha. Jambo hili limefanya jamii nyingi kuchanganyikiwa.

Mfano wa watu waliojaribu kumbinafsisha Mungu ni pamoja na Waisrael ambao kupitia kitabu cha historia yao ambacho wengi hukiita kitabu kitakatifu "BIBLIA". Husema;
Mungu wa Ibrahimu, Isaka na yako, huku ni kumbinafsisha Mungu wa wote. Na ikiwa Mungu angekuwa wa Mtu mmoja mmoja basi ni wazi asingeweza kuwa wa Ulimwengu mzima.

Vitabu vya Biblia hasa Agano la kale, viliandikwa kiokombozi zaidi. Ukombozi pekee uliokusudiwa ulikuwa ni ukombozi wa taifa la Israel katika dunia hii. Hata alieandika vitabu vya mwanzoni kabisa alikuwa ni Mwanamapinduzi au Mkombozi wa awali wa taifa hilo. Mwanamapinduzi huyo na mwanaharakati ambaye aliitwa Nabii ili kwa malengo mahususi ndiye aliyeanzisha Vuguvugu kwa taifa hili ambalo lipo katika msuguano mpaka leo.

Nabii Musa mwanamapinduzi ndiye aliyeandika vitabu vitano vya awali katika biblia, aliandika vitabu hivyo kwa mtindo wa ubinafsi kwa taifa lake.
Nasema kwa Ubinafsi nikiwa namaanisha kabisa kutokana na baadhi ya visa vilivyomo katika vitabu vyake.

Aidha kuna kisa cha Yakobo na Esau ambacho kinaonyesha dhahiri lengo la mwandishi wa vitabu hivyo. Yakobo ambaye ndiye Israel aliutwaa ukubwa kwa Esau ambaye ni Baba wa waEdomu. Kisa hicho cha kusisimua kinaonyesha lengo kamili la mwandishi ambalo ni ubinafsi kwani Yakobo hakuwa na khaki yoyote ya kupata baraka ama kurithi katika familia ya Isaka. Musa akiwa mwanzilishi wa Kitabu cha Biblia kwa maandishi yake ndiye mtu aliyeleta mgogoro wa Uwapo wa Mungu.

Mfano wa Pili ni Wa Isaka na Ishimael.
Ubinafsi wa mwandishi katika kutetea asili ya mababu yake aliweza kuudhihirisha. Kisheria Mtoto wa kwanza hasa wakiume ndie anayetakiwa kuwa mrithi wa Mali.

Mtunzi Musa alijua kabisa Ishmael sio wa Taifa lake hivyo kumtukuza lilikuwa ni jambo baya sana kwake. Ukisoma kwa makini aya za kisa kile unaona jinsi Mungu alivyokuwa upande wa Ishmael.

Kama mtoto wa nje yaani wa mtumwa hajri hawezi kuwa Mrithi ilikuwaje kwa Yakobo na Wake zake wanne ambao kila mmoja alipata gawio katika nchi ya Kanani.

Biblia inasema kuwa Ibrahimu atabarikiwa na kuwa taifa kubwa lakini mtoto wake mmoja ambaye ni Ishmael ambaye ni wakwanza anafichwa kabisa pamoja na watoto zake wengine kwa mkewe Ketura. Watoto hawa wa ibrahimu Historia yao inawekwa kapuni na mwandishi Wa kitabu cha Mwanzo katika Biblia. Huku watoto wa Yakobo(Israel) wakiibuka kidedea katika historia. Moja ya sababu kubwa ni kuwa Mwandishi Musa alitoka katika moja ya makabila ya Israel hivyo huenda aliandika kwa ubinafsi au kwa kutojua ama kufuatilia vizuri historia ya vizazi vingine vya Ibrahimu.

Jambo jingine ambalo Musa alililenga si kumtangaza Mungu kama baadhi ya watu wadhaniavyo. Musa alishindwa kuandika mambo ya Msingi ikiwemo Asili ya mwanadamu. Ameelezea juu juu chimbuko la mwanadamu kana kwamba hakuona umuhimu wake. Pengine tusimlaumu kwa kutoelezea chimbuko lake kwani huenda hata yeye hakujua au hakuwa na taarifa muhimu zenye manufaa.
Musa alishindwa kuelezea Kwa kivipi Watoto Wa Adamu walivyopata wake zao.
Pia watu wengine walitoka wapi ambao Kaini aliogopa wasije wakamuua.

Mwandishi huyu pia alitumia lugha ambayo kimsingi huweza kumletea utata mtu mwenye akili ndogo au kubwa. Kwa mfano kitendo cha kusema Nyoka akamdanganya Hawa bado kinautelezi katika fikra za watu wengi.
Iweje nyoka amdanganye hawa wakati hakupewa uwezo kama binadamu aliye mfano wa Mungu.

Lugha ya mafumbo ya kitabu cha Mwanzo huwagawa watu katika makundi mbalimbali. Wapo wanaoachwa solemba kwa akili ndogo na wapo wanaotoa tafsiri kulingana nauwezo mkubwa wa akili zao.

Kwa mfano ikiwa wapo wanaofikiria kuwa nyoka alikuwa ni Shetani huku wakijiona wapo sawa basi hata wale wanaoona Tunda lilikuwa ni uchi au sex huenda nao wakawa sawa.

Musa hamtaji Shetani Mara kwa Mara jambo ambalo linazua utata. Mara nyingi hutumia watu Kama wachawi, waganga, wanajimu n.k. Jambo ambalo hakuna anayeweza kuthibitisha kuwa huu ni Uchawi au ni muujiza. Na upi ni Mungu na upi ni washetani. Kwa bahati mbaya wote husema wanamtumia Mungu. Hivyo kila upande humwona mwenzake ni Mchawi atumiwaye na Shetani.

Musa alijikita kuelezea Historia ya taifa lake na kusahau historia ya mwanadamu. Ndio maana naweza kusema Musa alisahau iwe kwa kujua au laa kusimulia habari muhimu za asili ya mwanadamu.

Dunia ipo hivi Leo kwasababu ya Musa, japokuwa kuna Imani nyingi lakini nyingi zinaamini kulikuwa na Adamu na Hawa.

Historia ya mwanadamu ikiwekwa sawa ndio ukweli kuhusu Mungu kuwepo haitakuwa na Mashaka.

Mungu yupo sema waandishi ndio huongozwa na athari mbalimbali katika kumwelezea hivyo hujikuta wakiacha maswali mengi kwa kuacha kusimulia baadhi ya matukio ya Msingi.

Musa alikuwa na athari ya elimu za kimisri hivyo lazima umakini uwepo katika kusoma habari zake na lengo lake na nafasi yake.
 
Kwamba Mungu aliletwa Africa kwa mashua?😀😀😀😀😀
Ndio ukweli wenyewe.... Mungu ana uwezo mkubwa mkubwa sana asingechoose njia hii ya kumjua yeye. This one is not the best approach kuwaweka wazi viumbe, kuna watu use religion belief kama njia ya kurubuni watu wasio na hatia. Wanamiliki mali nyingi kutokana na kubrainwash innocent people...they demand vitu vya thamani kwa kuwatisha watu hawhatia

Mungu alikuwa na uwezo wa kutufikishia meseji kupitia ndoto...kupitia malaika wake its very simple. Hivi kuna anabisha suala la kwenda chooni?? iko obvious, why Mungu mpka mtumie mtu mwingine kutufikishia meseji alafu mtu huyo aache watu wengine wasimuliane... hii ni moja ya sayansi yenye udhaifu. How do u know the scriptures has not changed... kwamba hakuna mtu aliyeweka interest zake ndani yake?? Uislamu unasema kila binadamu anatembea na malaika wawili.. mmoja anaandika maovu yako na mwengine anaandika mema yako... embu jiulize mbona teknolojia hii ya Mungu inapinga na uwezo wake... kwa maana hiyo Mungu ana wasaidizi wake, how come Mungu asaidiwe kuandikiwa zambi na mema za waja wake / viumbe vyake??? Alafu anakuja kupewa a compiled report kuhusu mienendo yetu au mnampa Mungu ukurugenzi au?... yaani haina tofauti na mtu alieajiri walinzi wamlindie mali zake. Why Mungu tunamvisha ubinadamu, awe na matendo ya kibinadamu how???
 
Anaehusika kuwachanganya watu ni nani?? Why wachanganyikiwe?? Ina maana binadamu ameumbwa ana itilafu God need to fix these. Si unajua kwamba wote tunaenda chooni...the same idea ya kwenda chooni ingekuwa applied kwenye kumjua yeye... na tusingechanganyikiwa. Ina maana kuchanganyikiwa kwetu kunasabishwa na aliyetuweka hapa. Katuweka bila kujua what is the purpose of life.... what are we doing here....??
 
Ndio ukweli wenyewe.... Mungu ana uwezo mkubwa mkubwa sana asingechoose njia hii ya kumjua yeye. This one is not the best approach kuwaweka wazi viumbe, kuna watu use religion belief kama njia ya kurubuni watu wasio na hatia. Wanamiliki mali nyingi kutokana na kubrainwash innocent people...they demand vitu vya thamani kwa kuwatisha watu hawhatia

Mungu alikuwa na uwezo wa kutufikishia meseji kupitia ndoto...kupitia malaika wake its very simple. Hivi kuna anabisha suala la kwenda chooni?? iko obvious, why Mungu mpka mtumie mtu mwingine kutufikishia meseji alafu mtu huyo aache watu wengine wasimuliane... hii ni moja ya sayansi yenye udhaifu. How do u know the scriptures has not changed... kwamba hakuna mtu aliyeweka interest zake ndani yake?? Uislamu unasema kila binadamu anatembea na malaika wawili.. mmoja anaandika maovu yako na mwengine anaandika mema yako... embu jiulize mbona teknolojia hii ya Mungu inapinga na uwezo wake... kwa maana hiyo Mungu ana wasaidizi wake, how come Mungu asaidiwe kuandikiwa zambi na mema za waja wake / viumbe vyake??? Alafu anakuja kupewa a compiled report kuhusu mienendo yetu au mnampa Mungu ukurugenzi au?... yaani haina tofauti na mtu alieajiri walinzi wamlindie mali zake. Why Mungu tunamvisha ubinadamu, awe na matendo ya kibinadamu how???
Nimekuwa nikisema mara kadhaa kwamba hii dhana ya kinachoitwa Mungu ni purely man made idea.
Kama Mungu angekuwepo na ndiye aliyetuumba, pasingekuwepo na haja ya sheria, vitabu, na viongozi wa dini kwani angetuumba tukiwa na uwezo asilia wa kumjua yeye na kumtumikia.

Ila kwanini tumtumikie Mungu kama yeye anaweza kila kitu?

Nadhani watu waliomuumba Mungu walimpachika sifa za kibinadamu sana.
 
Hahahaaa!!,
Wanadamu hupotea katika njia panda za fikra Zao.

Nmefurahishwa na jinsi unavyojieleza na kutaja wafuasi wa Mrengo wako. Kitu pekee ninachoweza kukwambia ni kuwa kila Swali litajibiwa. Ikiwa utataka majibu.

Ukiujua ukweli utakuweka huru, Nao ukweli ni nini basi?

Ukweli ni kumjua asiyekuwepo kwa mambo yaliyopo. Kumtafuta kwa bidii zote kwa akili aliyokupa. Ukweli hauji kwa kumpinga Asiyekuwepo katika njia panda ya Fikra za nyama.

Basi Nakusihi,, angalia sana katika siku zako, siku za mapito zako. usije ukajipoteza kwa yaliyopo machoni pako nawe ukakosa yasiyokuwepo katika macho yako na Akili yako ambayo katika hayo ndio asili ya roho yako.
Yaani umempa ushauri mzuri sana ila kwa jinsi navyomsoma ni sawa na kumfundisha mtoto kuandika na kusoma ili hali hawezi sema hata jina la baba/mamaye.
 
Umesahau hii hapo kabla tulikuwa tunaabudu kwenye miti na mapango, wakaja wamisionari na waarabu. Siku hizi makanisa na misikiti ya kumwaga na kuna wafuasi kindakindaki kuliko walioleta dini hizo. Sio cultural traditional tu hata cultural beliefs zimekuwa faded na hizi zilizokuja na meli.
Hiyo haibadilishi ukweli wa Existence of GOD. Hizo ni short commings za watu. You cannot rule out existence of The Almighty because of Human faiure.
 
Hapo awali ni ipi hiyo.... which year?? Tulikuwa tunavaa vizuri mwaka gani? Unajua kwamba hakuna kilichoanza kama tulivyo... binadamu ametaka time kuweza kujitambua na kuadapt kidogo kidogo kutokana na mazingira yake....sisi ni kizazi cha mbali sana. Vizazi vingi sana vilivyopita havikuwa kama sisi... kwenye uvaaji, kuabudu n.k....
Haya basi Anzia kutoka wakati wa uhuru basi.
 
Unajua watanzania ni watu ambao tunatawaliwa kifikra na ulimwengu wa nchi zilizoendelea.

Hapo Awali Tanzania kulikuwa almost hakuna mashoga wala Lesbians lakini hivi sasa baada ya uzungu kutuingia mashoga na Lesbians wamekuwa wa kumwaga. Wasanii wetu walikuwa wanaimba nyimbo za kijamii na zenye kuhusiana na maisha yetu. Hivi sasa wasanii wanaimba nyimbo za kimagharibi na cultural traditional music is slowly fading away and replaced by what Westerners introduce into our heads. Hapo awali Vijana tulikuwa tukivaa nguo zetu vizuri na tukiongea kiswahili kilicho nyooka lakini hivi sasa vijana wanavaa suruali zinaanzia chini ya matako chupi nje na wakiongea wanabana sauti na kuslengisha kiswahili. Sasa hii naona munatuletea Ethisms na kujifanya nyinyi ndiyo mumesoma sana Science. Wacheni kutawaliwa kifikra na kuiga mambo ya wazungu.

Labda ni kuulize ni kinachokufanya usiamini Mungu?
Hii post yako mkuu kuanzia juu nilitarajia hitimisho lake liwe "Mungu na dini ni uzungu hatupaswi kuufuata mkumbo". Umepiga U turn.
Ila si shida kabla ya wamishenari na waarabu kuja tulikua tuna dini gani huku Afrika?
 
Hivi kwanini wengi wanaoamini uwepo wa Mungu wanaishia kutishia tu? Mara utasikia we amini tu! Then what?..Ukifuatilia sana dini unaweza kuwa chizi and from my observation hakuna dini ilio sahihi hata moja Duniani kwa sababu kama kungekua na dini sahihi basi wote tungekua na dini moja lakini kutokana na wengi kuendelea kumezeshana vitu ambavyo havipo ndo tunapata watu ambao hawawezi wakatupa empirical evidences za kwanini wao wapo kama walivyo.
Tusijazane Uoga
Hii observation yako sioni uimara wake, wingi wa vitu ndiyo uhalalishe kwamba vyote siyo sahihi?
 
Unapo sema.hapo mwanzo kweli zungumIa hapo mwanzo..

Hapo sisi tulikuwa hatuvai nguo,mababu zetu walikuwa wanatembea uchi
So kuvaa nguo mpaka milegezo yote sio culture yetu

Hapo mwanzo sisi..mababu zetu walikuwa wakiabudu mababu zao chini ya miti nk
Huyo GOD/allah kaletwa na mashua hakuwepo huku

So kubali au kataa,,ila ukweli n kwamba hata hapo mwanzo..tamaduni zishaingiliwa na kupotea hazipo

Wao wameleta,dini,na elimu
Ni wakat wa sisi kuamka na kujitambua
Kwa hiyo uko tayari tutembee UCHI dunia nzima na tuabudu mababu zetu chini ya MITI? Hiyo ndio AKILI yako kweli???
 
Kuna kaliba ya imani/mtazamo fulani inajiona yenyewe ndio iko sahihi kuliko nyingine
Tunaishi kwenye ulimwengu huru wenye mitazamo na imani za kila aina
Ni ukweli usiopingika kuwa kuna siku dunia nzima itakuwa na mtazamo mmoja tu
 
Hii post yako mkuu kuanzia juu nilitarajia hitimisho lake liwe "Mungu na dini ni uzungu hatupaswi kuufuata mkumbo". Umepiga U turn.
Ila si shida kabla ya wamishenari na waarabu kuja tulikua tuna dini gani huku Afrika?
Kulikuwa ni sawa na Mapagani na tulikuwa tunatembea uchi. Sasa ndio unataka turudi nyuma badala ya kusonga Mbele??
 
Kwani kila mmoja akiamini anachokiamini tatizo liko wapi? you hate me, I hate you baasi.
 
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi, Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya Jf sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje .NakaribiSha mijadal zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
Salaam,
Mkuu usijichoshe, maana umeshajichosha sana, Mungu alimuumba mtu na kumweka katika hii dunia, kimsingi alishamaliza kazi yake,Mungu yupo , omba saaana tena sana upate neema ya kumjua, kwa ufupi wewe ni kazi ya Mungu, Miti ni kazi ya Mungu hauhitaji nguvu kubwa kumtafuta. Ukimtafuta kwa namna isiyo sawa huwezi kumpata, Hakika yupo natamani sana ufunguke.
 
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi, Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya Jf sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje .NakaribiSha mijadal zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
pointless
 
Mimi hata grup langu la chuo wananiona wa ajabu hasa pale ninapo wapinga live kuhusu huyo mungu.
Lkn kwasasa naona kuna baadhi wamebadilika na kuwa open mind.

Mwanzon unaonekana km jiti lililokosa adabu, lihuni lkn kadri unavyowatemea facts wakaanza kunielewaa.

Sasa tunaheshimiana na wengi kwasasa hawajishughulishi na mambo ya imani km zaman
ze mzungu effect
 
Back
Top Bottom