Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Kwahio na wewe unataka upate comments 3k..
 
Unaweza kuthibitisha kuwa katika kabati lako la nguo

Hakuna shati lisiloonekana[invisible]?
Mie nimetaka kwanza kuelezwa ili nielewe kwanini haiwezekani kuthibitisha kitu ambacho hakipo matokeo yake mnakimbilia kutoa mifano kwa kuchagua vitu mnavyoona nitashindwa kuthibitisha,mnashindwa kuelewa kuwa hata mie nikishindwa kuthibitisha kuwa hicho kitu bado haijafanya kuwa visivyo kuwepo haiwezekani kuthibitishwa. Ndiyo maana mimi nikataka kwanza mnieleze kwanini haiwezekani maana hata mimi ninayo mifano ya uwezekano wa kuthibitisha kuwa kitu hakipo.

Ila niache hayo na twende kama mnavyotaka. Kuhusu kuthibitisha shati lisiloonekana ungeniambia kwanza ni njia gani zinazotumika kuweza kulitambua hilo shati ambalo halionekani? halafu ndiyo nitaweza kujua kuwa hilo shati lipo au halipo kwenye kabati na ndipo nitaweza kuthibitisha endapo halitakuwepo kwenye kabati.
 
Mimi siamini uwepo wa MUNGU na watu wakaniita mm atheist yes kama maana atheist ni kuto amin uwepo wa mungu mimi ni atheist...but haina maana kuwa hakuna kitu ambacho siamini,

kwa mfano WAZAZI wangu naamin kwamba ni.wazazi kwasababu wananifanyia yale ambayo mzazi anafanya kwa mwanae,sina haja ya kuanza kudhibisha kuwa hawa kweli ni wazazi wangu....!!!

Ila kuamini kuhusu sir god kuna.ukakasi,sifa zilizopo ktk historia yake n tofaut na matendo yake,

Ana upendo gan,anaumba dhambi baadae anajuka kukuhukumu kwa mistake alio fanya yeye

Baba gan umemtume mwanao,apigwe,atese,na mwisho kuuliwa na nakuludi kwako eti kutukomboa wakat angekuwa kama mnavyo mwelezea haya yote yasinge kuwepo

Yapaswa mnao amini uwepo wa huyu jamaa Mdhibishe uwepo wake ili nasi tumwelewe,

Note
Wapo watu ambao wameamua.kuto kuamin,pia nazan wapo kundi la watu wasio amin uwepo wa mungu (atheist)
Mimi ndiyo huwa nasema kwamba wakristo wengi ndiyo hugeuka atheists ila watu hawanielewi na hunipinga.

Maelezo yako uliyotoa kuhusu mashaka yako ya uwepo wa mungu yameegemea kwenye ukristo,sasa mimi nafikiri wapo wajuzi watakujibu ila mie najadili hii dhana ya kutokuwepo kabisa mungu kiujumla wake.
 
Hii Hospital moja tu pale Dom haitoshi kwa Watanzania kama tutajadili mada hii Pendakezo langu ziongezwe ziwe Kane 5 hivi tupelekwe. Tukirudi naamini mjadala utakuwa mfupi sana
 
Wazungu na waarabu

Na kwann siamini uwepo mungu ni kwasababu hayupo
Maana history inayo mzungumzia ktk vitabu pia haijaweka any testable proof kuwa god n real...

Tatizo linngine maovu ktk hii dunia
Vifo vya watt wadogo,wamama wasio na hatia ..VITA

magonjwa ya kutisha
Njaaa
nk
Vinatesa watu but bado hapohapo tunasema god is perfectly
God is powerfully and he knw everthing yet anashindwa kuprevent mateso yanayo wakumbu watu anao wapenda na huku uwezo anao kweli ana upendo huyo..??

Sure nakwambia
Kama God/allah is possibility real,,but is not good he is more evil than humanity

I will not follow an unjust and evil GOd/Allah

IF NO ONE INDOCTRINATED CHILDREN WHILE MINDS WERE STILL VULNERABLE NO ONE WOULD BELIEVE IN SUCH NONSENSE

Na watu wengi wanao believe in God\Allah are doing blind belief..

Anakuwa mkristo/muslims kwasababu baba au familia yao ni mkristo/muslims
So do you suppose this Universe & The World & everything in it came to existence?
 
Hivyo kukataa EXISTENCE of GOD kwa jinsi unavyo sema wewe ni sawa na kusema WATOTO ambao Walevi, Wahuni, Majambazi, Waasharati na MAOVU chungu mzima wafanyao KUKATAA kuwa WANAWAZAZI. Ya kwamba kwa kauli yako hao Watoto Wametokea tu kuwa watoto kwa NATURE lakini hana Wazazi. Je hiyo inaingilika AKILI KWELI???
 
Haya mambo ya uwepo wa MUNGU ni ya kiroho zaidi hayahitaji mabishano na ngebe zisizo na maana, na ni vyema kutenganisha Dini na uwepo wa Mungu kwani huko mnajichanganya zaidi kwani kuna wengi wasio na dini ila wanaamini uwepo wa MUNGU...
 
UHURU JR said:
Ila niache hayo na twende kama mnavyotaka. Kuhusu kuthibitisha shati lisiloonekana ungeniambia kwanza ni njia gani zinazotumika kuweza kulitambua hilo shati ambalo halionekani? halafu ndiyo nitaweza kujua kuwa hilo shati lipo au halipo kwenye kabati na ndipo nitaweza kuthibitisha endapo halitakuwepo kwenye kabati.
Umeona unavyojichanganya?

Anayetakiwa kukupa mbinu za kulitambua ilo shati lisiloonekana ni yule anayesema lipo au yule anayesema halipo?
 
Umeona unavyojichanganya?

Anayetakiwa kukupa mbinu za kulitambua ilo shati lisiloonekana ni yule anayesema lipo au yule anayesema halipo?
Mi sijasema kuwa hakuna shati lisiloonekana kwenye kabati ila wewe umeniuliza kama naweza kuthibitisha kutokuwepo kwa shati lisiloonekana kwenye kabati langu.

Huwezi kusema tu kitu fulani kipo au hakipo bila ya kuwa na sababu za kukufanya useme hivyo,sasa anayejichanganya ni wewe ambaye unaanza tu kuniambia thibitisha shati lisiloonekana kwenye kabati.

Hata sie tungesema mungu yupo lakini haonekani halafu tusieleze sifa zake wala chochote kuhusu huyo mungu, je unafikiri hata nyie mngewezaje kusema kuwa mungu hayupo katika mazingira hayo?maana nyie mnasema mungu aliyeelezwa kwenye vitabu vya dini hayupo maana mmesha soma sifa bila ya hivyo mngetumia nini kusema tu hayupo hali hata hujui sifa zake zikoje.
 
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi.

Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya JamiiForums sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje. Nakaribisha mijadala zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
Like many kinds before you, Men and Women of Human kind, you have a journey of restraint and constriction ahead of you...a journey of difficulty and resistance. But, unlike many kinds before yours, you are on the path of spiritual self destruction never experienced or self provoked by the other kinds before...And yet, you so young
You have 2000 more (of your) years to change...after that, men of the Human kind, it will be too late. Not too late for your survival BUT too late for your salvation! Your spiritual salvation
The "Council of 5" can only keep you safe from other kinds, NOT from yourself

And we know that after thousands of (your) years, by means of infiltration, disguisement and deceit, you, men of Human kind, have been fooled to believe the unacceptable by races that do not wish you well...

Your strength is inside of you and all around you...even now
Your strength is in Her...and She is inside YOU, men and women of the Human kind
The answer is She...Artemis, Diana
Some accept it, other don't...but the answer is only one: She! It has been this way from the beginning and it will be this way, men and women from the Human kind, untill the End...
It has been this way here and in all 4 universe and dimensions...
"She" has many names...and many faces...and lives in many places..."She" is creator, NOT the destroyer...In your planet She was and is called Diana...or Goddes Diana...in other universes she called lexae,lixae,alixi,dixae and tixae

SHE is the one that you, religious men from the Human kind, lost in your robes and memory, want to be and try to replicate

Search for Her, learn of and from Her...She is the TRUTH, the Light, the beginning and but never the End, the Creator and never the Destroyer...The ONE all of us came from.
 
Mimi ndiyo huwa nasema kwamba wakristo wengi ndiyo hugeuka atheists ila watu hawanielewi na hunipinga.

Maelezo yako uliyotoa kuhusu mashaka yako ya uwepo wa mungu yameegemea kwenye ukristo,sasa mimi nafikiri wapo wajuzi watakujibu ila mie najadili hii dhana ya kutokuwepo kabisa mungu kiujumla wake.
Okay sawa sawa

Ila wajua kwann wakristu n weng kwenye atheism kuliko walivyo waislam

Na ukitazama waweza kuta moyon waislam kibao ni atheist ila basi hawana.namna

Juz kat kuna.dogo saudia alipost mtandaoni kwamba yy atheist..yaliyo mkuta anajua mwenyewe

Kiufupi walazamisha,so hawapo huru
 
Sijui labda unaweza ukawa sahihi,lakini unataka kusema hata humu Jf pia wanaogopa?
Lakini pia unataka kusema katika familia zenye imani ya kikristo hakuna tatizo endapo mmoja atajitambulisha kuwa ni atheist? maana tumeona watu wakitengwa kwa kubadili dini tu je vp kuwa atheist?

Hata hawa wanaojitambulisha humu sidhani kama wote familia zao zinajua kuwa hawaamini mungu.
 
Ukisema China haipo bi mana hapo mwanzo ilikuwepo na ndomana kwasasa umeenda hujaikuta.
Na ushahidi kamili kwa neno lenyewe China itamaanisha hivi.
China ipo atakama ulienda na hujaikuta bado IPO.
So,ALLAH YUPO.
 
Sijui labda unaweza ukawa sahihi,lakini unataka kusema hata humu Jf pia wanaogopa?
Lakini pia unataka kusema katika familia zenye imani ya kikristo hakuna tatizo endapo mmoja atajitambulisha kuwa ni atheist? maana tumeona watu wakitengwa kwa kubadili dini tu je vp kuwa atheist?

Hata hawa wanaojitambulisha humu sidhani kama wote familia zao zinajua kuwa hawaamini mungu.
Sijafanya utafiti wa kutosha coz batokea nyanda za juu kusini ambako waislam wachache mnooo si sijui zaid

Ila kwa wachache nao wajua huwa uhuru hawana

Mfano tuu,nmesoma shule za bwen toka form one mpk six tena boys

Sasa huwa kunakuwa disco siku flan wtt wa girls wanakuja pale

Baadh ya dini wanahudhuria kero sema walokole huwa wananyana ,ila tofaut kwa waislam dogo atakae atend disco ..ajue baadae n viboko

Huwa nikawa najiuliza kwann wanalazamishana wakat mungu yupo

Na kwann mungu asikwambie kwa unakosea,

Vilevile dini zinasema DHAMBI sio kwamba lazima ushiriki physically but hata spiritually

So kwa nijiavyo mm ni wengi wanaishi kwa woga na sio kwamba wanaiman na kumuelewa huyo mungu

Afadhali.hata atheist walio amua kuwa huru,kuishi kwa uoga na hofu ni utumwa pia

Watu wanaigiza kwamba wana.iman yote kuogopa kutengwa nk

Ilihari.hata huyo mungu hayupo,

Mimi napenda kuweka msimamo kwamba,kama huyo mungu yupo na hapendezwi kwa jinsi navyo ishi basi yeye ndio aniambia na sio nyinyi
 
Kwa tafsiri ambayo unaikusudia ya Uhuru,basi nikwambie tu hakuna anayeishi kwa Uhuru hata hao atheists wako.

Halafu pia kuna jambo ambalo huwa mnajichanganya,hapa tunajadiliana katika kutaka kujua ukweli wa kuwepo au kutokuwepo kwa mungu.
Sasa ukianza kusema kwamba mungu ndiyo angepaswa kukuambia endapo unakosea na sio sie sidhani kama hapo inaleta mantiki,maana kuna wengine pia husema kama mungu yupo mbona hajitokezi?

Hii inaonesha hamjadili katika kutaka kuujua ukweli,haiwezekani huyo mungu akawa vile ambavyo wewe unataka na kwa lipi hasa hadi iwe hivyo?

Huwa nasema ni sawa na mtu ambaye anamtafuta mzazi wake lakini hamjui ikoje ila anaweka masharti ya jinsi huyo mzazi atakavyo yeye awe na asipokuwa hivyo hatokubali kuwa ni mzazi wake. Hii haileti maana kabisa
 
Ninwajanja yea ,b`coz naona waumini wao wanavyo teseka na kumaa na dini km vile ndio itamletea chakula ndan

Hawana uwezo wowote wa kumponya mtu,maama ukienda kuponywa na usipo pona wanasema huna imani...

Sasa kweli kwann wasiniombe nipate iman,
Ushahidi tosha mm hapa mwenyewe navyo kueleza kusikia natumia hearing aid

Sasa achana na.mm nisie.kuwa na iman,naushahid n X wangu anamatatizo ya moyo,kaombewa makanisa tofaut tofaut karbia miaka 10+ sasa na.bado ana iman,na haja pona mpk sasa,zaid anaishi kwa dawa za kutuliza maumivu miaka nenda rudi

Katembea kwa waombaji maarufu wote hapa nchini pamoja kwa nigeria kwa tb joshua,kaangaika mpk huruma ila miaka kibao hakuna jibu
Sasa hao na miujiza yao wanaponya watu gan,Xwangu ana iman mpk kesho na anasema maisha yake kaamua kumkabihi mungu, ila mungu kama yupo naona muuaji tuu

Unataka ushahidi mwingine,nmeiingia mala kibao kwa mzee upako,yaan ukiwa huna.sadaka watu wanakushangaa,maana nilikuwa naenda kisa msichana flan hv.....ila nikajua gundua kwamba hakuna MUNGU mule ni kuwadanganya wajinga tuu
Mkuu unahitaji maombi.

Huwezi kumwomba Mungu ukatarajia akupe hapo hapo. Pengine huyo X wako Mungu anampima imani yake. Mfano Ayubu mtumishi wa Mungu alivyojaribiwa
 
Mkuu unahitaji maombi.

Huwezi kumwomba Mungu ukatarajia akupe hapo hapo. Pengine huyo X wako Mungu anampima imani yake. Mfano Ayubu mtumishi wa Mungu alivyojaribiwa
Hapo ndio mnaniacha hoi.... Mungu hajibu maombi. Waambie wachungaji na mashekhe waingize timu yao uwanjani wajumlishe na maombi, ikiwezekana wacheze 15.... alafu tuone kama watashinda. Kila kitu kipo governed na physical laws and principles...Mungu hawezi kujikanyaga mwenyewe... so u are wasting ur time...
 
Back
Top Bottom