ATCL bado sana kwenye Safari za anga

ATCL bado sana kwenye Safari za anga

Ficha upumbavu wako aunt, wenye akili wanapotoa neno wew mpumbavu div 5 kaendelee na kunyonyesha, mbwa koko wewe
matusi yako hayakuongezei akili
takataka ni takataka tuu kama kuumia mtaumia sana air tz is here to stay!!
kama unahasira meza boga
 
Nimechanganya mada wapi wewe? 😳😳😳
Hivi unaishi Nchi gani hata usijue wala wanaoanika UOZO sehemu mbali mbali ndani ya hii Serikali na taasisi zake wanawindwa usiku na mchana na wengine wameuawa? Acha kujitoa ufahamu.

Mbn unachanganya mada ss, c tunaongelea uzalendo? Mzalendo anakuwaga muoga? Weka picha wacha maneno.
 
Nimechanganya mada wapi wewe? [emoji15][emoji15][emoji15]
Hivi unaishi Nchi gani hata usijue wala wanaoanika UOZO sehemu mbali mbali ndani ya hii Serikali na taasisi zake wanawindwa usiku na mchana na wengine wameuawa? Acha kujitoa ufahamu.
Kwa hiyo hapa tunaongelea ndege kutoka Kilimanjaro kwenda Kampala au tunaongelea ndege kutoka Dar kwenda Guanzhou?
 
Kwani kuna tofauti ipi? Mada ni kuhusu uendeshaji mbovu wa ATCL ambao unasababisha hasara ya mabilioni na hata Watanzania wachache wanaoweza kusafiri na shirika hilo wanalikimbia kutokana na huduma zao mbovu ukilinganisha na mashirika mengine ya usafiri wa anga duniani.

Hata hiki unachokisema pia ni uwongo, Atcl inasifiwa mpk na Wakenya kwa ss ila ww unaongea kinafki, ok ngj niachane na ww cz nshakusoma who r u and what is your purpose.
 
Nasimama na mleta mada. Pamoja na juhudi kubwa za Mh. Rais za kufufua shirika letu la ndege, kama uongozi na wafanyakazi wa ATCL hawatafanya kazi kwa weledi shirika litakufa. Uzembe ni lazima ukemewe. Tuache kuendekeza uzembe kwa kigezo cha 'mapungufu ya kibinadamu'.
Tatizo la ATCL ni kuajiri kwa undugu bila kuangalia ujuzi na uzoefu wa kazi.
Nilikuwa pale Mwanza Airport siku moja, wale wahudumu kwenye desk LA CHCK IN wakawa kusearch jina tu wameitana watatu kwenye computer. Kweli nilihuzunuka sana na zaidi sana nilipokwenda kwenye ndege kwenyewe kwa kweli unayaona mapungufu mengi ukilinganisha na mashirika ya wenzetu. Nikajiuliza kwa huduma hizi watawza kushindana na mashirika mengine kweli? Kama wanashindwa kuspel majina sawasawa hawa kweli wanaweza kushindana kwenye soko kweli.
 
Rais JPM anajitahidi kufufua shirika letu la ndege lakini namna linavyojiendesha ni tatizo. Tusipopiga kelele litakufa tena na juhudi za kulifufua zitakuwa zimehujumiwa.

Muhula wa masomo China umemalizika. Wanafunzi waliohitimu wanarudi makwao. Nchi nyingi zinachukua wanafunzi wake kwa ndege zao or any other chattered flights.

Serikali yetu imeamua kuchukua watu wake kwa ndege yetu ya Dreamliner ambayo imeondoka leo saa kumi jioni (one way, kutoka Guanzhou mpaka JNIA, Dar)
_
Lakini zoezi hili limekuwa na kasoro nyingi. Moja ni gharama kuwa juu karibu mara mbili kulinganisha na mashirika mengine. Lakini wamelazimika kulipa kwa sababu serikali imezuia kurudi kwa ndege nyingine isipokua ATCL kwa kile kinachoitwa Uzalendo.

Pili, mwezi mmoja uliopita wahitimu walitakiwa kutuma nakala za passport zao ili waandaliwe tiketi. Wakatuma na wakawa wanasubiri itinerary ili kupewa tiketi.

Juzi wakapokea ujumbe kutoka Ubalozi wetu China, kwamba ATCL imefanya makosa mengi kwenye tiketi. Wamekosea spelling, Lulu Kicheere ameitwa Lulu Kicheche. Wamekosea jinsia, John kaandikwa Female na Prisca Male. Wamekosea tarehe za kuzaliwa. Kuna waliozaliwa 1890 kabla ya vita vya Majimaji. Wamekosea mpangilio wa majina na makosa mengine mengi.

ATCL walipotakiwa kufanya marekebisho walidai muda uliobaki usingetosha kurekebisha makosa yote. Kama walipewa mwezi mzima wakafanya makosa mengi hivi, wangewezaje kurekebisha kwa siku mbili.

Kwahiyo ubalozi wetu China ikabidi uandae orodha ya majina itakayotumiwa na wasafiri. Jana Ubalozi umesema ticket za ATCL hazitatumika kama kigezo pekee cha kusafiri bali abiria watahakikiwa kupitia orodha ya majina iliyoandaliwa na ubalozi huo.

Jiulize, hivi tupo serious na biashara ya usafiri wa anga? Kama mwezi mzima ATCL wameshindwa kuandaa tiketi, tena kwa safari moja, je safari zikiwa kila siku itakuaje? Tumebaki kusifu idadi ya ndege, kumbe hatuna uwezo hata wa kuandaa tiketi? Leo watu wanapanda ndege kama daladala? Hakuna hata boarding pass, unakaa siti yoyote iliyo wazi kama mabasi ya Bukene Nzega. Aibu gani hii?

Kumbuka Nyerere aliacha shirika likiwa na ndege nyingi sana, lakini likafilisika kwa sababu ya management mbovu. Sasa tunarudi kulekule?

Malisa GJ

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]

Jr[emoji769]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mie SIKURUPUKI ninapoandika hapa. Sasa Wakenya wanasifia ATCL kwa lipi? kuingiza hasara ya mabilioni? hahahaha

Air Tanzania 2017 na 2018 hasara bilioni 25 nadhani ni wakati sahihi wa kufikiri namna sahihi ya kutengeneza faida

MK254
Ww nimekugundua ni mpuuzi mmoja tu yn reference yako ni Jf? Hyo hasara umeitolea wapi wkt statement of comprehensive Income ya Atcl ina mda hawajaifanyia disclosure umepata wapi kujua km the corporation has been operating under a loss? Hata kama ina operate under under a loss hyo ni kitu tunachotegemea cz tng walifufue shirika limekuwa likilipa madeni yaliyopita yn limekuwa likipunguza madeni so kwa mtu yeyote makini hawezi kutegemea profit kwa Atcl recently.

But all in all shirika lipo linapiga kazi na ndege zinazd kuongezeka hvyo basi kwenu ninyi wanasiasa itawawia vigumu sana kipindi hiki cha huyu mzee cz hataki siasa nyingi kwenye kazi ambapo inawapelekea muwe na wakati mgumu mno cz siasa ndiyo kazi yenu.
 
Wewe ni MPUMBAVU kweli unaona kabisa nakuwekea kauli ya CAG ambayo mtu aliiweka humu na wewe kwa akili yako FINYU unadhani ni UZUSHI.

Huyu kishashindwa kwani anaficha mambo mengi sana kwa KUOGOPA KUUMBUKA huku akiwa anavunja sharia za Nchi. Hana mamlaka yoyote ya kumzuia CAG kukagua gharama halisi zilizotumika katika kununua hizo ndege alizonunua lakini hadi hii leo amegoma kumruhusu CAG kukagua gharama hizo kwa sababu bila shaka kuna wizi na ufisadi wa kutisha ambao hataki Watanzania tuujue.

Biashara ya ndege ni ngumu mpuuzi wewe hata baada ya miaka 25 ATCL hawawezi kutengeneza faida yoyote ile kwa kuwa hawana uwezo wa kushindana na washindani wao mbali mbali duniani. Hivyo kila mwaka itakuwa ni hasara mbele kwa mbele na ndiyo sababu Watanzania wengi tulisema kununua ndege si kipaumbele cha Wtanzania na pia zitaendeshwa kwa hasara kubwa sana.

Shirika lazima lijiendeshe kwa hasara hata kama linapata profit annually. Fanya hesabu ndogo tu;

Mfano wewe umeanzisha biashara yako lkn uliianzisha ukiwa na madeni kutokana na biashara hyo yn unadaiwa mil2

Mwaka wa kwanza biashara imepata faida ya shilingi laki5 hivyo basi ukichukua iyo faida ukalipa deni itaonekana hakuna faida umetengeneza na bado unadaiwa shilingi milioni 1.5 so the same applies to Atcl.
 
Kumbe una maneno ya kwenye kahawa hivi, ckuwa najua na argue na mtu wa dizain hii ok tufanye yaishe nimekuelewa.
 
Hahahahahahaha sasa unataka kumbishia hata CAG ambaye amekagua Financial Statements za ATCL!!!! 🤣 🤣

Shirika lazima lijiendeshe kwa hasara hata kama linapata profit annually. Fanya hesabu ndogo tu;

Mfano wewe umeanzisha biashara yako lkn uliianzisha ukiwa na madeni kutokana na biashara hyo yn unadaiwa mil2

Mwaka wa kwanza biashara imepata faida ya shilingi laki5 hivyo basi ukichukua iyo faida ukalipa deni itaonekana hakuna faida umetengeneza na bado unadaiwa shilingi milioni 1.5 so the same applies to Atcl.
 
Hahahahahahaha sasa unataka kumbishia hata CAG ambaye amekagua Financial Statements za ATCL!!!! [emoji1787] [emoji1787]
Najua nakupeleka sehemu ngumu ya kitaaluma ila ngj nikueleweshe kdg, kuna kujiendesha kwa hasara na kuna kupata hasara hz sentensi ni tofauti, unaweza kupata faida ila ukawa unajiendesha kwa hasara lkn ukipata hasara maana yake unajiendesha kwa hasara. Rejea mfano nliokupa juu.
 
Hahahahahahaha sasa unataka kumbishia hata CAG ambaye amekagua Financial Statements za ATCL!!!! [emoji1787] [emoji1787]
Alafu mbn CAG hakutaja Atcl peke ake alitaja mashirika karibu 10 yanayojiendesha kwa hasara.
 
Rais JPM anajitahidi kufufua shirika letu la ndege lakini namna linavyojiendesha ni tatizo. Tusipopiga kelele litakufa tena na juhudi za kulifufua zitakuwa zimehujumiwa.

Muhula wa masomo China umemalizika. Wanafunzi waliohitimu wanarudi makwao. Nchi nyingi zinachukua wanafunzi wake kwa ndege zao or any other chattered flights.

Serikali yetu imeamua kuchukua watu wake kwa ndege yetu ya Dreamliner ambayo imeondoka leo saa kumi jioni (one way, kutoka Guanzhou mpaka JNIA, Dar)
_
Lakini zoezi hili limekuwa na kasoro nyingi. Moja ni gharama kuwa juu karibu mara mbili kulinganisha na mashirika mengine. Lakini wamelazimika kulipa kwa sababu serikali imezuia kurudi kwa ndege nyingine isipokua ATCL kwa kile kinachoitwa Uzalendo.

Pili, mwezi mmoja uliopita wahitimu walitakiwa kutuma nakala za passport zao ili waandaliwe tiketi. Wakatuma na wakawa wanasubiri itinerary ili kupewa tiketi.

Juzi wakapokea ujumbe kutoka Ubalozi wetu China, kwamba ATCL imefanya makosa mengi kwenye tiketi. Wamekosea spelling, Lulu Kicheere ameitwa Lulu Kicheche. Wamekosea jinsia, John kaandikwa Female na Prisca Male. Wamekosea tarehe za kuzaliwa. Kuna waliozaliwa 1890 kabla ya vita vya Majimaji. Wamekosea mpangilio wa majina na makosa mengine mengi.

ATCL walipotakiwa kufanya marekebisho walidai muda uliobaki usingetosha kurekebisha makosa yote. Kama walipewa mwezi mzima wakafanya makosa mengi hivi, wangewezaje kurekebisha kwa siku mbili.

Kwahiyo ubalozi wetu China ikabidi uandae orodha ya majina itakayotumiwa na wasafiri. Jana Ubalozi umesema ticket za ATCL hazitatumika kama kigezo pekee cha kusafiri bali abiria watahakikiwa kupitia orodha ya majina iliyoandaliwa na ubalozi huo.

Jiulize, hivi tupo serious na biashara ya usafiri wa anga? Kama mwezi mzima ATCL wameshindwa kuandaa tiketi, tena kwa safari moja, je safari zikiwa kila siku itakuaje? Tumebaki kusifu idadi ya ndege, kumbe hatuna uwezo hata wa kuandaa tiketi? Leo watu wanapanda ndege kama daladala? Hakuna hata boarding pass, unakaa siti yoyote iliyo wazi kama mabasi ya Bukene Nzega. Aibu gani hii?

Kumbuka Nyerere aliacha shirika likiwa na ndege nyingi sana, lakini likafilisika kwa sababu ya management mbovu. Sasa tunarudi kulekule?

Malisa GJ
ATCL ijitahidi kutoa huduma bora zaidi
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
ATCL ijitahidi kutoa huduma bora zaidi
Hiki ndicho kinachotakiwa kwa sasa kwamba kwenye mapungufu wayaondoe wasilete mazoea ktk biashara yenye ushindani km ya ndege lkn co mtu analeta propaganda za kisiasa humu kisa ana chuki binafsi.
 
Naam lakini ATCL Watanzania wengi tulitoa onyo kwamba kwanza si kipaumbele cha Watanzania kwani ni usafiri wa gharama kubwa sana na ni 5% tu ya Watanzania wanaoweza kumudu gharama zake hivyo kusababisha hasara kubwa sana. Na hilo limekuwa kweli imagine hiyo 2 trillions ingeelekezwa kwenye vipaumbele vingine vya Taifa.

Hata hiki unachokisema pia ni uwongo, Atcl inasifiwa mpk na Wakenya kwa ss ila ww unaongea kinafki, ok ngj niachane na ww cz nshakusoma who r u and what is your purpose.
Alafu mbn CAG hakutaja Atcl peke ake alitaja mashirika karibu 10 yanayojiendesha kwa hasara.
 
Hilo ni muhimu na watu wakiwaambia wanaitwa si wazalendo. Unapelekaje ndege yenye uwezo wa kubeba zaidi ya watu 200 kutoka Kilimanjaro hadi Kampala ikiwa na abiria wanne tu kisha utegemee faida? Cancellation za safari kwa siku chungu nzima kwa namna hii utawavutia abiria kweli?

ATCL ijitahidi kutoa huduma bora zaidi
 
Back
Top Bottom