ATCL bado sana kwenye Safari za anga

ATCL bado sana kwenye Safari za anga

ATCL wana waajiriwa ambao wakipata tu chakula wanatosheka wanalala wala hawajisumbui.
 
Poleni sana kwa waathirika wa hii incident, Watanzania wenzangu, kwenye mambo ya kitaifa, tutangulize uzalendo kwa ku think positive and concentrate on the positives and not the negatives. ATCL is doing the best, inastahili kuwa encouraged na kutiwa moyo na sio kulaumiwa wakati wote.

Angalia mambo makubwa mazuri haya ya ATCL

P

This is not about thinking negatively or positively. It's about delivering. It's about creativity and achieving objectives....

You can't encourage negligence (uzembe), incompetence, lack of seriousness Mr Pascal Mayalla...

We encourage a person who does human errors when fulfilling his/her duties...

For the survivor of any company or institution this thing has no option....

That, a negligible and incompetent person is fired if warnings have failed to work so that to change him/her to better....
 
Inafaa muda mwingine kunyamaza. Sio kila kitu kinaweza kuwa ni makosa au ni kosa la kuzungumziwa sababu wote tunamapungufu kama alivyo mtu mwingine yeyote including the president Magu.

Tatizo mnamsimanga lakini katika mengi aliyofanya Magu kwa muda mchache nyie wenywe hamuwezi kufanya.

Magufuli, anayo speed, anataka speed na anaenda kwa speed.

Mnasubiri siku ndio mmkumbuke au afe ndio mmkumbuke. Hata Mkapa mlisema sana. Amekufa ndio mnasema alikuwa genius sijui nini.

Atcl haitakufa labda mfe nyinyi. Mungu ataendelea kubariki kazi za muheshimiwa RAisi Magufuli na utawala wake katika kuinua Tanzania na watanzania walio maskini.

Nyinyi ndio moja ya wale mijitu inasubiri Magufuli aondoke muendlee kufanya yenu. Kuiba, ufisadi ndio mnavyoviwaza.
Huyu mbona ana Jazba. Huyu jamaa anazungumzia vitu vengine wewe unaongea vengine. Huyo uliyemtaja kaingia vipi. Yeye ndio anafanya kazi atcl au mtoa mada Kamtaja?
 
ATCL hua siziamin. Mwezi Aprili nilisafuri na ndege tairi kipara mpaka nyuzi zinacheka. Gurudumu chakavu kama la lori la taka. Shit!
 
Matindi asipowafukuza kazi wote waliohusika na hayo makosa basi Jiwe amtumbue yeye. Haya si makosa ya kufumbia macho. Ukicheka na ngedere utavuna mabua.

Zoezi na kukagua vyeti vya elimu vya waajiriwa serikalini lifanywe tena. Bado majipu mengi, na kama alivyosema Jiwe, dawa ya jipu ni kulitumbua.

Tumedharauliwa vya kutosha. It's time to act. Tatizo hapa sio Rais, ni watu wazembe ambao, hatukujua kwamba wameoza kiasi hicho. Maadam sasa uozo umeonekana, ni kusafisha. Enough.
Kama ni mtoto wa Mjomba unategemea Matindi amfukuze kweli. Ajira nyingi tunawapa watoto wa mjomba ambao hawana qualifications na ndiyo sababu ya hayo madudu.
 
Kuna miaka ya nyuma 2008 baadhi tuliondoka kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine kwa sababu kulikuwa hamna ndege hata moja,
Tulitaka kurudi tukiwa na rating za ndege mbalimbali,wakatuletea fitna wakiogopa kuporwa nyazifa zao huku visingizio kibao,kwa Sasa Kuna mpasuko wa ATCL mpya na na wale wa Zamani Hilo shirika akiondoka Magufuri ataondoka nalo hawajui ushindani.
 
Lakini zoezi hili limekuwa na kasoro nyingi. Moja ni gharama kuwa juu karibu mara mbili kulinganisha na mashirika mengine. Lakini wamelazimika kulipa kwa sababu serikali imezuia kurudi kwa ndege nyingine isipokua ATCL kwa kile kinachoitwa Uzalendo.

Tuache uongo na maneno ya kutunga tunga, ndege zipi zimezuliwa kuja Tanzania wakati anga limefunguliwa kwa mashirika yote ya ndege? Hivi kuna shirika litaleta ndege yake huku one way huku likiwa halina uhakika wa kupata abiria wa kurudi nao? Shirika gani litakubali kupata hiyo hasara? Mnalalamika nauli kuwa kubwa, hivi mlitaka ATCL iungurumishe ndege kutoka Dar hadi China bure kabisa, halafu ifike China ndipo iwacharge nauli ya kurudi tu? Hiyo hasara nani anailipia, tena wakati huo huo tunataka eti shirika lijiendeshe kwa faida. COVID si kigenzo cha serikali kuingia gharama zisizo na ulazima. Hata hivyo Tanzania hakuna lockdown hivyo ndugu zenu na wanafamilia wenu wana nafasi kubwa ya kutafuti pesa ya kuwachangia nauli.

Jiulize, hivi tupo serious na biashara ya usafiri wa anga? Kama mwezi mzima ATCL wameshindwa kuandaa tiketi, tena kwa safari moja, je safari zikiwa kila siku itakuaje? Tumebaki kusifu idadi ya ndege, kumbe hatuna uwezo hata wa kuandaa tiketi? Leo watu wanapanda ndege kama daladala? Hakuna hata boarding pass, unakaa siti yoyote iliyo wazi kama mabasi ya Bukene Nzega. Aibu gani hii?

Malisa GJ
Unaandika kana kwamba ATCL ndio wameanza kutoa huduma leo. Nimesafiri na ATCL zaidi ya mara 30 sijawahi kuona jina langu limekosewa wala kupata karaha yoyote katika safari. Kama kulikuwa kuna makosa katika hiyo safari ni vema kuwalaumu waandaaji wa hiyo safari na siyo ATCL. Ni ukweli uliowazi kuwa ATCL hawakujihusisha direct na maandalizi ya hiyo safari hivyo si sahihi kuwatupia lawama. ATCL inafanya safari nyingi tu za ndani na nje ya nchi, huwezi kukuta wanafanya ujinga kama huu ulioueleza hapa. Wabaneni ubalozi wawaeleze nini wamekifanya.
 
Jambo la fedheha sana hili yani mwezi mzima wameshindwa kuandaa ticket zenye weledi itakuaje sasa kwenye maswala ya kiufundi
 
Ma
Inafaa muda mwingine kunyamaza. Sio kila kitu kinaweza kuwa ni makosa au ni kosa la kuzungumziwa sababu wote tunamapungufu kama alivyo mtu mwingine yeyote including the president Magu.

Tatizo mnamsimanga lakini katika mengi aliyofanya Magu kwa muda mchache nyie wenywe hamuwezi kufanya.

Magufuli, anayo speed, anataka speed na anaenda kwa speed.

Mnasubiri siku ndio mmkumbuke au afe ndio mmkumbuke. Hata Mkapa mlisema sana. Amekufa ndio mnasema alikuwa genius sijui nini.

Atcl haitakufa labda mfe nyinyi. Mungu ataendelea kubariki kazi za muheshimiwa RAisi Magufuli na utawala wake katika kuinua Tanzania na watanzania walio maskini.

Nyinyi ndio moja ya wale mijitu inasubiri Magufuli aondoke muendlee kufanya yenu. Kuiba, ufisadi ndio mnavyoviwaza.
Maskini ya Mungu hata Atcl yenyewe hujawahi panda. Wanaopanda wanakupa kasoro za kurekebisha wewe kazi kuimba mapambio ambayo hata unayemuimbia kasema kayachoka kuyasikia. In short hapendi shobo anataka kazi tu.
 
Lakini wamelazimika kulipa kwa sababu serikali imezuia kurudi kwa ndege nyingine isipokua ATCL kwa kile kinachoitwa Uzalendo.
Mwanangu naye angekuwa Huku huku; Imebidi nimwambie yeye Asirud direct, aje kwanza huku kwangu kabla ya kurudi home. Aliniambia Maafisa wa ubalozi walietembelea vyuoni kuwaambia habari hiyo ya kurudi na ATCL.
Ndugu BAK hii kitu ikoje kiutaratibu, mbona ni kama kulazimisha? Kwani Huko Tz Mashirika Mengine hayajaruhusiwa bado mfano Ethiopian, Rwandan Airline;
 
Ni kweli ni kama kulazimisha kwa kisingizio cha uzalendo ila huyo aliyezinunua bila kusikiliza mawazo ya Watanzania ndiyo mzalendo sana na haya majizi yanayokwapua trillions ndiyo wazalendo sana.

Mwanangu naye angekuwa Huku huku; Imebidi nimwambie yeye Asirud direct, aje kwanza huku kwangu kabla ya kurudi home. Aliniambia Maafisa wa ubalozi walietembelea vyuoni kuwaambia habari hiyo ya kurudi na ATCL.
Ndugu BAK hii kitu ikoje kiutaratibu, mbona ni kama kulazimisha? Kwani Huko Tz Mashirika Mengine hayajaruhusiwa bado mfano Ethiopian, Rwandan Airline;
 
Hebu acha KUKURUPUKA!!!! Aliyekudanganya ni mimi niliyeandika hii article ni nani? 😳😳😳😳

Muwe mnatulia na kusoma kwa makini badala ya KUKURUPUKA.

Tuache uongo na maneno ya kutunga tunga, ndege zipi zimezuliwa kuja Tanzania wakati anga limefunguliwa kwa mashirika yote ya ndege? Hivi kuna shirika litaleta ndege yake huku one way huku likiwa halina uhakika wa kupata abiria wa kurudi nao? Shirika gani litakubali kupata hiyo hasara? Mnalalamika nauli kuwa kubwa, hivi mlitaka ATCL iungurumishe ndege kutoka Dar hadi China bure kabisa, halafu ifike China ndipo iwacharge nauli ya kurudi tu? Hiyo hasara nani anailipia, tena wakati huo huo tunataka eti shirika lijiendeshe kwa faida. COVID si kigenzo cha serikali kuingia gharama zisizo na ulazima. Hata hivyo Tanzania hakuna lockdown hivyo ndugu zenu na wanafamilia wenu wana nafasi kubwa ya kutafuti pesa ya kuwachangia nauli.

Unaandika kana kwamba ATCL ndio wameanza kutoa huduma leo. Nimesafiri na ATCL zaidi ya mara 30 sijawahi kuona jina langu limekosewa wala kupata karaha yoyote katika safari. Kama kulikuwa kuna makosa katika hiyo safari ni vema kuwalaumu waandaaji wa hiyo safari na siyo ATCL. Ni ukweli uliowazi kuwa ATCL hawakujihusisha direct na maandalizi ya hiyo safari hivyo si sahihi kuwatupia lawama. ATCL inafanya safari nyingi tu za ndani na nje ya nchi, huwezi kukuta wanafanya ujinga kama huu ulioueleza hapa. Wabaneni ubalozi wawaeleze nini wamekifanya.
 
Inafaa muda mwingine kunyamaza. Sio kila kitu kinaweza kuwa ni makosa au ni kosa la kuzungumziwa sababu wote tunamapungufu kama alivyo mtu mwingine yeyote including the president Magu.

Tatizo mnamsimanga lakini katika mengi aliyofanya Magu kwa muda mchache nyie wenywe hamuwezi kufanya.

Magufuli, anayo speed, anataka speed na anaenda kwa speed.

Mnasubiri siku ndio mmkumbuke au afe ndio mmkumbuke. Hata Mkapa mlisema sana. Amekufa ndio mnasema alikuwa genius sijui nini.

Atcl haitakufa labda mfe nyinyi. Mungu ataendelea kubariki kazi za muheshimiwa RAisi Magufuli na utawala wake katika kuinua Tanzania na watanzania walio maskini.

Nyinyi ndio moja ya wale mijitu inasubiri Magufuli aondoke muendlee kufanya yenu. Kuiba, ufisadi ndio mnavyoviwaza.
Kwa mujibu wa maelezo ya muandika makala ndugu Malisa anawalaumu ATCL siyo Magufuli.
Usiwatetee hao ATCL wanatuumiza watanzania, wanamuumiza Magufuli.

Lazima watu wawajibike kwa uzembe kama huo.
 
Inafaa muda mwingine kunyamaza. Sio kila kitu kinaweza kuwa ni makosa au ni kosa la kuzungumziwa sababu wote tunamapungufu kama alivyo mtu mwingine yeyote including the president Magu.

Tatizo mnamsimanga lakini katika mengi aliyofanya Magu kwa muda mchache nyie wenywe hamuwezi kufanya.

Magufuli, anayo speed, anataka speed na anaenda kwa speed.

Mnasubiri siku ndio mmkumbuke au afe ndio mmkumbuke. Hata Mkapa mlisema sana. Amekufa ndio mnasema alikuwa genius sijui nini.

Atcl haitakufa labda mfe nyinyi. Mungu ataendelea kubariki kazi za muheshimiwa RAisi Magufuli na utawala wake katika kuinua Tanzania na watanzania walio maskini.

Nyinyi ndio moja ya wale mijitu inasubiri Magufuli aondoke muendlee kufanya yenu. Kuiba, ufisadi ndio mnavyoviwaza.

Mkuu naona limesemwa tatizo la uendeshaji wa ndege, ila kwakuwa unaongozwa na hisia zaidi umetoka kwenye hoja ya msingi, na kuanza kumtetea mtu. Nilichojuwa kwako, huna utetezi wa kujenga, bali ni wali mnaoficha ukweli, mkidhini ndio suluhu, kumbe tatizo ndio linazidi sugu.

Umeambiwa kuna tatizo la kiutendaji, na gharama kuwa kubwa kisa abiria wameshurutishwa kulipa bei kubwa. Umeambiwa hata kuandika majina tu kwa usahihi ilikuwa ni tatizo. Yaani kwa maneno marahisi, hiyo biashara ya ndege inaendeshwa kama daladala, katika mazingira hayo unategemea hilo shirika kuwa na ufanisi zaidi ya hasara hatimaye kufa? Ww kwako ushujaa ni kununua ndege kwa haraka, na wala sio ufanisi wa uendeshaji ili shirika lijiendeshe kwa faida. Sasa kazi ya huyo Magufuli itakuwa ni huo udhaifu wa uendeshaji wa shirika?
 
ATCL hua siziamin. Mwezi Aprili nilisafuri na ndege tairi kipara mpaka nyuzi zinacheka. Gurudumu chakavu kama la lori la taka. Shit!

Duuu, ya kweli haya mkuu, au ni mambo ya shetani mbaya siku zote?
 
Niamini kaka. Inasikitisha. Nilikaa na mzungu flan aisee alipiga picha. Gurudumu kipara nyuzinyuzi mithili ya michoro ya kontua zilikua zinaonakana kabisa aisee

Na kilichonisikitisha yan soon kabla ya kuondoka tukiwa tayar tume board, afisa mmoja wa ndege/ rubani alizunguka akaja kushikashika lile gurudumu kama kujiridhisha flan. Nilibaini kwamba alikua anajua dosari ile na hakua analiamin lile gurudumu kama litahimili kazi.
 
Niamini kaka. Inasikitisha. Nilikaa na mzungu flan aisee alipiga picha. Gurudumu kipara nyuzinyuzi mithili ya michoro ya kontua zilikua zinaonakana kabisa aisee

Daaah!! kama ni kweli basi kazi ipo. Nijuavyo kwenye ndege hakuna ubabaishaji wa hivyo, ila kama hali ni hiyo, tuombe uzima.
 
Kwa hili naona halina chama, kila mmoja anapaswa kukemea na wahusika wachukuliwe hatua , ni uzembe wa wazi kabisa
Ni kweli kabisa mkuu yn hapa tucweke uchama, mwengne hapo juu anaanza kuongea siasa mara oohh cjui kwnn zimenunuliwa ndege bila idhini ya bunge cjui nn, hayo hatutaki kuyasikia kwa ss cz nchi kubwa kama hii ni lazima iwe na shirika la ndege la uhakika, kuhusu huu uzembe uliofanyika km ni kweli (maana mtoa mada hajaweka ushahidi juu ya anachokisema) basi watuhumiwa wachukuliwe hatua kali mana tumechoka kusikia upuuzi km huu kwa Tanzania hii ya leo tunayoamini ni ya uchumi wa kati.

Huu ni upuuzi mno ningependa kuona ndugu Ladislaus Matindi na uongozi wa Atcl kwa ujumla ukichukua hatua kali ikibidi hata kuwafuta kazi watuhumiwa ili iwe fundisho, hatuwezi ku tolerate upuuzi km huu utatukosesha credibility na kupelekea kurudi tulikotoka hivyo juhudi za serikali za kufufua shirika hili zikaonekana za hovyo kwasababu ya uzembe wa walevi wachache waliowekwa kazini na ndugu, yn mtu professional unakoseaje kuandika jina la abiria? Doa kubwa hili na hatua inapaswa zichukuliwe haraka iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom