Kwa ufafanuzi wa Balozi ni vizuri mpate tofauti ya unscheduled kama hiyo charter flight ya ATCL kwenda Guangzhou na scheduled flight kama zilizokuwa zikifanywa na ATCL kwenda india before COVID19. Nimeona reckless comments nyingi tu kwa kufuata ignorance za Malusa na BAK. Sasa tujadiliane kama Malisa na huyo mchina wananafi ya hizo comment zao kutokana na umbumbumbu wao.