ATCL bado sana kwenye Safari za anga

ATCL bado sana kwenye Safari za anga

Naam lakini ATCL Watanzania wengi tulitoa onyo kwamba kwanza si kipaumbele cha Watanzania kwani ni usafiri wa gharama kubwa sana na ni 5% tu ya Watanzania wanaoweza kumudu gharama zake hivyo kusababisha hasara kubwa sana. Na hilo limekuwa kweli imagine hiyo 2 trillions ingeelekezwa kwenye vipaumbele vingine vya Taifa.
Ndugu hyo research ya kugundua WaTz wengi ndege haikuwa kipaumbele uliifanyia wapi? Mbn mnaleta maneno ya mtaani? Ntakupa swali dogo tu Tz inaweka miundombinu ya cable cars kule Kilimanjaro je WaTz wengi wanatazamiwa kupanda hzo cable cars? Vp kuhusu mradi wa nyumba za kigamboni je WaTz wote wataenda kupanga kwenye hzo nyumba? C ni wale wenye uwezo ndo watakaopanga? Na ndiyo hvyo hvyo kwenye ndege wenye uwezo wanapanda na ndege zinajaa kila leo, alafu kusema WaTz wengi ndege co kipaumbele cz hawana uwezo ni 7bu local sn kwakweli hv kwa nchi yenye destinations za utalii zilizobomba km Tz unalalamika serikali kununua ndege je unataka hao watalii waje kwa usafiri upi au ungo? Tuwe serious tusilete vijimaneno vya kulishwa, Kikwete alisema za kuambiwa changanya na zako.

Hao hao wanaokulisheni matango kwamba ndege co kipaumbele ndiyo hao hao ambao waliokuwa wakipiga kelele nchi haina ndege na ndiyo hao hao wanaoongoza kupanda hizo ndege hili nalo linahitaji Phd kuling'amua?
 
Hilo ni muhimu na watu wakiwaambia wanaitwa si wazalendo. Unapelekaje ndege yenye uwezo wa kubeba zaidi ya watu 200 kutoka Kilimanjaro hadi Kampala ikiwa na abiria wanne tu kisha utegemee faida? Cancellation za safari kwa siku chungu nzima kwa namna hii utawavutia abiria kweli?
Ndege inaweza ikatoka Dar es salaam to London ikiwa na abiria mmoja tu on board, ingelipaswa kutueleza hapa kwamba ilienda Kampala na abiria wa4 kwa dhumuni gn na uweke ushahidi hapa nauli waliyolipa hao watu 4.
 
😜😜😜😜 nimesema mtanzania aliyesafiri na ndege hiyo alipiga picha na kuiweka social media. Unadhani kwa kuwa walikuwa wanne tu hivyo walichajiwa bei kubwa sana badala ya bei ya nauli ya kawaida!?

Shirika lolote lile la ndege ambalo linasafiri na abiria mmoja toka Dar kwenda London halistahili kuendelea na biashara hiyo. Ni bora mara milioni kuahirisha safari hadi liwe na wasafiri wa kutosha kuliko kufanya huu upuuzi.

Ndege inaweza ikatoka Dar es salaam to London ikiwa na abiria mmoja tu on board, ingelipaswa kutueleza hapa kwamba ilienda Kampala na abiria wa4 kwa dhumuni gn na uweke ushahidi hapa nauli waliyolipa hao watu 4.
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] nimesema mtanzania aliyesafiri na ndege hiyo alipiga picha na kuiweka social media. Unadhani kwa kuwa walikuwa wanne tu hivyo walichajiwa bei kubwa sana badala ya bei ya nauli ya kawaida!?

Shirika lolote lile la ndege ambalo linasafiri na abiria mmoja toka Dar kwenda London halistahili kuendelea na biashara hiyo. Ni bora mara milioni kuahirisha safari hadi liwe na wasafiri wa kutosha kuliko kufanya huu upuuzi.
We bado sn wallahi, hii picha nimekuwekea hapa ni ya Kipchoge alisafirishwa kutoka kenya kwenda Vienna peke yake na unaweza kuona hyo nauli ksh 2.5b piga mara 20 utapata ni tshs ngp, so unaweza kuona ni mpunga kiasi gani ulitumika, na huyo alikuwa abiria mmoja tu sembuse wa4[emoji116][emoji116]
Screenshot_2020-07-28-18-21-22.jpeg
 
Ungepiga picha zen ukaweka humu, hatuwezi kuamini maneno ya kinafki km haya, ndege kuwa na tairi kipara c kweli hata enzi za Atcl ya upigaji haikuwahi kuwa hv.
Ili afunguliwe kesi ya uhujumu uchumi? Aliyepiga nyufa za hostel ya udsm kesi inaendelea na aliyepiga picha mitaro ya maji barabara mbugani ilitamkwa akamatwe kwa uhujumu uchumi
 
Kukosea particulars za watu kwenye documents ni very common Tanzania. na hiyo inaonyesha jinsi tusivyo makini. Mathalani boarding passes huwa zinahitajika kwa ajili ya reconciliation ya safari na masurufu na auditing. Sasa kama jina la kwenye tiketi ni tofauti na la kwenye pasipoti, nis hida hiyo. Unaweza kukuta walipoambiwa makosa, hata hawaku-apologize.
 
Hahahaha we jamaa ni mbu mbu mbu mkubwa sana. Unadhani ni Wakenya wangapi wana uwezo wa kulipa nauli kama hiyo!?

That is very special case and don’t expect everyday people can afford to pay that kind of price.

We bado sn wallahi, hii picha nimekuwekea hapa ni ya Kipchoge alisafirishwa kutoka kenya kwenda Vienna peke yake na unaweza kuona hyo nauli ksh 2.5b piga mara 20 utapata ni tshs ngp, so unaweza kuona ni mpunga kiasi gani ulitumika, na huyo alikuwa abiria mmoja tu sembuse wa4[emoji116][emoji116]View attachment 1519721
 
Hahahaha we jamaa ni mbu mbu mbu mkubwa sana. Unadhani ni Wakenya wangapi wana uwezo wa kulipa nauli kama hiyo!?

That is very special case and don’t expect everyday people can afford to pay that kind of price.
Ok wacha niachane na ww cz ni km nauwa mende kwa nyundo endelea na uzi wako mkuu.
 
Ndugu hyo research ya kugundua WaTz wengi ndege haikuwa kipaumbele uliifanyia wapi? Mbn mnaleta maneno ya mtaani? Ntakupa swali dogo tu Tz inaweka miundombinu ya cable cars kule Kilimanjaro je WaTz wengi wanatazamiwa kupanda hzo cable cars? Vp kuhusu mradi wa nyumba za kigamboni je WaTz wote wataenda kupanga kwenye hzo nyumba? C ni wale wenye uwezo ndo watakaopanga? Na ndiyo hvyo hvyo kwenye ndege wenye uwezo wanapanda na ndege zinajaa kila leo, alafu kusema WaTz wengi ndege co kipaumbele cz hawana uwezo ni 7bu local sn kwakweli hv kwa nchi yenye destinations za utalii zilizobomba km Tz unalalamika serikali kununua ndege je unataka hao watalii waje kwa usafiri upi au ungo? Tuwe serious tusilete vijimaneno vya kulishwa, Kikwete alisema za kuambiwa changanya na zako.

Hao hao wanaokulisheni matango kwamba ndege co kipaumbele ndiyo hao hao ambao waliokuwa wakipiga kelele nchi haina ndege na ndiyo hao hao wanaoongoza kupanda hizo ndege hili nalo linahitaji Phd kuling'amua?
Seriously wanajenga ‘cable cars’ Mount Kilimanjaro; kama kuna ukweli jamani hizi wizara tuwe tunawapa watu wenye industry knowledge.

Wanajenga ‘cable cars’ Mount Kilimanjaro how stupid is that.
 
Ukiwekwa mfumo sahihi, makosa kama haya hayatakiwi kuwepo tena kwa sasa, ndiyo maana ya kukubali kuingia kutumia pasipoti mpya za kielektroniki. Huhitaji tena mtu akuandikie ticket, kwanza in fact binafsi sijatumia ticket tangu mwaka 2013 kwa safari ya Tanzania. 2017 nimesafiri kuja Tanzania ticket, boarding pass zote zinakuja kwenye smart phone na email.
 
Rais JPM anajitahidi kufufua shirika letu la ndege lakini namna linavyojiendesha ni tatizo. Tusipopiga kelele litakufa tena na juhudi za kulifufua zitakuwa zimehujumiwa.

Muhula wa masomo China umemalizika. Wanafunzi waliohitimu wanarudi makwao. Nchi nyingi zinachukua wanafunzi wake kwa ndege zao or any other chattered flights.

Serikali yetu imeamua kuchukua watu wake kwa ndege yetu ya Dreamliner ambayo imeondoka leo saa kumi jioni (one way, kutoka Guanzhou mpaka JNIA, Dar)
_
Lakini zoezi hili limekuwa na kasoro nyingi. Moja ni gharama kuwa juu karibu mara mbili kulinganisha na mashirika mengine. Lakini wamelazimika kulipa kwa sababu serikali imezuia kurudi kwa ndege nyingine isipokua ATCL kwa kile kinachoitwa Uzalendo.

Pili, mwezi mmoja uliopita wahitimu walitakiwa kutuma nakala za passport zao ili waandaliwe tiketi. Wakatuma na wakawa wanasubiri itinerary ili kupewa tiketi.

Juzi wakapokea ujumbe kutoka Ubalozi wetu China, kwamba ATCL imefanya makosa mengi kwenye tiketi. Wamekosea spelling, Lulu Kicheere ameitwa Lulu Kicheche. Wamekosea jinsia, John kaandikwa Female na Prisca Male. Wamekosea tarehe za kuzaliwa. Kuna waliozaliwa 1890 kabla ya vita vya Majimaji. Wamekosea mpangilio wa majina na makosa mengine mengi.

ATCL walipotakiwa kufanya marekebisho walidai muda uliobaki usingetosha kurekebisha makosa yote. Kama walipewa mwezi mzima wakafanya makosa mengi hivi, wangewezaje kurekebisha kwa siku mbili.

Kwahiyo ubalozi wetu China ikabidi uandae orodha ya majina itakayotumiwa na wasafiri. Jana Ubalozi umesema ticket za ATCL hazitatumika kama kigezo pekee cha kusafiri bali abiria watahakikiwa kupitia orodha ya majina iliyoandaliwa na ubalozi huo.

Jiulize, hivi tupo serious na biashara ya usafiri wa anga? Kama mwezi mzima ATCL wameshindwa kuandaa tiketi, tena kwa safari moja, je safari zikiwa kila siku itakuaje? Tumebaki kusifu idadi ya ndege, kumbe hatuna uwezo hata wa kuandaa tiketi? Leo watu wanapanda ndege kama daladala? Hakuna hata boarding pass, unakaa siti yoyote iliyo wazi kama mabasi ya Bukene Nzega. Aibu gani hii?

Kumbuka Nyerere aliacha shirika likiwa na ndege nyingi sana, lakini likafilisika kwa sababu ya management mbovu. Sasa tunarudi kulekule?

Malisa GJ
Hili ni muhimu sana likafanyiwa kazi. Siyo suala la siasa bali ni la maslahi kwa taifa. Hata wale waliorudishwa kutoka India walilalamika sana kuhusu ATCL.
 
Wewe unayebisha hata kauli ya CAG kuhusu hasara ya ATCL? Jiongeze ufahamu wako bado ni FINYU MNO kwenye maswala muhimu ya Taifa.

Ok wacha niachane na ww cz ni km nauwa mende kwa nyundo endelea na uzi wako mkuu.
 
Wewe unajuaje kama tickets were issued by ATCL? labda hizo tickets were issued by travel agents...don’t rush to conclusion bila kuthibitisha ( issued by...)
 
Inafaa muda mwingine kunyamaza. Sio kila kitu kinaweza kuwa ni makosa au ni kosa la kuzungumziwa sababu wote tunamapungufu kama alivyo mtu mwingine yeyote including the president Magu.

Tatizo mnamsimanga lakini katika mengi aliyofanya Magu kwa muda mchache nyie wenywe hamuwezi kufanya.

Magufuli, anayo speed, anataka speed na anaenda kwa speed.

Mnasubiri siku ndio mmkumbuke au afe ndio mmkumbuke. Hata Mkapa mlisema sana. Amekufa ndio mnasema alikuwa genius sijui nini.

Atcl haitakufa labda mfe nyinyi. Mungu ataendelea kubariki kazi za muheshimiwa RAisi Magufuli na utawala wake katika kuinua Tanzania na watanzania walio maskini.

Nyinyi ndio moja ya wale mijitu inasubiri Magufuli aondoke muendlee kufanya yenu. Kuiba, ufisadi ndio mnavyoviwaza.
Kwani sasa hivi hakuna ufisadi. You must be joking.
 
......................
Kumbuka Nyerere aliacha shirika likiwa na ndege nyingi sana, lakini likafilisika kwa sababu ya management mbovu. Sasa tunarudi kulekule?

Malisa GJ
Mwishoni umeandika shirika lilifirisika. Hapana! Kuna watu waligawana ndege, wakauziana kama walivyofanya nyumba za serikali na baadhi ya mashirika ya binafsi yalipandia ndege za ATCL na kuanza kujidai.
 
ATCL bado sana. Niliwahi kupata shida nikawaandikia email copying MD. Sikujibiwa hadi kesho
 
BAK pamoja na kujua kuwa akili yako sio kujjiuliza bali kuweka hapa lolote linalokidhi itikadi yako, naomba wewe na mbumbumbu wenzako wa solo la usafiri wa anga kama Malisa msome ufafanuzi wa Balozi then tujadiliane kwa hoja sio mihemuko ya kusiasa.

The ambassador has clarified. Nimeona message ya upotoshaji inayozungushwa kwenye mitandao ya kijamii iliyaondikwa na Godsen Malisa kuhusu suala la ndege ya ATCL kuja China kuwachukua wanafunzi. Nimeona nitoe ufafanuzi ili umma uwezi kufahamu ukweli na kuachana na upotoshwaji unaofanywa kwa agenda anazozijua mwandishi mwenyewe. Kweli ule msemo wa waswahili usemao "Tenda Wema, Uende Zako" ni sahihi kabisa. Air Tanzania imefanya kazi nzuri ya kuwarejesha salama watanzania wenzetu waliokuwa wamekwama hapa China. Hakika wanastahili kupongezwa na sio kubezwa. Yapo mambo ya msingi ambayo ni vizuri yakafahamika ili kuupata muktadha mzima wa safari hiyo ya kuwarejesha watanzania kutoka China. Tangu kuzuka kwa ugonjwa wa COVID19 mwezi Desemba 2019 usafiri wa kutoka China kwenda sehemu nyingine duniani ulisitishwa kwa asilimia 80. Hadi sasa, ni mashirika ya ndege machache yanayoruhusiwa kufanya safari ya kwenda China. Na hayo mashirika ya ndege machache yaliyoruhusiwa kufanya safari za kuingia China yamepewa masharti mawili makuu: 1) Ruhusa yao ni kufanya safari moja TU kwa wiki; 2) Abiria wa kwenye ndege wanatakiwa wasizidi asilimia 60 ya uwezo wa ndege wa kubeba abiria. Sharti hili linalenga kuzingatia hitaji la "social distance" ndani ya ndege; Hadi leo huduma ya kutoka China kwenda Afrika (Tanzania) inatolewa na shirika MOJA tu (Ethiopian airlines). Kutokana na masharti mawili yaliyotajwa hapo juu, ni vigumu sana kupata nafasi katika Ndege ya Ethiopian na pia kumepelekea gharama ya tiketi kupanda juu sana. Tiketi ya daraja ya Economy One way kutoka China kwenda Tanzania ilifikia YUAN 30,000 ambayo ni sawa na USD 4,280. Kiasi hicho kipo juu sana na watanzania wengi waliokuwa wanahitaji usafiri wa kurudi nyumbani walikuwa hawawezi kukimudu. Kwenye hili ni rahisi kupata uthibitisho kama hauamini nilichosema (piga simu ofisi za Ethiopian airlines popote duniani waombe wakupe quotation ya one-way ticket kutoka China kwenda Tanzania). Ili kukabiliana na changamoto hii- mashirika mawili ya ndege yameanzisha utaratibu wa "Special Flight" ambao unahitaji vibali maalum kutoka kwa Mamlaka za China. Mashirika hayo ni pamoja na QATAR airways na EGYPT AIR. Gharama za tiketi katika ndege hizo (one way economy) ni kati USD 1600 hadi usd 2500 kutegemeana na nchi unayokwenda barani Afrika na uwepo wa Connection kutoka katika HUBS zao ( Cairo kwa Egypt air) na (Doha kwa Qatar) kwenda katika nchi unayokwenda. Baadhi ya wanafunzi ambao Scholarship zao zinajumuisha usafiri wa kurudi nyumbani- wamerejea Tanzania na usafiri huo. Hivyo- dhana iliyoelezwa na Malisa kwamba watanzania walilazimishwa kupanda Air Tanzania sio kweli. Zilikuwepo options nyingine za usafiri na baadhi ya watanzania waliozimudu walizitumua. Aidha, madai kwamba Air Tanzania ilitoza fedha nyingi kuliko mashirika mengine ni UWONGO. Katika options zote nilizotaja hapo juu- hakuna iliyokuwa chini ya Bei waliyolipa watanzania waliosafiri na Air Tanzania. Wakati Ethiopian wanatoza usd 4,280; Egypt Air- USD 1600; Qatar usd 2500- wanafunzi watanzania waliosafiri na Air Tanzania walipewa bei maalum ya usd 1219. Ndio maana hata jana kwenye taarifa yetu ya tukio hili- tumeishukuru sana Serikali kwa kuwajali wananchi wake kwa kuwapa bei ya chini.... ambayo ni kama kusema bei ya kuchangia mafuta na gharama nyinginezo za uendeshaji. Kuhusu madai ya kwamba kulikuwa na makosa mengi - na hivyo kutengeneza taswira ya kwamba Air Tanzania ilishindwa kazi - nalo linapotoshwa kwasababu muktadha wake haujaelezwa vizuri. Ili kupata muktadha Ni vizuri ikaeleweka mambo matatu: 1) Safari hii imefanyika nje ya mfumo wa kawaida wa shirika la ndege kuingia china kama ndege ya biashara. Hii ilikuwa ni SPECIAL FLIGHT ambayo mfumo wake ulikuwa ni wa kiserikali- kwa maana ya kwamba Serikali ya Tanzania kupitia Ubalozi wake China imeiomba Serikali ya China kupitia Wizara ya Mambo ya Nje ya China kuruhusu Air Tanzania ilete ndege ya kuwachukua watanzania waliokwama. Na kibali kilitolewa mahususi kwa ajili hiyo. Ndio maana wakati ndege hiyo inakuja China haikuruhusiwa kubeba abiria yoyote- zaidi ya Wanadiplomasia wa Tanzania (wawili na familia zao- jumla (4) waliokuwa wanarejea katika kituo chao cha kazi. Walikuwepo raia wa China waliopenda kupanda ndege hiyo kurejea kwao China- lakini SERIKALI ya CHINA haikuruhusu. 2) Jukumu la kuratibu upatikanaji wa abiria, kusajili abiria; kuhakikisha malipo ya abiria lilikuwa ni la UBALOZI. Kwa upande wa kutafuta abiria- ubalozi ulifanya kazi hiyo kupitia taarifa kwa umma zilizotolewa kwa watanzania wanaoishi China. Na kwa upande wa ukusanyaji wa malipo- kwakuwa ubalozi hauna akaunti kwa madhumuni ya kupokelea malipo yasiyohusiana na shughuli za kibalozi- Ubalozi uliiomba Air Tanzania iratibu shughuli hiyo ya kupokea malipo. Hivyo kila malipo yalivyokuwa yanafanywa katika akaunti ya ATCL- ubalozi ulikuwa unapokea uthibitisho kutoka kwa abiria wenyewe na baadaye ulikuwa una cross-check na Air Tanzania kuthibitisha malipo yamepokelewa na hatimaye Ubalozi ulikuwa unatuma majina Air Tanzania kwa ajili ya kutoa tiketi. Changamoto ya majina kukosewa -ilitokana na teknolojia. Afisa ubalozi wa Tanzani ambaye ni raia wa China (local staff) aliyekuwa anatuma taarifa za waliofanya malipo kwa kutumia mtandao wq mawasiliano wa Kichina WECHAT na kwenye computer yake software zote zipo kwa lugha ya Kichina- lakini alipokuwa anatuma taarifa kwa mpokeaji aliyekuwa Air Tanzania -alikuwa anafanya "Auto-translation" ili mpokeaji apokee kwa lugha ya kiingereza- zoezi hilo ndio lilipelekea baadhi ya makosa yaliyojitokeza. Kwa kuzingatia kwamba orodha ilikuwa kubwa ya majina 252- haikuwa rahisi kwa mtu wa Air Tanzania kubaini kama taarifa alizopokea zilizotafsiriwa kutoka Kichina zilikuwa na makosa. Makosa yalikuja kugunduliwa na abiria wenyewe walivyopewa tiketi zao. Na wakati huo; muda ulikuwa umekwenda sana- haikuwa rahisi kuyapitia majina yote ili kubaini makosa- ndio maana Ubalozi ukaamua kutengeneza orodha mpya kwa ajili ya kutumiwa kufanya verification wakati wa ku check-in. Nilikuwepo mwenyewe Guangzhou Baiyun Airport wakati wa zoezi la kucheck in. Lilikwenda vizuri saaana. Hapakuwa na tatizo lolote. Kwetu sisi agenda kuu ilikuwa ni kuwawezesha watanzania wenzetu wapate usafiri wa uhakika na nafuu na wafike nyumbani salama. Yote mawili yamefanikiwa. Nimalizie kwa kuwapongeza sana Air Tanzania kwa ushirikiano mkubwa waliotupatia na kwa kazi kubwa na nzuri ya kizalendo waliyoifanya ya kuwarejesha watanzania wenzetu. Mimi sina shaka kabisa na uwezo wao na weledi wao. Wasikatishwe tamaa. Hivi kama ATCL ingekuwa incompetent kiasi hicho- mbona chini ya utaratibu huu wa special flight wamesafirisha abiria kutoka India - zaidi ya mara 3- na hapakuwa na tatizo lolote. Mbali na SPECIAL FLIGHTS walizofanya India kuwarejesha watanzania wenzetu- kabla ya kuzuka kwa ugonjwa wa COVID19- ATCL imekuwa ikifanya safari za kibiashara kwenda India - hatujawahi kusikia majina ya abiria yamekosewa- ndio sasa wakosee leo? Kweli? Mnyonge Mnyongeni- HAKI YAKE MPENI. Mbelwa Kairuki Balozi wa Tanzania- China.

Rais JPM anajitahidi kufufua shirika letu la ndege lakini namna linavyojiendesha ni tatizo. Tusipopiga kelele litakufa tena na juhudi za kulifufua zitakuwa zimehujumiwa.

Muhula wa masomo China umemalizika. Wanafunzi waliohitimu wanarudi makwao. Nchi nyingi zinachukua wanafunzi wake kwa ndege zao or any other chattered flights.

Serikali yetu imeamua kuchukua watu wake kwa ndege yetu ya Dreamliner ambayo imeondoka leo saa kumi jioni (one way, kutoka Guanzhou mpaka JNIA, Dar)
_
Lakini zoezi hili limekuwa na kasoro nyingi. Moja ni gharama kuwa juu karibu mara mbili kulinganisha na mashirika mengine. Lakini wamelazimika kulipa kwa sababu serikali imezuia kurudi kwa ndege nyingine isipokua ATCL kwa kile kinachoitwa Uzalendo.

Pili, mwezi mmoja uliopita wahitimu walitakiwa kutuma nakala za passport zao ili waandaliwe tiketi. Wakatuma na wakawa wanasubiri itinerary ili kupewa tiketi.

Juzi wakapokea ujumbe kutoka Ubalozi wetu China, kwamba ATCL imefanya makosa mengi kwenye tiketi. Wamekosea spelling, Lulu Kicheere ameitwa Lulu Kicheche. Wamekosea jinsia, John kaandikwa Female na Prisca Male. Wamekosea tarehe za kuzaliwa. Kuna waliozaliwa 1890 kabla ya vita vya Majimaji. Wamekosea mpangilio wa majina na makosa mengine mengi.

ATCL walipotakiwa kufanya marekebisho walidai muda uliobaki usingetosha kurekebisha makosa yote. Kama walipewa mwezi mzima wakafanya makosa mengi hivi, wangewezaje kurekebisha kwa siku mbili.

Kwahiyo ubalozi wetu China ikabidi uandae orodha ya majina itakayotumiwa na wasafiri. Jana Ubalozi umesema ticket za ATCL hazitatumika kama kigezo pekee cha kusafiri bali abiria watahakikiwa kupitia orodha ya majina iliyoandaliwa na ubalozi huo.

Jiulize, hivi tupo serious na biashara ya usafiri wa anga? Kama mwezi mzima ATCL wameshindwa kuandaa tiketi, tena kwa safari moja, je safari zikiwa kila siku itakuaje? Tumebaki kusifu idadi ya ndege, kumbe hatuna uwezo hata wa kuandaa tiketi? Leo watu wanapanda ndege kama daladala? Hakuna hata boarding pass, unakaa siti yoyote iliyo wazi kama mabasi ya Bukene Nzega. Aibu gani hii?

Kumbuka Nyerere aliacha shirika likiwa na ndege nyingi sana, lakini likafilisika kwa sababu ya management mbovu. Sasa tunarudi kulekule?

Malisa GJ
 
SIMPLY RUBBISH!

Back
Top Bottom