Labda tuwatumie file moja moja. Angalieni attachments kwenye postings zangu kuanzia hii na zinazofuata
Kumbe na bwana IDIMI naye alikuwa anatuma wakati huo huo? Naomba moderators ondoeni copies zingine ili kutokupunguza speed wanachama wanavyosoma JF.
Shukrani wa ndugu; haya mambo ni mazito. Nashindwa sijui nianzie wapi tu tukubali tu yaishe?