mkwezi kidonda
Senior Member
- Mar 20, 2014
- 163
- 32
Shemeji usiwe hivyo. Hata wewe?
Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.
Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.
Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.
Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
Asante kwa ushauri. Nilishawahi kujaribu hii ila anafanya siku hiyohiyo uliyomwambia baada ya hapo km kawaida
Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.
Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.
Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.
Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
Kwa hiyo nisitegemee mabadiliko?
Pole sana ukweli ni kwamba amesha kuona mama huruma na huduma zote unampatia na bado umesahau kusema hukuletea nguo umfulie lakini hakupi sabuni!Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.
Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.
Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.
Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
Yani wanawake muda mwingine huwa mnashangaza sana mkipenda mnakuwa kama mmechanganyikiwa kabisa hivi una hitaji kuwa na shahada kutambua huyu jamaa hajitambui na hana uwajibikaji kama mwanaume?Mimi sisemi anihonge. Nataka walau achangie kile ambacho na yeye anakula. Inamaana mm ninapompa chakula mamhonga?
Teh Teh endelea kumuonea huruma ...Asante kwa ushauri ila mm huwa naogopa kuanza kulizungumzia maana ataona km namnyanyasa vile
Huyu hata amwambie kamwe hatobadilika na hataisahau famili tuu au kuitelekeza..Mh.. Hapo naona kuna hatari. Kama mtu hata kuchangia chakula anachokula hakumbuki, atakumbuka kweli kukuletea hata kijizawadi? Wadada mnapenda vijichokuleti..vi ais krimu.. mara vi naitdress.. vipafyum.. Utapata kitu hapo? Atakutoa out kweli huyo? Na bado unamuambia kiaina lakini waaala.. haiimuingii akilini? hapo kuna shida. Ukizingatia hiki ndio kipindi ilibidi aku-impress? Mwe! Halafu watu wa hivyo bwana.. huwa ni ngumu sana kubadilika!
Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.
Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.
Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.
Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
Yani wanawake muda mwingine huwa mnashangaza sana mkipenda mnakuwa kama mmechanganyikiwa kabisa hivi una hitaji kuwa na shahada kutambua huyu jamaa hajitambui na hana uwajibikaji kama mwanaume?
Sidhani kama alimuacha au kumwambia maana ana muonea huruma sana...na ukute anaendelea kupika hadi sasa au jamaa alisha mkimbia!Ni zaidi ya mwaka sasa tangu ulete hii mada. Unaonaje ukitupa mlisho nyuma???
Bado mnaendelea na zinaa au mshaoana?
Naenda kuwashtaki kwa Yesu.
Hawa viumbe muda mwingine wanaweza kukushangaza sanaNamshukuru sana Mungu kwa kuniumba Mwanaume...
Pengine huu ndio ukweli na ukute jamaa ana fuliwa kila kitu na haachi hela ya sabuni na binti ana muonea huruma...huyo jamaa ana akili kweli....kashaona wee sio wife material ndio maana. mwanamke hujaolewa unajishughulisha kama mke..kuweni na aibu.
pika once in a while sio sasa inakuwa daily business
Teh Teh....Bibie hii status mpaka leo iko hivihivi? Majimbo yanahitaji wagombea wapya.
Pengine huu ndio ukweli na ukute jamaa ana fuliwa kila kitu na haachi hela ya sabuni na binti ana muonea huruma...
Tatizo kubwa nalio kabisa kwa huyu binti maana haiwezekani mtu mwenye sound mind kuvumilia mambo kama haya...eti ana mvumilia akimwambia atamuona ana mnyanyasa....! Kuna muda mwingine nashindwa kuelewa baadhi ya wanawake...hapa anayefanywa zuzu ni huyu binti ambae ana jifanya mama huruma..Kumbe wanaume tumekuwa hadimu mpaka mdada anaganda kwa zezeta lisilojielewa!
Huyu jamaa hawezi kubadilika kamwe labda aendelee kuvumilia..mtu ambaye hawezi kukumbuka kuwa anatakiwa kuchangia chakula anacho kula unategemea nini?Ila u mwambie Mimi nilimsuta sio kumwambia ya kawaida siku hizi anajifanya/amekuwa( maana sijui anaweza nini)baba nbora sana..