Asante kwa ushauri. Nilishawahi kujaribu hii ila anafanya siku hiyohiyo uliyomwambia baada ya hapo km kawaida
Yaani unampa chakula ale ashibe na "chakula" ale ashibe!!!! Aiseeee sikubali
Kwa nini unamuona kuwa yeye ndiye mwenye tatizo badala ya kujiona wewe ndiye mwenye tatizo?Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.
Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.
Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.
Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
Asante kwa ushauri ila mm huwa naogopa kuanza kulizungumzia maana ataona km namnyanyasa vile
Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.
Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.
Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.
Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
Mimi sisemi anihonge. Nataka walau achangie kile ambacho na yeye anakula. Inamaana mm ninapompa chakula mamhonga?
Heeeeee mbona anakula basi, si asubiri atoe mahari ndo aje kula?! Hajui vile vyakula vinanunuliwa?? Mmmh uso umeumbwa na haya! Kila siku unakula una nawa unaondoka..! Mwanaume?!!!! Mfyuuuuuuu!
Wanaume mmezidi ubahili.
Kwa nini unamuona kuwa yeye ndiye mwenye tatizo badala ya kujiona wewe ndiye mwenye tatizo?
1. Kwa nini umeshindwa kumwambia kuhusu hili? Siku zote unamwangalia anakuja, anakula anaondoka. Yeye ameshaona kuwa huo ndio utaratibu wa maisha kwa sababu hukuwahi kumwambia kuwa anavyofanya si vizuri.
2. Kama unaiona hii tabia yake kuwa ni mzigo na bado unaendelea kuwa naye, basi inabidi ujichunguze kuona kama u mzima