Atayaweza majukumu huyu kweli?

Atayaweza majukumu huyu kweli?

Tatizo kubwa nalio kabisa kwa huyu binti maana haiwezekani mtu mwenye sound mind kuvumilia mambo kama haya...eti ana mvumilia akimwambia atamuona ana mnyanyasa....! Kuna muda mwingine nashindwa kuelewa baadhi ya wanawake...hapa anayefanywa zuzu ni huyu binti ambae ana jifanya mama huruma..
Daaah itoshe tu kusema wanawake tuna kazi sana
 
Wacha nichangamkie fursa hii......
Huwa nakuonaga mjanja janaume jinga kama hilo huliwezaje kulivumilia? Au wanaume nao siku hizi wameanza mtindo wa kuroga wanawake?

Inaelekea jamaa linapiga mashine mpaka mbuchuchu inatapika maji. Hawa wamama ujanja wao mdogo sana, kuwasugua ipasavyo.
 
Unakuja kuomba ushauri JF hivi ndoa yako/uchumba wako utapona kweli???? labda uwe ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana kiakili kwenye kuchambua mawazo ya watu ndipo unaweza kupata hitimisho sahihi,vinginevyo umekuja kumalizia mahusiano yako hapa LOL!!

Hahaa huwa nachanganya na za kwangu
 
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu ulete hii mada. Unaonaje ukitupa mlisho nyuma???

Bado mnaendelea na zinaa au mshaoana?

Naenda kuwashtaki kwa Yesu.

Tushaoana 😀
Hahahh
Babu mpana ka pazia la leba!!!!
 
Wacha nichangamkie fursa hii......
Huwa nakuonaga mjanja janaume jinga kama hilo huliwezaje kulivumilia? Au wanaume nao siku hizi wameanza mtindo wa kuroga wanawake?

Hahaa pengine mimi naweza kuwa mzembe kuliko watu wote unaowajua.....huwa inanichukua muda sana kuzinduka na kumgundua mtu anayenikandamiza au kunizunguka hata katika mahusiano ya kawaida ya urafiki ila nikishazinduka saasa...!
 
Tushaoana 😀
Hahahh
Babu mpana ka pazia la leba!!!!
Nshakwambia sichezi tena na wewe............

Congolee inahusika hapo, vijana wapo strategic sana.
Hehehehehee ile inaitwa mundongo. Ukimpata mchuchu ambaye hana uzoefu, lazima akawasimulie wenzie. Na wenzie walivyo wajinga watafanya juu chini wakutafute ili wathibitishe walichosimuliwa.

Unaweza kukuta unafagia mashosti zake wote.........:doh:
 
Hahaa pengine mimi naweza kuwa mzembe kuliko watu wote unaowajua.....huwa inanichukua muda sana kuzinduka na kumgundua mtu anayenikandamiza au kunizunguka hata katika mahusiano ya kawaida ya urafiki ila nikishazinduka saasa...!
Jiandae kupata mimba usiyoitarajia.............:glasses-nerdy:
 
Inaelekea jamaa linapiga mashine mpaka mbuchuchu inatapika maji. Hawa wamama ujanja wao mdogo sana, kuwasugua ipasavyo.

Aiseeee....mwisho wako ndo hapa? Hatukuwahi kufika huko unakodhani wewe na ndo kwanza tulikuwa kwenye early stages...hata mwaka hatukumaliza pamoja
 
Aiseeee....mwisho wako ndo hapa? Hatukuwahi kufika huko unakodhani wewe na ndo kwanza tulikuwa kwenye early stages...hata mwaka hatukumaliza pamoja

Lile tendo halihitaji mfahamiane kwa miaka kadhaa.... Siku mbili tu wengine wanakuwa washaanza kuchujiana protini.
 
jamaa anakuona kama wewe ni kitega uchumi chake. Mchane ukweli.
 
Kutoka wapi
Kutoka kwa huyu anayezungumziwa hapa chini, au mwingine mwenye tabia kama yake.

Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.

Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.

Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.

Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
 
Back
Top Bottom