Unaweza ukabembelezA na gauni wakavaa wenzio
kumbe unajua?sasa uckubali akuumize kibhwa ongea nae ajue,au kama vipi acha kumuhfadhia chakula,atakuona mchoyo lakini hakuna jinsi,mwambie haukua na hela ya kutosha umepka kdogo sn
wang alikua km wako toka tuko wachumba cku 1 nikaamua kuorodhesha vitu nnavyovitaka nikampa matokeo yake akagawa kwa 2 yan tuchangie na ictoshe hakunipa hiyo hela akaniagiza nenda duka fulan ukachukue kibaya zaid nilikut sukar tu!!!! aiseee hata hiyo sukar ckuichukua nikanunua mwenyewe vyote! wala hakuuliza na ckumwambia tena wala kumuomba hela. miez ikapita namlisha tu!!!!! hata hashtuk cku moja nikamtolea uvivu mtu mbahili cwez kuish nae nikamsemaaaa nikalizoa km huwez kubadilika tufunge ukurasa! akadai harudii tena kweli alibadilika lkn ilikua kwa muda tu sasa tupo ndoan but akiamka hatoi hea ukiomba utasikia ya nini eti mwambie beb mia mbili ya chumv shwnz!!!! combi hela hata biwe nimetingwa vp ila akil yabg ipo bze kufanyia ujasili mal nipte hela coz mshahara hautosh fanilia nzm inantegemea mwenyewe. mkimbie mapema hawabadilikag hawa.
Hahaaaa kuna kipindi nlijaribu kujikausha aisee nlikuwa namuonea huruma. Naona bora nimwambie tu.
Word mkuu wanawake sijui mnakuaje sometime mnapenda sana do me i do you, jino kwa jino, kuna vitu vingine ni vidogo mpaka mtu kuchangia anaona its not a big deal, kama unauwezo wa kununua chakula plse we endelea kununua na unawezakuta anakuja kula mara moja kwa siku ili, kuimalisha uhusiano, na akipotea mnaanzakulialia hana muda na mimi, na kama hauna uwezo ongea nae mwambie akupe hela ya msosi na sio cha siku moja mpe list labda ya mwezi
Kimbia,toka nduki,toka faster,ukiangua ukiumia inuka vumilia,mkimbie sana mario huyo,sio husbund type kabisa
huyo jamaa ana akili kweli....kashaona wee sio wife material ndio maana. mwanamke hujaolewa unajishughulisha kama mke..kuweni na aibu.
pika once in a while sio sasa inakuwa daily business
Dada angu je huyo Omera kuna mambo makubwa anayafanya labda tuseme kuna Viwanja ananunua au ana plan za kununua, gari, any investment ? Kama Ndiyo basi kaa naye mueleweshane , unajua naturally mwanamke yupo kidomestic zaidi na mwanaume ni mtu wa mipango mingine , wewe utafikiria kununua vijiko lakini mimi hilo wazo sijui litaanzia wapi.
Ongea na jamaa kama mwelewa mtaelewana na utakuwa Nyako wake
Sasa hizo investments ni zake mimi hazinihusu as long as we're not married. Hazitakiwi ziathiri uchumi wangu binafsi