Atayaweza majukumu huyu kweli?

Atayaweza majukumu huyu kweli?

Uchumi wako unaathirika kwa kumpikia chakula??
Acha hizo bana na wewe inaonekana una roho ya kimaskini sana .

Hujakosea hata kidogo. Mimi ni maskini sana tu! Kumbuka mwanzo nlisema kuwa hata chakula chenyewe anachagua sana kwa hyo siku akija lazma ntafute kile anachokipenda ambapo nikiwa peke yangu sihangaiki. Kifupi mfuko wangu unaingiliwa haijalishi ni kwa kiasi gani ila ndo hivyo.
 
tehe tehe tehe, pangeni budget ya mwezi mzima halafu umwambie atoe nusu na wewe utoe nusu uone reaction, sasa pesa yake anaitumia kwenye nini?? asee wanawake kweli mko na kazi.
 
Hujakosea hata kidogo. Mimi ni maskini sana tu! Kumbuka mwanzo nlisema kuwa hata chakula chenyewe anachagua sana kwa hyo siku akija lazma ntafute kile anachokipenda ambapo nikiwa peke yangu sihangaiki. Kifupi mfuko wangu unaingiliwa haijalishi ni kwa kiasi gani ila ndo hivyo.

Umemjibu sawa kabisa! Halafu anachagua ale nini wakati hajakileta! Au anadhani vinateremka angani? lols kisa dushe? hata dildos ni dushe!
 
ni afadhali umtose sasa hivi maana huyo ni dezo style. ki ufupi hawezi badilika hata mkioana. mie mchuchu niliyempiga kibuti alikuwa ana hiyo tabia, ni msomi na kazi ya mshahara mzuri tu sana. tena anatoa order tu mara oo nitengenezee mbuzi wa ku-roast, mara leo natamani maini ya kukaanga etc. kwa mwezi nilikuwa na-spend kama laki 2 na zaidi kumpikia tu yeye, kabla ya hapo matumizi ya misosi ya home yalikuwa elfu 50 tu kwa mwezi. hakuna hata siku moja alikuwa anapitia juisi wala soda wala nini. tena siku akikuta hujapika atanisimanga au akute nimepika ma-beans nitaambiwa hicho ni chakula cha ndege. tukienda out kula nalipa mimi, miaka miwili ikakatika hivi hivi, nikasema mimi siyo mama yake wala shangazi yake....i kicked his cheap a*** to ze left!
 
Si watu wote ni wakujituma na kujitolea…wewe siku mpigie sim mwambie dia pitia dukani/sokoni uninunulie bidhaa hizi…Kama ni mtu wa kuelewa ataelewa kuwa chakula hakishushwi kutoka mbiguni na atakumbuka kama kuna kitu alikuwa anakosea….

huyo wangu nilimwambia siku apitie soda...kwanza akanunua zile za grade ya chini yaani store brand, pili mwezi mzima ndo ukawa wimbo, ooh mie nilikununulia soda nyingi tu mara zimeisha, kwani hizo soda ulioga. basi ali-make sure anakula kwangu siku 30 zote za mwezi kisa soda! embu msinikumbushe majanga ya wanaume cheap cheap
 
Ooppsss pole!
 
ni afadhali umtose sasa hivi maana huyo ni dezo style. ki ufupi hawezi badilika hata mkioana. mie mchuchu niliyempiga kibuti alikuwa ana hiyo tabia, ni msomi na kazi ya mshahara mzuri tu sana. tena anatoa order tu mara oo nitengenezee mbuzi wa ku-roast, mara leo natamani maini ya kukaanga etc. kwa mwezi nilikuwa na-spend kama laki 2 na zaidi kumpikia tu yeye, kabla ya hapo matumizi ya misosi ya home yalikuwa elfu 50 tu kwa mwezi. hakuna hata siku moja alikuwa anapitia juisi wala soda wala nini. tena siku akikuta hujapika atanisimanga au akute nimepika ma-beans nitaambiwa hicho ni chakula cha ndege. tukienda out kula nalipa mimi, miaka miwili ikakatika hivi hivi, nikasema mimi siyo mama yake wala shangazi yake....i kicked his cheap a*** to ze left!

Duuuh kumbe wapo wengi wa hivi
 
huyo wangu nilimwambia siku apitie soda...kwanza akanunua zile za grade ya chini yaani store brand, pili mwezi mzima ndo ukawa wimbo, ooh mie nilikununulia soda nyingi tu mara zimeisha, kwani hizo soda ulioga. basi ali-make sure anakula kwangu siku 30 zote za mwezi kisa soda! embu msinikumbushe majanga ya wanaume cheap cheap

Hahahaaaaa hawa watu wana mambo acha kabisa
 
ni afadhali umtose sasa hivi maana huyo ni dezo style. ki ufupi hawezi badilika hata mkioana. mie mchuchu niliyempiga kibuti alikuwa ana hiyo tabia, ni msomi na kazi ya mshahara mzuri tu sana. tena anatoa order tu mara oo nitengenezee mbuzi wa ku-roast, mara leo natamani maini ya kukaanga etc. kwa mwezi nilikuwa na-spend kama laki 2 na zaidi kumpikia tu yeye, kabla ya hapo matumizi ya misosi ya home yalikuwa elfu 50 tu kwa mwezi. hakuna hata siku moja alikuwa anapitia juisi wala soda wala nini. tena siku akikuta hujapika atanisimanga au akute nimepika ma-beans nitaambiwa hicho ni chakula cha ndege. tukienda out kula nalipa mimi, miaka miwili ikakatika hivi hivi, nikasema mimi siyo mama yake wala shangazi yake....i kicked his cheap a*** to ze left!

Lol laki mbili!! Sasa mimi c kamshahara kangu kote hapo
 
We dada naona una inferiority complex,labda kwa sababu ya umri,au maumbile yako,au sijui nini.

Nakumbuka nikiwa form 5&6,Bado niliweza kumgharamia gfriend kwa pesa ya wazazi.je iweje kwa mgfanyakazi ashindwe! hapo ----- ni wewe sio yeye.pole
 
Asante kwa ushauri. Nilishawahi kujaribu hii ila anafanya siku hiyohiyo uliyomwambia baada ya hapo km kawaida
inaonyesha huyu ni type ya wanaume wale ambao haleti kitu hadi umwambie, sasa kama una mapenzi ya dhati nae, na kweli unatarajia awe mume wako, endelea kumuagiza alete, na siku nyingine mpigie au mwambie naomba nitumie hela ninunue mahitaji ya chakula, akikuuliza sh ngapi mwambie akadirie halafu uone kama anakutumia shilingi ngapi,pole ila wapo wanaume wa aina hiyo wasiojielewa
 
We dada naona una inferiority complex,labda kwa sababu ya umri,au maumbile yako,au sijui nini.

Nakumbuka nikiwa form 5&6,Bado niliweza kumgharamia gfriend kwa pesa ya wazazi.je iweje kwa mgfanyakazi ashindwe! hapo ----- ni wewe sio yeye.pole
Sijakupata ndugu, inferirity complex? Unamaanisha nini kwa mfano
 
Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.

Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.

Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.

Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?

Kupenda kusikutie upofu. Kama sasa hawezi kuleta japo kilo ya sukari usitegee ataleta mkiwa ndoani! Umejionea mwenyewe kata shauri sasa before it's too late.
 
Lol laki mbili!! Sasa mimi c kamshahara kangu kote hapo

si unajua tena mambo ya kumpa daddy ake misosi ya first class....halafu hakuna kula kiporo. ah yalikuja yakanishinda, he was too expensive for my taste hiyo hela niliwekeza penye riba...
 
huyo mwanaume au shoga (watoa tigo)mana mwanaume aliyetimia hawezi kufanya hivyo
 
si unajua tena mambo ya kumpa daddy ake misosi ya first class....halafu hakuna kula kiporo. ah yalikuja yakanishinda, he was too expensive for my taste hiyo hela niliwekeza penye riba...

Ni mbaya sana unapokuwa unahangaika kwaajili ya mtu af ye hathamini juhudi zako
 
Back
Top Bottom