Atatamani awe wako

Atatamani awe wako

Kivipi mkuu
Methali 17:1 inafundisha kuwa maisha ya amani na utulivu, hata kama ni ya hali ya chini, yana thamani kubwa zaidi kuliko kuwa na utajiri mwingi lakini ukiwa na migogoro. Mistari mingine katika kitabu hiki inasisitiza umuhimu wa hekima, maadili mema, na kumcha Mungu katika kila jambo.
 
Huenda yupo sahihi tu mkuu kunipinga na kupigilia msumari kwa kila baya linalonikuta. Au kwa vile ni mjamzito ndo anafanya haya
 
Back
Top Bottom