Atatamani awe wako

Atatamani awe wako

Kupenda ni sanaa
Kupenda ni hisia
Kupenda ni pepo, lakini kuhodhi moyo wa mtu ni kipaji.
Usitafute tu nafasi kwenye macho yake,
tafuta mizizi kwenye fikra zake.
Mfanye akukumbuke sio kwa sababu upo karibu,
bali kwa sababu ladha ya uwepo wako haipatikani kwingine kote.

Mnusanishe harufu ya upendo wa dhati,
mtazame kwa macho yanayosoma siri za nafsi yake,
na mpe tabasamu litakalobaki kama picha isiyofutika akilini mwake.

Ukigusa hisia zake kwa usahihi, hatatamani tu kuwa na wewe—atafanya kila uwezalo kuwa wako.
Shee hebu amka.
 
Utaongea mpaka utachoka tu wewe mzee

Kama hupendwi utaangalia kwa macho ya nafsi yeye anaona imemkosea heshima kwa kumwangalia usoni kwa muda mrefu..

Kama hupendwi jichenge tu.

Maisha sio mapenzi tu, tafuta wanyama ufuge, walishe wanone, na utapata unconditional love
 
🤣🤣🤣🤣 na bado!
1787041919351.jpg
 
Naona kama ni nadharia tu Mshana, uteke moyo wa mtu, how? Love is very complex especially kwa kipindi tulichopo, watu wapo mguu nje ndani, ni mwendo wa kuvuziana tu!!
Wapendao wapo na wapendwao pia wapo ila kwa uchache🤔🙇🏿‍♂😪
 
Unajua nini mkuu, everything is affordable saivi, mahusiano yapo so cheap! Ni rahisi kuingia, ni rahisi kutoka, hakuna cha kupoteza, unaanzaje kumpa mtu moyo wako, unataka kuumizwa?
Basi nadhani wakati umeniacha😭 Bado naamini true love ipo Ila uwe smart upstairs na mfukoni kunenepeane😂
 
Basi nadhani wakati umeniache😭 Bado naamini true love ipo Ila uwe smart upstairs na mfukoni kunenepeane😂
Ukishasema mfukoni kunenepeane😅😅neno triue love liondoe. Love doesn't ask why!

Sema wakati unetuacha, japo binafsi siamini sana kwenye true love, haipo..ni nadharia tu. Love is very conditional!
 
Ukishasema mfukoni kunenepeane😅😅neno triue love liondoe. Love doesn't ask why!

Sema wakati unetuacha, japo binafsi siamini sana kwenye true love, haipo..ni nadharia tu. Love is very conditional!
Hata mke wako huna true love nae we mzee😀😀 kasheshe
 
Back
Top Bottom