Kupenda ni sanaa
Kupenda ni hisia
Kupenda ni pepo, lakini kuhodhi moyo wa mtu ni kipaji.
Usitafute tu nafasi kwenye macho yake,
tafuta mizizi kwenye fikra zake.
Mfanye akukumbuke sio kwa sababu upo karibu,
bali kwa sababu ladha ya uwepo wako haipatikani kwingine kote.
Mnusanishe harufu ya upendo wa dhati,
mtazame kwa macho yanayosoma siri za nafsi yake,
na mpe tabasamu litakalobaki kama picha isiyofutika akilini mwake.
Ukigusa hisia zake kwa usahihi, hatatamani tu kuwa na wewe—atafanya kila uwezalo kuwa wako.
Tukienda Tanga utabadili mtazamo.. Maana kule ukimuita mpenzi haji siku hiyohiyo atakuja siku ya pili na mkoba wake wenye khanga mbili😀 na vinginevyo 😀Na mda wa kutafuta pesa Kaka nitautoa wapi? Mimi nachagua pesa! Nyie Ndugu zangu pambaneni na mapenzi
Yule chamdeko wa hapa?, De-nani tena😅😅Umenikumbusha chamdeko😀🙌🏿
One call mpigie Dad cha kufia nini 🤣🤣Umenikumbusha chamdeko😀🙌🏿
Ma Devil.....Kupenda ni sanaa
Kupenda ni hisia
Kupenda ni pepo, lakini kuhodhi moyo wa mtu ni kipaji.
Usitafute tu nafasi kwenye macho yake,
tafuta mizizi kwenye fikra zake.
Mfanye akukumbuke sio kwa sababu upo karibu,
bali kwa sababu ladha ya uwepo wako haipatikani kwingine kote.
Mnusanishe harufu ya upendo wa dhati,
mtazame kwa macho yanayosoma siri za nafsi yake,
na mpe tabasamu litakalobaki kama picha isiyofutika akilini mwake.
Ukigusa hisia zake kwa usahihi, hatatamani tu kuwa na wewe—atafanya kila uwezalo kuwa wako.
Tukienda Tanga utabadili mtazamo.. Maana kule ukimuita mpenzi haji siku hiyohiyo atakuja siku ya pili na mkoba wake wenye khanga mbili😀 na vinginevyo 😀
Huko kwingine ni kipochi na simu.. Confine utajua mwenyewe🤣
October...🔥🔥🔥🔥
Polee yakoNumber busy😂View attachment 3653918
FACTlakini kuhodhi moyo wa mtu ni kipaji.
Tukumbushane September mwishoni 💪🏿
Fact ✔️"MIND is not a dustbin to keep anger, hatred and jealousy. But it is the treasure box to keep, love happiness & sweet memories.💖"