Atatamani awe wako

Atatamani awe wako

Kupenda ni sanaa
Kupenda ni hisia
Kupenda ni pepo, lakini kuhodhi moyo wa mtu ni kipaji.
Usitafute tu nafasi kwenye macho yake,
tafuta mizizi kwenye fikra zake.
Mfanye akukumbuke sio kwa sababu upo karibu,
bali kwa sababu ladha ya uwepo wako haipatikani kwingine kote.

Mnusanishe harufu ya upendo wa dhati,
mtazame kwa macho yanayosoma siri za nafsi yake,
na mpe tabasamu litakalobaki kama picha isiyofutika akilini mwake.

Ukigusa hisia zake kwa usahihi, hatatamani tu kuwa na wewe—atafanya kila uwezalo kuwa wako.
Saiz wanatumia code hii

Utaskia location

Sasa mganga unaona kuna mapenzi
 

Attachments

  • FB_IMG_1787195218220.jpg
    FB_IMG_1787195218220.jpg
    89.8 KB · Views: 1
Ukishasema mfukoni kunenepeanešŸ˜…šŸ˜…neno triue love liondoe. Love doesn't ask why!

Sema wakati unetuacha, japo binafsi siamini sana kwenye true love, haipo..ni nadharia tu. Love is very conditional!
Ndio maana waliimba... Ooh Rhabi usinipe mapenzi... Na wapendwao hakuna...😃
 
Back
Top Bottom