asprin uko juu

asprin uko juu

Alikwenda kusafisha nyota kwa bibi bagamoyo,
mambo yanamnyokea hadi anakufuru.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Pamoja na kuwa na sura na tabia za kijelajela lakini hakika ubunifu wako unaibeba chi chat.Tulizana sasa,stick to what you can do best,to cheat chat,achana mambo ya kupimana ubavu na kina mwanakijiji,wale mabaunsa bongo zao kila siku ziko gym,wataishia tu kukuchomekea ban.Hivi huoni raha warembo wanavyokushobokea chit chat? Embu nambie mwanamke gani ashawahi kukutaka huko kwingine ,FF au nani?
 
Mkuu wangu kule ni shurba tu!! Usipime.


hebu tuwe serious kidogo, umewahi kuwa comedian?? umenichekesha mwenzio kila mtu ananishangaa mpaka clients! sasa huyo kufunikwa na matofali hivyo ndio nini jamani?? darling we waeza nichekesha hata kwenye ukaguzi, nimeshashtuka u cant b serious kha!

eti eh? si ndo mana wanawake kibao wanampiga chini?
 
nini hyo taamu???????? hebu niambie Kaizer umeanza lini hii mambo?
dada msiri wangu wa moyoni! za jioni?? kha, mi mithd u, ndio nilikuwa najiandaa kuanza maandamano, nimecheck na kituo cha polisi mabwe-pande nimekuta hola! kha u made me to b so scared!
 
Back
Top Bottom