asprin uko juu

we nawe!! mbona ur writings sounds familiar lakini?? hebu rudia ID yako ya zamani bwana, nini lakini?? kuhusu kumPM mume wa mwenyewe, ruksa mamito, wala usitie shaka, Asprin namjua, anajua kupembua, hali vyote so shaka ondoa!

kumPM ni kumfanyaje cacico? Mwandiko wangu wafanana na wa nani?
 
Last edited by a moderator:
sijaelewa nifanyeje cacico. Vigezo na masharti vya mume wa mtu nitavizingatia nisije nikakojoa dagaa bure

we nawe!! mbona ur writings sounds familiar lakini?? hebu rudia ID yako ya zamani bwana, nini lakini?? kuhusu kumPM mume wa mwenyewe, ruksa mamito, wala usitie shaka, Asprin namjua, anajua kupembua, hali vyote so shaka ondoa!
Hahahahaha!!! Hommie Kaizer popote pale ulipo hebu njoo unisaidie kusoma katikati ya mistari hapa!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahahaha!!! Hommie Kaizer popote pale ulipo hebu njoo unisaidie kusoma katikati ya mistari hapa!!

Ninaona Asprin, ujue sasa hapa utamu wa ngoma uingie ucheze, nani alikuwa anakufunda na kukupakaza dawa aisee?
 
Last edited by a moderator:
Ninaona Asprin, ujue sasa hapa utamu wa ngoma uingie ucheze, nani alikuwa anakufunda na kukupakaza dawa aisee?
Si ndo hapo hommie..... Afu huyu hapa chini nazani hafai kwenye ile kazi yetu..Khaa!
Ngoja nimkabizi huyu amkague, si tuendelee na mpango mkakati wa Catherine na ummu kulthum

attachment.php

Yani huo ndo mpango mzima.
Mnataka Mle tu bila Kuliwa...???
Ebo..!!!
Njoeni na Asprin wako muone 'Yaliyomo Yamo'
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom