asprin uko juu

asprin uko juu

Hahahaha.... ngoja laaziz wangu cacico na my wifey material BADILI TABIA na asali ya ODM Kongosho waje wanisaidie kushukuru. Manake mbichwa huoooo!!

Lakini unasema kweli Bishanga huku ni full maujiko. Muda si mrefu nimetoka kupokea simu ya Yummy anataka tukutane Fyatanga nimlishe nyama ya mbuzi.
attachment.php

charminglady naye kanambia yuko njiani anakuja

Bambi-Fashions-PRO-the-Boob-licious-Tattu-Sophie-took-the-twins-on-her-chest-for-a-night-out.jpg

babu Asprin nakuja saiv! Nilikuwa church nafanya maombi kwa ajili ya mchumba yule niliyekupm naona mambo yanakaribia lilililiiiiiiiiiiiiiii yan acha tu!
 
Last edited by a moderator:
dada msiri wangu wa moyoni! za jioni?? kha, mi mithd u, ndio nilikuwa najiandaa kuanza maandamano, nimecheck na kituo cha polisi mabwe-pande nimekuta hola! kha u made me to b so scared!

lolest! nlikuwa nimejifungia kwa lab na maji machafu na kuhesabu wadudu since morning mamii, nimelimisije hilo jicho lako? hivi Asprin anajua kuwa hilo jicho kwenye avatar ni lako kweli? duh! ...............anafaidi sana aisee. haya nakuona wammezea mate Kaizer wangu, weye ushindwe na ulegee kabisa..................yule humuwez yaya zake ni mfyonzo kwa kwenda mbele.
Kaizer ma swtllo huyu cacico asikulaghai hilo jicho ni kazi ya kungu tu wala haihuu kabisaa............halafu mfyonzo haujui kabisaa
 
Last edited by a moderator:
kilugwai kitakuhusuje tena?? shaurilo! hivi unasalimiaje kwa lugha yenu tena? ni taspota, au paspota? kha! nahitaji kujua!


na weye hilo jicho na watu................hala hala! mabwepande panakuhusuje?
 
na weye hilo jicho na watu................hala hala! mabwepande panakuhusuje?

Aisee we gfsonwin hebu njoo pande hii nikulambe busu la haja. Nimechoka kuibiwa hebu nawe njoo tuibemo.
 
Last edited by a moderator:
lolest! nlikuwa nimejifungia kwa lab na maji machafu na kuhesabu wadudu since morning mamii, nimelimisije hilo jicho lako? hivi Asprin anajua kuwa hilo jicho kwenye avatar ni lako kweli? duh! ...............anafaidi sana aisee. haya nakuona wammezea mate Kaizer wangu, weye ushindwe na ulegee kabisa..................yule humuwez yaya zake ni mfyonzo kwa kwenda mbele.
Kaizer ma swtllo huyu cacico asikulaghai hilo jicho ni kazi ya kungu tu wala haihuu kabisaa............halafu mfyonzo haujui kabisaa
pole mamito! nilikumith pande hizi, ujue uwepo wangu unafanya wageni waogope kumsogelea Kaizer, mi nakulindia we unanituhumu! shaurilo nikisusa kukulindia, nipe ma- udaku ya leo!
 
Last edited by a moderator:
Aisee we gfsonwin hebu njoo pande hii nikulambe busu la haja. Nimechoka kuibiwa hebu nawe njoo tuibemo.

hlo busu la haja unipe Kongosho akiwemo naogopa tego miye. Kaizer wangu anayajua hadi ya maskioni chezeyaaaa mziba pancha weye. yakwake yanafyonza kama vile pump inavyofyonza maji kisimani tania dr weye
 
Last edited by a moderator:
pole mamito! nilikumith pande hizi, ujue uwepo wangu unafanya wageni waogope kumsogelea Kaizer, mi nakulindia we unanituhumu! shaurilo nikisusa kukulindia, nipe ma- udaku ya leo!

weye tena msiri wangu!!!!!!!!!!lolest ma udaku yanakuhusuje? au tukutane yale maeneo tujidunge japo ki monalisa cha nyagi nini? wapi sasa brajec ama miye kama kawa natokea yale maeneo yangu.
 
weye tena msiri wangu!!!!!!!!!!lolest ma udaku yanakuhusuje? au tukutane yale maeneo tujidunge japo ki monalisa cha nyagi nini? wapi sasa brajec ama miye kama kawa natokea yale maeneo yangu.
tufanye ile siku tuliyopanga bwana, ndio tutakuwa tumemisiana! kha, naandaaje mbavu kucheka mie?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom