asprin uko juu

Shemeji cacico ombi langu umelipokea lakini? Asprin nadhani tupunguze haya makitu tusijeshindwa kujitambulisha kwa gfsonwin na cacico sembuse kula mdudu

Nitakuja na Catherine ili naye akaguliwe apende asipende, ni kama kutahiriwa kwa wayahudi. Bishanga mtafute CUTE uje naye....dogo Erickb52 usipokuja na Amyner, baas tutajua imekula kwako.
BADILI TABIA na Mamndenyi, mujepo na Kongosho, mtakuwa na meza yenu maalum.,
Dah mi ntakuja nae ingawa bado yuko tight na mambo fulani ila ntajitahidi kuja nae
Akishindwa ntakuja na Kipipi msaidizi wa Amyner
 
Last edited by a moderator:
Nipo laaziz. Leo tukapate hii makitu bana.... si unajua jioni leo sikukagui bali tutakaguana??

wallah Asprin umenitamanisha balaa! yaani nimesalivate! naimisije hiyo kitu??
 
Last edited by a moderator:
Weeee nyamaza na ishia hapo hapo
Ukaguzi wetu uko sahihi na naomba hayo maneno yako usiyarudie tena!
Sawa Madame B ?
Safi sana kijana.... Leo ntakuachia Catherine umkague...
attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Unaweza mwalika na dada msiri wako gfsonwin kwakuwa ntaambatana na hommie wangu Kaizer. Tushaanza kuranduka wenzenu...

dada yangu msiri wangu wa moyoni leo simsomi kabisaaaaa kwenye rada yangu! nadhani hii rada ndiyo ileeee ambayo bado tunadai chenchi! jamani shem Kaizer, gfsonwin leo yupo wapi?
 
Last edited by a moderator:
Shemeji cacico ombi langu umelipokea lakini? Asprin nadhani tupunguze haya makitu tusijeshindwa kujitambulisha kwa gfsonwin na cacico sembuse kula mdudu

Nitakuja na Catherine ili naye akaguliwe apende asipende, ni kama kutahiriwa kwa wayahudi. Bishanga mtafute CUTE uje naye....dogo Erickb52 usipokuja na Amyner, baas tutajua imekula kwako.
BADILI TABIA na Mamndenyi, mujepo na Kongosho, mtakuwa na meza yenu maalum.,
ombi lako limekubaliwa bila upingamizi, ila tu mwambie hommie wako vigezo na masharti kuzingatiwa!
 
Unaweza mwalika na dada msiri wako gfsonwin kwakuwa ntaambatana na hommie wangu Kaizer. Tushaanza kuranduka wenzenu...

dada yangu msiri wangu wa moyoni leo simsomi kabisaaaaa kwenye rada yangu! nadhani hii rada ndiyo ileeee ambayo bado tunadai chenchi! jamani shem Kaizer, gfsonwin leo yupo wapi?
gfsonwin tangu nimalize kumkagua yuko hoi kalala tu home ila atakuja baadae kidogo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu kule ni shurba tu!! Usipime.

hebu tuwe serious kidogo, umewahi kuwa comedian?? umenichekesha mwenzio kila mtu ananishangaa mpaka clients! sasa huyo kufunikwa na matofali hivyo ndio nini jamani?? darling we waeza nichekesha hata kwenye ukaguzi, nimeshashtuka u cant b serious kha!
 
Umeona eeeh!
Kweli hata mimi nimecheka sana hizo picha za Asprin
Dah
 
Last edited by a moderator:
Usijali niko kwa ajili yako. Mapozi yako yananipagawisha jamani. Nikupitie jioni au nije sasa hivi? Uvumilivu ushanishinda.

this way my love......., this way come, come! am waiting lol!
 
Back
Top Bottom