asprin uko juu

asprin uko juu

ulitoweka wakati nilikuwa nakuona majukwaa fulani unazurula bila viatu. cacico, boyfriend wako asprin hajatatua shida yangu.
MIMI?
Utakuwa umenifananisha lol
Nilikuwa nashangaa tu bila kuchangia siunajua batani zangu huwa zinagoma nikiwa hoi
 
MIMI?
Utakuwa umenifananisha lol
Nilikuwa nashangaa tu bila kuchangia siunajua batani zangu huwa zinagoma nikiwa hoi

teh teh teh! Ukaguzi wa wajukuu ulikuacha hoi au? Cjakufananisha, ni wewe ulivaa suruali ya njano na shati la mauamaua.
 
Back
Top Bottom