Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Hajambo kabisa ila amemiss sana JF
Atakuja anytime kabla ya ijumaa usijali
Hajambo kabisa ila amemiss sana JF
Waaaoh! Thats so lovely....Umenifurahisha sana mke wangu. Jiandae na omba emergency leave kabisa, nakupitia hapo twenzetu vekeshen mpaka wikiendi, tukaboreshe penzi letu hapa........
![]()
Uko wapi bana,
Mi nilikuahidi maji ya dhahabu umetimua mbio kabisa,
kumbe wewe hauja maujanja eeeh.
Mimi sio mwoga bana, nasoma katikati ya mistari hapo LOLKhaaa ndo nini sasa kumbe wewe kaoga eeh.
Mimi sio mwoga bana, nasoma katikati ya mistari hapo LOL
Hahahaha... mama Matesha anabana mpaka BOXER..Ofa imepita ngoja tujipange tena,
au ni mama matesha alikubana sana.
Uko wapi bana,
Mi nilikuahidi maji ya dhahabu umetimua mbio kabisa,
kumbe wewe hauja maujanja eeeh.
Khaaa.............!!
Khaaa ndo nini sasa kumbe wewe kaoga eeh.
Mimi sio mwoga bana, nasoma katikati ya mistari hapo LOL
Ofa imepita ngoja tujipange tena,
au ni mama matesha alikubana sana.
Hahahaha... mama Matesha anabana mpaka BOXER..