Aslay mihogo Mwanza

Aslay mihogo Mwanza

mkalusanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
388
Reaction score
469
Habari za Mihangaiko..

Napenda kumshauli huyu Dogo Aslay kuhusu Biashara ya mihogo

Leo nimesema niende kula mihogo na Mishikaki ajabu hawana Mishikaki
Eti kuna Samaki tuu na Mimi Mchana nimekula Samaki Sasa nikauliza Hamna kibgine zaidi ya Samaki?? Jibu hamna

Sasa kilichonifanya niandike mimi Sikuaribii Biashara yako Nimeamua kula Mihogo na Fresh juice

Ila mihogo ni Migumu Saana imekaangwa mpaka hata kutafuna ni Shida Sasa Ushauri wangu Ambia Team yako Muandae Mihogo vizuri kwa Wateja Imagine nimekuta mteja mmoja na Nimeondoka hakuna mteja
Jitahidi kuweka

Mishikaki
Soseji
Sambusa vitu kama hivyo Eneo ni zuri sanaa ila Huduma Ziro Mimi Nashauli kwa Upendo tuu ni Hayo🙏

20250801_193809.jpg
 
View attachment 3427349
Hiyo biashara kwa mwanza itamsumbua sn, mwanza hawana ushamba na.samaki angepeleka maeneo ambayo kidogo samaki ni changamoto
 
Nimeacha kula vyakula kwa kufuata promo za mitandaoni, Restautants zote nilizoenda kwa kufuata trends za mitandaoni ni hovyo, Shishi food dodoma vyakula bei juu msosi wa kawaida sana, shawarma pale mwenge kawaida tu, Ney Cassava nilikula upuuzi. Magomeni kulikuwa na mgahawa unaitwa Basmati Mungu awabariki wale kwa chakula kitamu. Mwanza Mishikaki mizuri iko pale Salma Cone, Kitimoto Mwanza nenda Victoria prince. Ukitaka T bone steak safi na chipsi kale Bonasera.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom