Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,095
- 285,803
Najivunia mno kushirikiana Mkoa na Askofu huyuAskofu ni wa kuungwa mkono.
Najivunia mno kushirikiana Mkoa na Askofu huyuAskofu ni wa kuungwa mkono.
Mkuu hata Kibwetere nae alikuwa na wapambe kama nyie,lakini mwisho wake sote tunaujua.Najivunia mno kushirikiana Mkoa na Askofu huyu
Kama huna roho wa Mungu huezi kuandika hii makala kwa awamu hii...Najivunia mno kushirikiana Mkoa na Askofu huyu
HaihusianiMkuu hata Kibwetere nae alikuwa na wapambe kama nyie,lakini mwisho wake sote tunaujua.
Hivi hata baba askofu naye hakujitokeza kwenye yale maandamano ya lisu? Naona kila kamanda anapambana kivyake kujitafutia promo!Watanzania tumejawa na unafiki wa kiwango chs lami. Tundu Lissu aliitisha maandamano ya amani nchi nzima, watu wakasusa kisha wakakimbilia kulalamika kwenye mitandao ya kijamii uonevu unaofanywa na serikali.
Haya nafasi ya pili imepatikana ya kutoa yote yaliyopo moyoni mwa watanzania. Na hii isusiwe tena.
Mkuu, hivi huyo ni askofu wa kanisa gani, katoliki au anglikana?Najivunia mno kushirikiana Mkoa na Askofu huyu
Hapa kwenye aya hii nimekuelewa vizuri Sana baba askofu MwamakulaTunaamini kuwa kama Serikali yako na Vyombo vya Dola hawatatumia nguvu kuzuia vuguvugu hili la umma linaloongozwa na Askofu, basi Mheshimiwa Rais utaweza kumaliza muda wa uongozi wako salama. Lakini kama Serikali na Vyombo vya Dola watatumia mamlaka yao vibaya kwa kumzuia Askofu na kuwadhuru washiriki ambao wanakusudia kutembea kwa amani basi Serikali yako haiwezi kuwa na mwisho mwema na hata baada ya mwisho wenu kufika hamtaweza kufurahia maisha baada ya utawala wenu kumalizika!
Hajitambui huyo achana nayeTrump alitaka kupora uchaguzi Marekani akapigwa chini huyo anayejiita mwendawazimu kapora uchaguzi hapa. Sasa uhusiano wa matembezi ya kudai katiba mpya na tume huru na Trump kutaka kupora uchaguzi uko wapi? [emoji15]
Hata kama unalishwa na Lumumba, tumia akili. Si kwa ujinga huu!Askofu mwenzake Bagonza na Kigogo wanasema kuna Corona.leo Huyu anataka kuua watu kwa kuwatembea watu Kwenye nchi ya Corona.police msipe kibari huyu aliyejivalisha uaskofo wakati tunajua ni chadema na katumwa na chadema.mlikataa kupeleka wabunge bungeni leo mnataka Tume huru ya kufanya uchaguzi gani? Siasa peleka bungeni.na kanisa analoongoza lifungwe .
Ujinga wangu uko wapi?huyu atakuwa shoga,siyo mchunga kondoo Bali mchunga mbuzi.Hata kama unalishwa na Lumumba, tumia akili. Si kwa ujinga huu!