Shule zote ziko hivyo? wewe dada acha kupayuka.Hizo shule za kikristo ambazo zipo kibiashara zaidi Zina huduma ya madrasa,maalim wameajiriwa humo Ili wasikose hela za waislam,danganya wengine
Marian Kuna madrasa?
Nitajie shule ya kikatoliki yenye madrasa hapa jukwaani ???
Ukitaja hata moja ntaikana imani yangu.
Usijitie moyo