Askofu Mwamakula: Makonda halijui vizuri Kanisa

Askofu Mwamakula: Makonda halijui vizuri Kanisa

Status
Not open for further replies.
Shukuru udikteta wa Nyerere uliwasaidia waislam wapate elimu dunia inayokufanya uje utukane wakristo leo.
Aliwapora shule zao wakristo kinguvu ili waislam nao wasome kwa wingi.
Huo ujinga umewakaa kichwani ni nyinyi tu wagalatia vilaza
hakuna muislamu aliruhusiwa kusoma hizo shule kwa mfumo kristo ulifumuliwa na Kikwete ambapo majina ya kigalatia tu ndio yalipitishwa mitihani
 
Acha visingizio Babu zako hawakupenda shule walijali zaidi elimu Madrasa.
Mnapenda sana kuwasiliza Babu zenu huku wakiwadanganya.
Hakuna mtu alizuiliwa kusoma sema ni nyinyi wenyewe kutotaka.
 
Walikuwa wapi wakati wa nyerere na udikteta wake uchwara
Halafu huyo askofu Nina mashaka nae, kapo kama kashoga hivi. Samahani lakini, ni hisia zangu.....uongeaji wake, unafiki wake na undumilakuwoli wake vinanipa mashaka sana.
 
Huo ujinga umewakaa kichwani ni nyinyi tu wagalatia vilaza
hakuna muislamu aliruhusiwa kusoma hizo shule kwa mfumo kristo ulifumuliwa na Kikwete ambapo majina ya kigalatia tu ndio yalipitishwa mitihani
Wewe umelishwa uongo na chuki.
Weka uzi hapa JF.
Ulizia waislam waliosoma kabla ya uongozi wa Kikwete Shule za Pugu, Mazengo, Forodhani, Ndanda Sec School, Tosamaganga Sec School na nyingine nyingi zilizo taifishwa toka kwa kanisa.
Sikufikiria kama ujinga wa udini unaweza kumfubaza mtu akili asikubali ukweli kiasi hiki cha kwako.
 
Wao wenyewe vilaza tu
Angalia CV zao halafu ilinganishe na ya Boss wako ili ufahamu nani ni kilaza halisi.

Maaskofu wa Katoliki wote wana PhD za kusomea, na bado huwakuti hao Maaskofu wakijiita Madokta/Madaktari! Tukija kwenu, sasa hadi zile PhD za kupewa, eti mnazitumia kwenye utambulisho wenu! "Tunamshukuru Daktari Chura Kiziwi kwa kutusababishia kushiba na kujamba kwa urahisi..." Muwe na aibu ndugu zangu. Hakuna elimu ya majini au ya hapa na pale kwa hao Maaskofu.
 
Mbulula wewe kipindi hicho ulikuwa bado kwenye korodani za mdingi wako

Kassanga Tumbo, Fundikira, Tuntemeke Sanga, Kambona, Kassim Hanga, Abeid Karume, Aboud Jumbe, Captein Tamim, Captain Christopher Kadego, Captain Vitalis Mapunda, Captain Eugene Maganga, Lieutenant Hans Pope, Hatty Macghee, Pius Lugangira.............
Senior Private Hezekiah Ochuka and Pancras Oteyo Okumu,
Je muislamu gani aliyefanya mazuri hapa nchini?
Yataje hayo mazuri
 
Huo ujinga umewakaa kichwani ni nyinyi tu wagalatia vilaza
hakuna muislamu aliruhusiwa kusoma hizo shule kwa mfumo kristo ulifumuliwa na Kikwete ambapo majina ya kigalatia tu ndio yalipitishwa mitihani
Na je waislamu wenzako ambao wamejazana katika shule za kikristo nchini kama st.joseph university, Marian girls na boys,na shule zote na vyuo vya kikristo wanatafuta nini huko?
 
Alimuua au alimpoteza nani kati ya hao?
Issue ni udikteta,kamata wapinzani weka ndani,wengine kimbia nchi,tuntemeke sanga chomea vyeti,dikteta baridi,zidumu fikra za mwenyekiti,lake sharti lipite
Kama wao vilaza,je mashekhe wenu wa darasa la saba B ambao hata sahani ya wali na nyama inaweza kuwashawishi,tuwaweke kundi gani?
Au kundi la wanyama?
Ukilaza unakuja kwenye kulipigia goti sanamu la zege ya dangote walilolitengeneza wenyewe,mtu mmoja kuwa baba,mwana na mtume wa mtu huyohuyo na kuamini ni kitu kimoja,hakuna sheikh anayeabudu kiumbe kilichojikamua mavvi chooni
 
Angalia CV zao halafu ilinganishe na ya Boss wako ili ufahamu nani ni kilaza halisi.

Maaskofu wa Katoliki wote wana PhD za kusomea, na bado huwakuti hao Maaskofu wakijiita Madokta/Madaktari! Tukija kwenu, sasa hadi zile PhD za kupewa, eti mnazitumia kwenye utambulisho wenu! "Tunamshukuru Daktari Chura Kiziwi kwa kutusababishia kushiba na kujamba kwa urahisi..." Muwe na aibu ndugu zangu. Hakuna elimu ya majini au ya hapa na pale kwa hao Maaskofu.
Chura kiziwi ana advanced diploma ya mzumbe(IDM) ana postgraduate ya university of Manchester,alisoma vitu vya maana,siyo PhD za psychology, philosophy na yesu akaenda keperenam akamkuta Yosef anachonga stuli,ule ujinga tu, ndiyo maana wanalipigia goti sanamu la zege ya dangote walilolitengeneza wenyewe
 
Wewe ni ni mdomo wa shetani!!

Hayo uliyoyataja yanafanana au hata kukaribiana na uovu na uharamia unaofanywa na watawala madhulumati wanaoua na kuteka na kubambikia kesi watu?
Walikuteka wapi we kkummanina
 
Issue ni udikteta,kamata wapinzani weka ndani,wengine kimbia nchi,tuntemeke sanga chomea vyeti,dikteta baridi,zidumu fikra za mwenyekiti,lake sharti lipite
Issue sio udikteta. Issue ni daraja gani la udikteta. Remember, hakunaga zero-dictatorship. Daraja la udikteta wa fazafaka wa Kizimkazi ni lile la udikteta uliopitiliza!
 
Na je waislamu wenzako ambao wamejazana katika shule za kikristo nchini kama st.joseph university, Marian girls na boys,na shule zote na vyuo vya kikristo wanatafuta nini huko?
Kwa hiyo askofu wako alikwambia wanasoma bure ?
 
Alimuua au alimpoteza nani kati ya hao?
Captein Tamim alipigwa risasi na kufa akiwa nyumbani kwake sebuleni.

Kwa uchu kumtaka Hatty Macghee, Pius Lugangira kutoka Kenya. baada kutiwa aibu na hawa wajuba kutoroka Keko,

Aliwarudisha hawa Kenyan Air Force aliokukuwa kawapa hifadhi ya ukimbizi na kuwageuka ambapo wote walivyorudishwa Kenya walinyongwa hadi kufa na Kenyatta
Senior Private Hezekiah Ochuka and Pancras Oteyo Okumu,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom