Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Umezungumzia faida za DP world kama watajenga msikiti jee faida hiyo itatokana na kodi za waislamu pekee?.DP World ni kampuni ya kimataifa inaendesha bandari mabari yote na nchi nyingi zenye shughuli kubwa za kibandari kuliko Tanzania. Hivyo kama wamesema watajenga msikiti na hata kazi hawajaanza basi yawezekana hiyo faida inatokana na kazi zao za Marekani,Urusi,Uiengereza kwa kwengineko.Kipi kinakuuma hapo.Au haja yako ni waislamu wasipate msaada wowote wa kuwaendeleza halafu mupate sababu ya kuwadharau kuwa wako nyuma.
Kubwa zaidi kama unaumizwa na kodi zetu waislamu na wakristo basi ungekuwa umependekeza MOU ya kanisa na serikali ya Tanzania basi uvunjwe haraka. Huu mkataba ndio unaochukua kodi zetu sote kuzipeleka kwenye mahospita ya kanisa halafu kuzizalishia pesa nyengine na kujitanua kwa kanisa nchini.Badala yake wewe unapinga watu wanaotaka kutumia faida zao wenyewe kujenga msikiti utakaotumiwa na waislamu.
 
Baada ya kutoka kwenye uwekezaji sakata linaenda kwenye udini, Bongo hii kuna watu roho zinawauma saaana wanapoona tunaishi kwa amani, wanatamani kinuke ili wayatimize malengo, ikifika hapa tuu ndo huwa namkubali mjomba Magu na falsafa zake
 
Waarabu ndo waasisi wa biashara ya watumwa na pembe za ndovu Sasa wanakuja kivingine . kwa mgongo wa uislam kuwapumbaza na ndio maana waislam wetu hapa Wana react tunavyohoji vipengele vya mkataba

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Hili jambo naona linaamuriwa kidini, na mim nitoe maoni yangu kwa fikra za kidini maana nchi imejaa wapuuzi wengi.

Okay kama wanajenga msikitini basi wapewe bandari, nawaunga mkono DP WORLD kweny hili.

Tunashindwa kuuchambua na kuanika madhaifu ya mkataba tunaanza kuzungumzia ujenzi misikiti,kwani ni lazima wajenge makanisa if watajenga misikiti,kuna kipengele kweny mkataba kinasema ajenge nyumba za ibada, kama hakipo basi kupeleka fadhira kwa jamii ni maamuzi yake

Hitimisho, DP WORLD majority ni warabu na warabu weng ni waislam kujenga misikit ni wajibu wao.Kwan wamissionaries walijenga misikiti?

KUUINGIZA UDINI KWENY SWALA LA BANDARI NI WAZ HATUTAONA MADHURI NA MADHAIFU YA MKATABA
 
Kwanza mkuu nakupa hongera ya moyo wangu!

pili, ninafahamu fika wewe ni Muislam safi na mwenye moyo wa kupenda dini,

Ninakupongeza kwa hiki umesema, na hii inaonyesha kwamba, mbali na kuwa tuna dini zetu, kumbe hatuwezi kuwa washabiki wa Dini zetu pindi kunapotokea jambo la kitaifa!

Umeongea pointi ambazo ndani yake, mtu ambaye anayo dini na ana shule ya maana, hawezi kuwa mbinafisi wa Dini yake tu, bali atayabeba yote mawili na moja lile la kitaifa likiwa mbele zaidi kwa masilahi yake na jamii yote ya kitanzania

Mungu akubariki mkuu
 
Waislamu wengi hawaelewi vizuri hayo.
 
Mimi kama kiongozi kama investor ana kuja Nataka afanye biashara zake na change anipe, kwisha! Kwa nini aanze kujenga misikiti au kanisa?? Jamani sisi waafrika tuko weak mno, dhaifu kwa kila kitu, akili (low IQ); kimwili (Physically); yaani kila kitu. We invite investors but not at our loss! Mwaka wa karibu 70 tangu tupate uhuru watu wanaandika huu utumbo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mafi kabisaaaaaaaaaa
 
Hii siyo Nchi ya Kiislam
Hao majesuit au rotary hawatuibii, usilete makasiriko hapa, kama unaona misaada sifa, kaombe kwa wasafi wasio na uchafu.
Hii siyo Nchi ya Kiislam, kama hao jamaa wangekuwa na nia njema waneangalia Vipaumbele vya wakazi wa Mbeya kwa kuwa wanadai wamekuja huku kwa ajili ya kuwekeza kwenye maendeleo, sio kama shirika la Dini, hayo mambo ya misikiti ni nyongeza tu wakati mambo mengine yakiwa yanaendelea kuliko kufanya kwamba ndiyo vipaumbele vyao, sawasawa na wachina au mataifa mengine wanapo kuja kuwekeza kwenye Miradi mikubwa ya Kitaifa waanze tu kwa kuanza kueneza Dini zao hiyo siyo sawasawa. Ikumbukwe kwamba Tanzania tumechanganyika sana, utakuta familia moja kila mtu na dini yake lakini kwa approach hiyo lengo lake ni kutugawa Watanzania tuikatae kwa nguvu zetu zote!
 
Hivi Mwamakula akiambiwa kuwa si kazi ya mtu yeyote kuwauliza DP World hela yao wanaitumiaje ili mradi hawavunji sheria za nchi atawajibuje?.

Wewe una haki ya kuuliza kama wanatimiza masharti ya mkataba waliyoingia na serikali yako lakini huna haki ya kuuliza pesa yao wenyewe wanaitumiaje, au wanamsaidia nani.

Ndiyo maana kuna Taasisi nyingi za Ulaya zinasaidia makanisa na taasisi za Wakiristo lakini that is non of Muslims business kuuliza.

Tujikite kwenye mkataba tu, haya mambo mengine yatatutoa nje ya reli.
 
Kama hao waarabu wasingekuwa na doa, hayupo ambaye angehangaika kuuliza matumizi ya hela zao.

Kwani kule Dodoma hamjawahi kujengewa msikiti na Gaddafi? nani aliyelalamika kuuliza kwanini Gaddafi kawajengea? Hayupo.

Usijitoe akili makusudi kulinda maslahi yenu, ukweli ni kwamba, hao waarabu ni wachafu, na uchafu wao umethibitika kote walipokwenda kuwekeza dunia hii, hivyo hawawezi kufumbiwa macho na wasiopenda unafiki, wanaoijua kweli, na kuihubiri haki.
 
Nlikuwa na maumivu makali sana juu ya huu mkataba kwa nchi yetu.Lakini kwa huu mtazamo huu wa Askofu,from now on I will never care about bandari any more.Kupitia serikali(chini ya kanisa katoliki)Ilizuia tusiwe katika nchi za jumuiya ya kiislam.Lakini na hili la bandari kumbe kelele zote ni kwasababu ya mawazo kuwa waislam tutafaidi?Am off.
 
Ingekua ni muekezaji kutoka nchi ya kizungu angejenga shule tufaidi wote ila hawa wa satanic verses bure kabisa
 
Hampendi kuambia ukweli, mnadhani kwa ujinga wenu wa kuficha ukweli kila mmoja ni mnafiki, pole.
 

Sasa you get my point

Tuwapinge hao waarabu kwa rekodi yao mbaya na mkataba mbovu.

Ila askofu akishaanza kuhoji misaada yao ya futari na misikiti, atapoteza lengo na mjadala utaharibika kwa sababu ataulizwa tu kuwa atampangiaje mtu namna ya kutumia hela yake kama havunji sheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…