Askofu Kilaini kuendelea kuwa Askofu Msaidizi

Je rulenge na ngara Ni Jimbo kuu au

Kwa hyo mkoa mmoja inaweza kuwa na maaskofu wawili au Zaid na nn kigezo kuwa hvyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapana, ni jimbo la kawaida tu! Majimbo ya Kikatoliki hayajagawanywa sawa na majimbo ya kikristo mengine. Mipaka yake haifuati mkoa kwa mkoa. Ndiyo maana utakuta hilo Rulenge-Ngara linachukua mpaka mkoa wa Geita (Wilaya ya Chato). Kigezo cha kutengeneza jimbo sana sana huwa ni ukubwa wa eneo na wingi wa watu. Sasa unasema Kagera ina majimbo mawili si hivyo tu Kagera pia ina jimbo la Kayanga (Karagwe). Hivyo mkoa wa Kagera una majimbo matatu (maaskofu watatu; NiweMugizi, Rwoma na Rweyongeza)!
 
Babu hatari Sana acha tu nafahamu ilo tukio sas tupeleke wapi watoto

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kesheni mkiomba msije mkaingia majaribuni.

Bwana asipoulinda mji, wakeshao wafanya kazi bure. Watoto wako mwachie Mungu huku ukitimiza majukumu yako kama mzazi.

YESU alisema Dunia ni sehemu ya majaribu, na walio wake bwana watajaribiwa kwelikweli na yule mwovu.

Ukisoma injili na maandiko mengine, utakubaliana na muhubiri kwamba duniani hakuna jipya, na kwamba yote yalisha tukia kitambo.

Mwenyezi Mungu ni mtakatifu, na utakatifu wake hauna kipimo. Mungu hakumuumba shetani bali malaika, na kutokana na uasi baadhi ya malaika waligeuka shetani. Kama Mungu aliumba viumbe vilivyokuja kukengeuka, sembuse kanisa lake la duniani?

Kanisa la Mungu linalosafiri duniani si tu kanisa la watakatifu, bali la wasafiri wote. Hivyo changamoto ni sehemu yake na linapaswa kujinyenyekesha katika yeye aliye mkuu ili kuyashinda yote.

Neno moja la faraja kwa waamini ni kwamba, YESU mwenyewe alisema, shetani hatalishinda kanisa lake linalosafiri duniani mpaka atakaporudi, ingawa watakutana na vikwazo vigumu kupindukia na vya kukatisha tamaa na imani.
 
Kumbe ndivyo nikajuwa kuwa askofu wa bukoba ndie atakuwa askofu kwa mkoa mzima wa kageraa kumbe tofauti

Je kuwa au kuitwa Jimbo kuu inamaana gani ?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapana aisee...

Kutokana na mkoa wa kagera kuwa na wakatoliki wengi na mapadre wengi pia...mkoa huu na morogoro pekee ndo una majimbo matatu nchini...

Kagera kuna majimbo ya Bukoba ( muleba, bukoba yote vijiji na mjini, misenyi) yaan kimsingi uhayani tu...
Jimbo la kayanga ( wilaya za karagwe na kyerwa)
Jimbo la Rulenge ngara ( wilaya za ngara, biharamulo na chato)...

Jimbo kuitwa jimbo kuu..ina maana ni jimbo mama ambalo askofu wake anasimamia maaskofu wengine pia...yaani ni kama kanda kwwnye serikali...
So jimbo kuu la mwanza lipo na majimbo ya bukoba, bunda, musoma, geita, kahama, kayanga na Rulenge

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nimekuelewa mkuu mm Ni mlutheri ila napenda San kufahamu uongozi wenu uko vip

Kwa hyo Hakuna means yoyote either in future bukoba kuwa Jimbo kuu mnk Ina kila sababu kuwa hvyo lbda siasa za kanisa lenu pia inachangia

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hapana, ni jimbo la kawaida tu! Majimbo ya Kikatoliki hayajagawanywa sawa na majimbo ya kikristo mengine. Mipaka yake haifuati mkoa kwa mkoa. Ndiyo maana utakuta hilo Rulenge-Ngara linachukua mpaka mkoa wa Geita (Wilaya ya Chato). Kigezo cha kutengeneza jimbo sana sana huwa ni ukubwa wa eneo na wingi wa watu. Sasa unasema Kagera ina majimbo mawili si hivyo tu Kagera pia ina jimbo la Kayanga (Karagwe). Hivyo mkoa wa Kagera una majimbo matatu (maaskofu watatu; NiweMugizi, Rwoma na Rweyongeza)!
Asnte San kwa ufafanuzi mzuri ,je vip sas kilaini kwann yey hakupewa nafsi hiyo askofu mkuu mwandamiz muda wote amejulikana Kama askofu msadizi tu wakt in real sense Ni askofu mwandamiz hata ruwahichi nae si askofu mwnadamizi lkn yey amepanda faster na kuwa mwadhama Bab askofu na ndie amepewa jimbo la dsm Kuna nn katoliki Kia's kwamba kuwa askofu Ni picha picha San Kia's kwamba uwez tambua haraka kipi Ni kipi na kwanin

Asnte Sana Kama utanipa ufafanuzi pia nitashukuru

instanbul pia unaweza nijibu Happ mnk naona unaufahamu fln hv juu ya kanisa lenu Ni Jambo napenda San mtu kujuwa mfumo wa kanisa lake ,siyo mtu unakuwa Kama rfk angu mmoja HV mkatoli mzuri tu ila hajui ranging za uongoz Wala kuwajuwa viongoz wake waandamzi yupoyupo tu.
NB
Mm Ni mlutheri ila nafatilia sna mambo ya haya makanisa makuu hapa nnchini
 
View attachment 2374547
Picha: Askofu Kilaini

Huyu ni Senior Askofu wa Roman Catholic toka akiwa Dsm hadi sasa hivi bado ni Askofu Msaidizi huko Jimbo Catholic Bukoba!

Na leo Catholic wametoa waraka kwamba Askofu wa Jimbo Catholic Bukoba anastaafu kutoka na sheria za kanisa za kufikisha miaka 75! Lakini limetoka tangazo kutoka TEC, Askofu Kilaini atakua muangalizi wa Jimbo!

Je, Kilaini aliwakosea nini Roma?

View attachment 2373787
Kilaini anastaafu mwakani
 
Hapana aisee...

Kutokana na mkoa wa kagera kuwa na wakatoliki wengi na mapadre wengi pia...mkoa huu na morogoro pekee ndo una majimbo matatu nchini...

Kagera kuna majimbo ya Bukoba ( muleba, bukoba yote vijiji na mjini, misenyi) yaan kimsingi uhayani tu...
Jimbo la kayanga ( wilaya za karagwe na kyerwa)
Jimbo la Rulenge ngara ( wilaya za ngara, biharamulo na chato)...

Jimbo kuitwa jimbo kuu..ina maana ni jimbo mama ambalo askofu wake anasimamia maaskofu wengine pia...yaani ni kama kanda kwwnye serikali...
So jimbo kuu la mwanza lipo na majimbo ya bukoba, bunda, musoma, geita, kahama, kayanga na Rulenge

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Umemaliza Kila kitu
 
Nimekuelewa mkuu mm Ni mlutheri ila napenda San kufahamu uongozi wenu uko vip

Kwa hyo Hakuna means yoyote either in future bukoba kuwa Jimbo kuu mnk Ina kila sababu kuwa hvyo lbda siasa za kanisa lenu pia inachangia

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Linaweza kuwa jimbo kuu baadae...maana kuna tetesi zinasema hivyo...ingawa ni moja ya majimbo makongwe nchini...
Jimbo kuu la mwanza ni kubwa mno...so linaweza kugawanya hapo mbele...na most likely Bukoba ndo linaweza kuwa jimbo likisimamia majimbo ya Bukoba, rulenge, kayanga hata geita..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Asnte San kwa ufafanuzi mzuri ,je vip sas kilaini kwann yey hakupewa nafsi hiyo askofu mkuu mwandamiz muda wote amejulikana Kama askofu msadizi tu wakt in real sense Ni askofu mwandamiz hata ruwahichi nae si askofu mwnadamizi lkn yey amepanda faster na kuwa mwadhama Bab askofu na ndie amepewa jimbo la dsm Kuna nn katoliki Kia's kwamba kuwa askofu Ni picha picha San Kia's kwamba uwez tambua haraka kipi Ni kipi na kwanin

Asnte Sana Kama utanipa ufafanuzi pia nitashukuru

instanbul pia unaweza nijibu Happ mnk naona unaufahamu fln hv juu ya kanisa lenu Ni Jambo napenda San mtu kujuwa mfumo wa kanisa lake ,siyo mtu unakuwa Kama rfk angu mmoja HV mkatoli mzuri tu ila hajui ranging za uongoz Wala kuwajuwa viongoz wake waandamzi yupoyupo tu.
NB
Mm Ni mlutheri ila nafatilia sna mambo ya haya makanisa makuu hapa nnchini
Askofu kilaini angeweza kupewa Uaskofu wa jimbo la Bukoba..lakin hata yeye hana muda mrefu atastaafu ( kama sikosei mwakani).....tena yeye alipata Uaskofu mapema akimtamgulia Askofu Rwoma aliyestaafu...

Lakin hata kihistoria jimbo la Bukoba linakuwaga gumu kiuongozi ( mapadre wake ni wengi na wengi wao ni watata sana) ndo maana linapewa maaskofu wenye nguvu na ushawishi haraka ( na utaona halitachelewa kupata Askofu mpya)...Bukoba ni jimbo la kwanza kuongozwa na Kardinali na wala sio jimbo kuu ( miaka ile ya Kardinali Rugambwa kabla hajaamishiwa Dar 1960-1968)..
Askofu msaidizi naye ni askofu lakin sio lazima awe Askofu mkuu wa Jimbo...

Kimsingi kanisa lina mambo mengi na kuna taratibu nyingi zinafuatwa mpaka kupata viongozi wake...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Linaweza kuwa jimbo kuu baadae...maana kuna tetesi zinasema hivyo...ingawa ni moja ya majimbo makongwe nchini...
Jimbo kuu la mwanza ni kubwa mno...so linaweza kugawanya hapo mbele...na most likely Bukoba ndo linaweza kuwa jimbo likisimamia majimbo ya Bukoba, rulenge, kayanga hata geita..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Je yapo majimbo mangapi makuu hapa nnchi je unaweza kunitajia kwa kila Jimbo kuu na askofu wake nitafurahi nikijuwa hilo

Naanza la dsm Jimbo kuu la dasm
Lapili Jimbo kuu la mwanza
N la tatu Jimbo kuu la mbeya mengine ninyepi na bishop wake

Asante

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ipi sema alipokuwa Dar ni kama alimfunika Cardinal ndio akahamishiwa Kagera, maana alikuwa na media coverage kubwa kuliko Pengo.
Ni figisu tu
Uko sahihi. Hii ndiyo sababu Kuu na sio vinginevyo. Kilaini na Ngalalekumtwa ni very intelligent priests na ni zao la Vatican na ni classmates walirudi Tanzania tayari wakiwa mapadri ( Kilaini ilibidi apate ruhusa maalumu kutoka kwa Pope ili apadirishwe akiwa na miaka 25. Miaka inayotakiwa ni 28.
Kipindi Ngalalekumtwa akiwa Naibu wa Askofu Sumbawanga alipigiwa vita sana kule hadi alivyorudishwa Iringa pia ulipokuwa Rais wa TEC , Pengo alikuwa anapinga lolote linalotolewa na TEC na kuna wakati TEC walitoa tamko dhidi ya Serikali, Pengo aliyekuwa hayupo kwenye kikao hicho alitoa tamko kupinga waraka huo.
Kilichomkuta Ngalalekumtwa akiwa Rais wa TEC ndicho kilichomkuta Kilaini ulipokuwa Askofu Msaidizi DSM. Alikuwa very popular kwa ajili ya mafundisho ya dini na ufafanuzi wa mambo mbali mbali kuhusu Imani Katoliki na waumini wakampenda sana bila kusahau umahiri wake wa kufundisha Historia ya Kanisa ingawa pia mathematician mzuri.
Zatatolewa sababu nyingi lakini people wants to avoid the big elephant in the room. My opinion, don't crucify me.
 
View attachment 2374547
Picha: Askofu Kilaini

Huyu ni Senior Askofu wa Roman Catholic toka akiwa Dsm hadi sasa hivi bado ni Askofu Msaidizi huko Jimbo Catholic Bukoba!

Na leo Catholic wametoa waraka kwamba Askofu wa Jimbo Catholic Bukoba anastaafu kutoka na sheria za kanisa za kufikisha miaka 75! Lakini limetoka tangazo kutoka TEC, Askofu Kilaini atakua muangalizi wa Jimbo!

Je, Kilaini aliwakosea nini Roma?

View attachment 2373787
Huenda na kilaini hayuko mbali sana na umri wa kustaafu
 
Back
Top Bottom