Askofu Kilaini kuendelea kuwa Askofu Msaidizi

Tena asivyosmati huyo mzee akaruhusu Bank ya Kanisa ndo itumike kutakatishia zile fedha, Pengo na Nuncio wa wakati ule walimshangaa sana mwamba, kaona kuchafuka yeye haitoshi akaamua achafue kabisa na jina la taasisi kupitia Bank ile, since then mwamba haaminikagi kabisa

Uzuri hatujasahau na sio lazima kusamehe ingawa tunaambiwa tusamehe lakini iendelee kuwemo kwenye hansard kwa watumishi walioko madhabahuni wenye njaa na wasiomuogopa Mungu huku wakilazimisha sisi ndio wenye dhambi tutubu! Acha ikae!
 
Huyu ni Senior Askofu wa Roman Catholic toka akiwa Dsm hadi sasa hivi bado ni Askofu Msaidizi huko Jimbo Catholic Bukoba!

Na leo Catholic wametoa waraka kwamba Askofu wa Jimbo Catholic Bukoba anastaafu kutoka na sheria za kanisa za kufikisha miaka 75! Lakini limetoka tangazo kutoka TEC, Askofu Kilaini atakua muangalizi wa Jimbo!

Je Kilaini aliwakosea nini Roma??View attachment 2373787
Kipindi Cha nyuma alikuwa chawa Sana,Hadi akafikia kusemà eti mgombea Fulani ni chaguo la Mungu.
 
Huyu ni Senior Askofu wa Roman Catholic toka akiwa Dsm hadi sasa hivi bado ni Askofu Msaidizi huko Jimbo Catholic Bukoba!

Na leo Catholic wametoa waraka kwamba Askofu wa Jimbo Catholic Bukoba anastaafu kutoka na sheria za kanisa za kufikisha miaka 75! Lakini limetoka tangazo kutoka TEC, Askofu Kilaini atakua muangalizi wa Jimbo!

Je Kilaini aliwakosea nini Roma??View attachment 2373787
Kilaini ana shambi ya kujihusisha na CCM.
Pia alikula Mlungula wa 40M wa Tegeta Escrow
 
Huyu ni Senior Askofu wa Roman Catholic toka akiwa Dsm hadi sasa hivi bado ni Askofu Msaidizi huko Jimbo Catholic Bukoba!

Na leo Catholic wametoa waraka kwamba Askofu wa Jimbo Catholic Bukoba anastaafu kutoka na sheria za kanisa za kufikisha miaka 75! Lakini limetoka tangazo kutoka TEC, Askofu Kilaini atakua muangalizi wa Jimbo!

Je Kilaini aliwakosea nini Roma??View attachment 2373787
Kwani utaratibu wa kuteua maaskofu wa majimbo na kuwapandisha madaraka ukoje? Tusaidie kwanza mahali utaratibu umekiukwa ili tuwe na mwanga wa kujadili
 
Mzigo upi huo mkuu ebu fungua code tuelewe
Uncle Ruge kuna wakati aliwapa mgao wake wa Tegeta Escrow watu wengi sana wakiwemo viongozi wa dini na wanasiasa wengi kama Mzee Chenge 1.5b, Anna Tibaijuka 1.5b, kina Ngeleja 40M, kina Ngurumo huyu jamaa alikua mnikulu enzi za Jakaya 80M na wengine wengi
 
Hata Mimi sielewi kilaini amekuwa askofu msaidizi wa kitambo sana.

Mapadri wanapewa full authority za jimbo kilaini anabaki msaidizi.

Hivi faults gani labda watuambie
 
Back
Top Bottom