Askofu Kilaini kuendelea kuwa Askofu Msaidizi

Askofu Kilaini kuendelea kuwa Askofu Msaidizi

Kwa hiyo jimbo katoliki la Bukoba linasubiri Askofu mkuu mwingine...

Kwa jimbo hili mara nyingi linakuwa na maaskofu wawili na wala sio jimbo kuu...wakati kuna majimbo mengine hayana maaskofu kabisa?

Miaka ya 60 na 70 jimbo hili lilikuwa na maaskofu wawili pia na kama hayupo basi kunakuwepo padre mkuu msaidizi kama wakati wa askofu timanywa
Ni jimbo kuu
 
Askofu Kilaini hata kupata nafasi ya kuwa askofu msaidizi ni neema kubwa.
Sio lazima kila askofu awe askofu mkuu.
Tuache kanisa lipange safu yake ya uongozi,kwenye kanisa hakuna mambo ya goli la mkono wala uchawa ili upate kuwa askofu.
Halafu husikii kuna migogoro kama kwingine.
 
Ombi langu kwenu kemeeni vitendo vya kilawiti na ubakaji wa watot ,bint angu Ni mroma Catholic huku mm baba ake nikiwa mfuasi wa nabii fln HV sin shida na mwanagu kuamua kubaki kuwa mkatoliki Ila hofu yangu ni juu ya usalama wake naogopa mno mkp juzi nilivyo ona hbr kule Moshi kuhisu padri sosntenes nikamuambia abadili au achane na ukatoliki ila mam ake amenijia juu san as if kwaba ni dhammbi kuama dhehebu Hilo

Ofu kubwa sna ninayo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Usilaumu sana... Yawezekana hapo unapoabudia ndipo kilipo kiti Cha enzi Cha shetani. Muombe Mungu akutoe tongotongo !!
 
Ombi langu kwenu kemeeni vitendo vya kilawiti na ubakaji wa watot ,bint angu Ni mroma Catholic huku mm baba ake nikiwa mfuasi wa nabii fln HV sin shida na mwanagu kuamua kubaki kuwa mkatoliki Ila hofu yangu ni juu ya usalama wake naogopa mno mkp juzi nilivyo ona hbr kule Moshi kuhisu padri sosntenes nikamuambia abadili au achane na ukatoliki ila mam ake amekaksnijia juu san as if kwaba ni dhammbi kuama dhehebu Hilo

Ofu kubwa sna ninayo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kaka kuna mwl wa Madrasa Arusha amewafukua watoto wa watu karibu 10 mwaka jana mpaka kaenda kukamatwa na mkuu wa wilaya ila hatusemi ni dini yake.
 
Ipi sema alipokuwa Dar ni kama alimfunika Cardinal ndio akahamishiwa Kagera, maana alikuwa na media coverage kubwa kuliko Pengo.
Ni figisu tu
Na mbaya zaidi kuna kipindi kilikuwa kinaitwa chimba chimba na yeye alikuwa anapata nafasi kwenye kipindi hicho naona aliwaudhi watawala wa kipindi hicho wakaona isiwe taabu hamisha huyu akawe chini ya mtu ili asipate nafasi ya kuongea LAKINI NI SMART SANA KICHWANI NA KUMBUKA KUWA WATU SMART SANA KICHWANI HAWAKUBARIKI KWANI WATA WAAMSHA WADANGANYIKA WALIO LALA HALAFU UTAWALA WAO UTAKUWA MGUMU SANA KUTUTAWALA
 
escrow deal, Vijisenti vya mboga!
 
Severin Niwemugizi na Magufuli sijui walikuwaga na bifu gani hawa watu! Magufuli ali cross the border aiseee! Alimpokonya passport Niwemugizi nakuanza kuchunguza Uraia wake
Jiwe alikuwa hataki kuambiwa ukweli kwani NIWEMUGIZI alisema kuwa watanzania wanataka katiba mpya hapo sasa jiwe akaona sasa ngoja nikutikise
 
Severin ni wa jimbo la Rulenge ngara linalohudumia wilaya za ngara na biharamulo mkoa wa kagera pamoja na chato mkoa wa geita...

Nyaisonga ni askofu mkuu wa jimbo kuu la mbeya
Kumbe ndivyo nikajuwa kuwa askofu wa bukoba ndie atakuwa askofu kwa mkoa mzima wa kageraa kumbe tofauti

Je kuwa au kuitwa Jimbo kuu inamaana gani ?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Askofu Niwe-Mugizi yuko jimbo Katoliki Rulenge-Ngara na Gervais Mwasikwabhila Nyaisonga ni Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Mbeya!
Je rulenge na ngara Ni Jimbo kuu au

Kwa hyo mkoa mmoja inaweza kuwa na maaskofu wawili au Zaid na nn kigezo kuwa hvyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom