Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,024
- 26,389
Jimbo la Tanga Sasa inaenda miaka 2 halina askofu mkuu ndani afariki Mhashamu askofu Antoni banzi
Jimbo la Tanga halina askofu hadi Leo Tangu afariki askofu Antoni banziM
Mfano jimbo gani halina Bishop?
Jimbo la Tanga Sasa inaenda miaka 2 halina askofu mkuu ndani afariki Mhashamu askofu Antoni banzi
Ila huyo askofu Ana history yake muhimu sna huwa nikisomaga nafutiwa nae snaHuyu ni Senior Askofu wa Roman Catholic toka akiwa Dsm hadi sasa hivi bado ni Askofu Msaidizi huko Jimbo Catholic Bukoba!
Na leo Catholic wametoa waraka kwamba Askofu wa Jimbo Catholic Bukoba anastaafu kutoka na sheria za kanisa za kufikisha miaka 75! Lakini limetoka tangazo kutoka TEC, Askofu Kilaini atakua muangalizi wa Jimbo!
Je Kilaini aliwakosea nini Roma??View attachment 2373787
Pengo alienda kushitaki mpaka kwa mzee wa Msoga vita ikafika mpaka Vatican ndo hakutupwa bukobaIpi sema alipokuwa Dar ni kama alimfunika Cardinal ndio akahamishiwa Kagera, maana alikuwa na media coverage kubwa kuliko Pengo.
Ni figisu tu
Ile kashfa ilimjumuisha pia Askofu Eusebius Nzigirwa, mbona huyu alipewa jimbo?Inawezekana bado yuko chini ya uangalizi kutokana na ile kashfa ya wakati ule.
Kigezo Ni kipii kuwa Jimbo kuuJimbo la Tanga halijakuwa na hadhi ya kuwa na Askofu Mkuu kwa vile siyo jimbo kuu!
Sas kwanin Tena karudishwa dar Kisha bukoba Tena sioni kma Ni Kweli hzo tuhumaHivi hujui Kilaini ana tuhuma za ufisadi?
Pesa anapeleka wapi wakati anatunzwa na kanisa kuu?Kilaini ana shambi ya kujihusisha na CCM.
Pia alikula Mlungula wa 40M wa Tegeta Escrow
Sadakaaa
Mkuu huyu severini neyemugiz Ni wapi anahudumu ktk Jimbo ganiKwa hiyo jimbo katoliki la Bukoba linasubiri Askofu mkuu mwingine...
Kwa jimbo hili mara nyingi linakuwa na maaskofu wawili na wala sio jimbo kuu...wakati kuna majimbo mengine hayana maaskofu kabisa?
Miaka ya 60 na 70 jimbo hili lilikuwa na maaskofu wawili pia na kama hayupo basi kunakuwepo padre mkuu msaidizi kama wakati wa askofu timanywa
Katoliki kuwa askofu Lazima umenyeke tofaut na ndugu zetu kwenye mafuta na chumviNjombe na Tanga
Severin ni wa jimbo la Rulenge ngara linalohudumia wilaya za ngara na biharamulo mkoa wa kagera pamoja na chato mkoa wa geita...Mkuu huyu severini neyemugiz Ni wapi anahudumu ktk Jimbo gani
Gervanc nyaisongwa nae Ni wapi anaudumia Jimbo gani
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mbona yapo mengi tu...M
Mfano jimbo gani halina Bishop?
Kwani barua inatoka kwa nani? Muulize huyoHuyu ni Senior Askofu wa Roman Catholic toka akiwa Dsm hadi sasa hivi bado ni Askofu Msaidizi huko Jimbo Catholic Bukoba!
Na leo Catholic wametoa waraka kwamba Askofu wa Jimbo Catholic Bukoba anastaafu kutoka na sheria za kanisa za kufikisha miaka 75! Lakini limetoka tangazo kutoka TEC, Askofu Kilaini atakua muangalizi wa Jimbo!
Je Kilaini aliwakosea nini Roma??View attachment 2373787
Kwa hiyo huko ulipo ni kwa watakatifu?Ombi langu kwenu kemeeni vitendo vya kilawiti na ubakaji wa watot ,bint angu Ni mroma Catholic huku mm baba ake nikiwa mfuasi wa nabii fln HV sin shida na mwanagu kuamua kubaki kuwa mkatoliki Ila hofu yangu ni juu ya usalama wake naogopa mno mkp juzi nilivyo ona hbr kule Moshi kuhisu padri sosntenes nikamuambia abadili au achane na ukatoliki ila mam ake amenijia juu san as if kwaba ni dhammbi kuama dhehebu Hilo
Ofu kubwa sna ninayo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Lina wawili kutokana na kilaini kutokewa dsm kipindi chá sekeseke la escrow walimleta bukoba Ili apumzikeKwa hiyo jimbo katoliki la Bukoba linasubiri Askofu mkuu mwingine...
Kwa jimbo hili mara nyingi linakuwa na maaskofu wawili na wala sio jimbo kuu...wakati kuna majimbo mengine hayana maaskofu kabisa?
Miaka ya 60 na 70 jimbo hili lilikuwa na maaskofu wawili pia na kama hayupo basi kunakuwepo padre mkuu msaidizi kama wakati wa askofu timanywa
Askofu Niwe-Mugizi yuko jimbo Katoliki Rulenge-Ngara na Gervais Mwasikwabhila Nyaisonga ni Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Mbeya!Mkuu huyu severini neyemugiz Ni wapi anahudumu ktk Jimbo gani
Gervanc nyaisongwa nae Ni wapi anaudumia Jimbo gani
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Severin Niwemugizi na Magufuli sijui walikuwaga na bifu gani hawa watu! Magufuli ali cross the border aiseee! Alimpokonya passport Niwemugizi nakuanza kuchunguza Uraia wakeSeverin ni wa jimbo la Rulenge ngara linalohudumia wilaya za ngara na biharamulo mkoa wa kagera pamoja na chato mkoa wa geita...
Nyaisonga ni askofu mkuu wa jimbo kuu la mbeya