Askofu Kilaini kuendelea kuwa Askofu Msaidizi

Askofu Kilaini kuendelea kuwa Askofu Msaidizi

Bususwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
468
Reaction score
1,132
1664697064572.png

Picha: Askofu Kilaini

Huyu ni Senior Askofu wa Roman Catholic toka akiwa Dsm hadi sasa hivi bado ni Askofu Msaidizi huko Jimbo Catholic Bukoba!

Na leo Catholic wametoa waraka kwamba Askofu wa Jimbo Catholic Bukoba anastaafu kutoka na sheria za kanisa za kufikisha miaka 75! Lakini limetoka tangazo kutoka TEC, Askofu Kilaini atakua muangalizi wa Jimbo!

Je, Kilaini aliwakosea nini Roma?

Screenshot_20221001-134903.jpg
 
Askofu Kilaini hata kupata nafasi ya kuwa askofu msaidizi ni neema kubwa.

Sio lazima kila askofu awe askofu mkuu.

Tuache kanisa lipange safu yake ya uongozi, kwenye kanisa hakuna mambo ya goli la mkono wala uchawa ili upate kuwa askofu.
 
Ni utaratibu tu
Askofu Msaidizi hana haki ya kurithi jimbo. Ni tofauti na askofu mwandamizi ambaye yeye ana haki ya kurithi!

Askofu Kilaini ana umri mkubwa hakuna sababu ya kumsimika kuwa askofu kamili wa jimbo kwa sababu nae yupo katika umri wa kustaafu.

Tena wamempa heshima kubwa wangeweza kumteua padre tu akawa msimamizi wa jimbo wa mpito!
Pamoja na sbb za kidini lakini mambo haya yana siasa ndani yake!
 
Kwa hiyo jimbo katoliki la Bukoba linasubiri Askofu mkuu mwingine...

Kwa jimbo hili mara nyingi linakuwa na maaskofu wawili na wala sio jimbo kuu...wakati kuna majimbo mengine hayana maaskofu kabisa?

Miaka ya 60 na 70 jimbo hili lilikuwa na maaskofu wawili pia na kama hayupo basi kunakuwepo padre mkuu msaidizi kama wakati wa askofu timanywa
 
Huyu ni Senior Askofu wa Roman Catholic toka akiwa Dsm hadi sasa hivi bado ni Askofu Msaidizi huko Jimbo Catholic Bukoba!

Na leo Catholic wametoa waraka kwamba Askofu wa Jimbo Catholic Bukoba anastaafu kutoka na sheria za kanisa za kufikisha miaka 75! Lakini limetoka tangazo kutoka TEC, Askofu Kilaini atakua muangalizi wa Jimbo!

Je Kilaini aliwakosea nini Roma??View attachment 2373787
Hivi hujui Kilaini ana tuhuma za ufisadi?
 
M
Kwa hiyo jimbo katoliki la Bukoba linasubiri Askofu mkuu mwingine...

Kwa jimbo hili mara nyingi linakuwa na maaskofu wawili na wala sio jimbo kuu...wakati kuna majimbo mengine hayana maaskofu kabisa?

Miaka ya 60 na 70 jimbo hili lilikuwa na maaskofu wawili pia na kama hayupo basi kunakuwepo padre mkuu msaidizi kama wakati wa askofu timanywa
Mfano jimbo gani halina Bishop?
 
Kulingana na utaratibu au sheria za kanisa katoliki, kuna aina ya maaskofu daima hubakia wasaidizi. Aina hiyo mmoja wapo ni Askofu Kilain.
Ina maana hana vigezo kupata hiyo nafasi ya juu?
 
Hivi alichotewamo vile visenti vya mboga kwenye mifuko ya sandarusi?
Tena asivyosmati huyo mzee akaruhusu Bank ya Kanisa ndo itumike kutakatishia zile fedha, Pengo na Nuncio wa wakati ule walimshangaa sana mwamba, kaona kuchafuka yeye haitoshi akaamua achafue kabisa na jina la taasisi kupitia Bank ile, since then mwamba haaminikagi kabisa
 
Back
Top Bottom