Hapana aisee...
Kutokana na mkoa wa kagera kuwa na wakatoliki wengi na mapadre wengi pia...mkoa huu na morogoro pekee ndo una majimbo matatu nchini...
Kagera kuna majimbo ya Bukoba ( muleba, bukoba yote vijiji na mjini, misenyi) yaan kimsingi uhayani tu...
Jimbo la kayanga ( wilaya za karagwe na kyerwa)
Jimbo la Rulenge ngara ( wilaya za ngara, biharamulo na chato)...
Jimbo kuitwa jimbo kuu..ina maana ni jimbo mama ambalo askofu wake anasimamia maaskofu wengine pia...yaani ni kama kanda kwwnye serikali...
So jimbo kuu la mwanza lipo na majimbo ya bukoba, bunda, musoma, geita, kahama, kayanga na Rulenge
Sent from my SM-A032F using
JamiiForums mobile app