Askofu Kilaini kuendelea kuwa Askofu Msaidizi

Je yapo majimbo mangapi makuu hapa nnchi je unaweza kunitajia kwa kila Jimbo kuu na askofu wake nitafurahi nikijuwa hilo

Naanza la dsm Jimbo kuu la dasm
Lapili Jimbo kuu la mwanza
N la tatu Jimbo kuu la mbeya mengine ninyepi na bishop wake

Asante

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
1:-Jimbo kuu la Tabora- Paul R Ruzoka
2:-Jimbo kuu la DSM:- Ruwaichi
3:-Jimbo kuu la Songea:- Damian Denis Dalu
4:- Jimbo kuu la Mwanza:- Renatus Nkwande
5:-Jimbo kuu la Arusha:- Isack Amani
6:-Jimbo kuu la Dodoma:- Beatus Kinyaia
7:-Jimbo kuu la Mbeya:- Gervas Nyaisonga

Majina yao unapoyasoma anza na Mhashamu Baba Askofu
 
Hata kabla ya huyu...

Askofu Timanywa alikuwa na msaidizi wake...
Askofu Rugambwa alikuwa na msaidizi wake Askofu nkaranga...
Askofu sweens na yeye pia...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wakati wa askofu Timanywa bukoba haikua na askofu msaidizi kwa kipindi kirefu, walikuwepo wasaidizi wa askofu yaani mababa vicar general ambao ni mapadre sio maaskofu, tena tukawa tunasema babu Timanywa anamkono mzuri, wasaidizi wake wengi walikua wanateuliwa kuwa maaskofu wa majimbo mbalimbali, mfano ni askofu kyaruzi mstaafu wa sumbawanga, askofu Rwoma, mstaafu bukoba na rweyongeza wa karagwe. Na mnaoleta hoja kuwa askofu nkalanga (rip) alikua askofu msaidizi enzi za cardinal rugambwa nadhan mmesahau au hamfahamu historia ya jimbo la bukoba vzr.
 
Kumbe ndivyo nikajuwa kuwa askofu wa bukoba ndie atakuwa askofu kwa mkoa mzima wa kageraa kumbe tofauti

Je kuwa au kuitwa Jimbo kuu inamaana gani ?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tunaombea hilo litokee, bukoba iteuliwe kuwa jimbo kuu, naamini idadi ya waamini inatosha na kanisa limeendelea sana kiimani, kielimu, kiuchumi na kihistoria. Hivyo, bk ikiwa jimbo kuu yaani metropolitan, itaundwa na majimbo ya bukoba, kayanga na rulenge. Pia metropolitan ya mwanza itapumua maana ina majimbo mengi mno kwa sasa...yaani mwanza, bunda, musoma, shinyanga, geita, bukoba, kayanga na rulenge_ngara na bado Kuna mchakato wa kuunda majimbo mapya, yanaweza kufika hata kumi siku si nyingi.
 
Je yapo majimbo mangapi makuu hapa nnchi je unaweza kunitajia kwa kila Jimbo kuu na askofu wake nitafurahi nikijuwa hilo

Naanza la dsm Jimbo kuu la dasm
Lapili Jimbo kuu la mwanza
N la tatu Jimbo kuu la mbeya mengine ninyepi na bishop wake

Asante

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ingia kwenye website ya TEC.
Majibu ya maswali yako yapo pale.
 
Hapana aisee...

Kutokana na mkoa wa kagera kuwa na wakatoliki wengi na mapadre wengi pia...mkoa huu na morogoro pekee ndo una majimbo matatu nchini...

Kagera kuna majimbo ya Bukoba ( muleba, bukoba yote vijiji na mjini, misenyi) yaan kimsingi uhayani tu...
Jimbo la kayanga ( wilaya za karagwe na kyerwa)
Jimbo la Rulenge ngara ( wilaya za ngara, biharamulo na chato)...

Jimbo kuitwa jimbo kuu..ina maana ni jimbo mama ambalo askofu wake anasimamia maaskofu wengine pia...yaani ni kama kanda kwwnye serikali...
So jimbo kuu la mwanza lipo na majimbo ya bukoba, bunda, musoma, geita, kahama, kayanga na Rulenge

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kahama iko Jimbo kuu la Tabora mkuu
 
Mbona Salutarus Ndibena na Nzigilwa ni Maaskofu Mahenge na Mpanda japo walipata mgao wa Escrow aka hela ya mboga?
Yeye tayari alikuwa huko Bukoba kipindi cha huo mgawo, na kila mmoja alijielezea jinsi alivyopewa na wengine walirudisha
 
Wakati wa askofu Timanywa bukoba haikua na askofu msaidizi kwa kipindi kirefu, walikuwepo wasaidizi wa askofu yaani mababa vicar general ambao ni mapadre sio maaskofu, tena tukawa tunasema babu Timanywa anamkono mzuri, wasaidizi wake wengi walikua wanateuliwa kuwa maaskofu wa majimbo mbalimbali, mfano ni askofu kyaruzi mstaafu wa sumbawanga, askofu Rwoma, mstaafu bukoba na rweyongeza wa karagwe. Na mnaoleta hoja kuwa askofu nkalanga (rip) alikua askofu msaidizi enzi za cardinal rugambwa nadhan mmesahau au hamfahamu historia ya jimbo la bukoba vzr.
Hebu tufafanulie...Askofu nkaranga alikuwa nani pale Bukoba...
 
Jimbo la Tanga Sasa inaenda miaka 2 halina askofu mkuu ndani afariki Mhashamu askofu Antoni banzi
Sio rahisi hivyo kumpata Askofu mwingine baada ya mtangulizi kufariki, mbona huo muda ni mchache sana kuna majimbo huwa yanakaa muda mrefu mpaka mnamzoea msimamizi kama ndiye Askofu wenu, ile ni nafasi muhimu sana sio kama mikeka hii ya kila siku.
 
Nzingira nae alitafuna mzigo ule wa Ruge lakini yeye alipewa Uaskofu huko Rukwa kama sio Katavi
Zile pesa Nzigilwa alizirudisha
Zilipoingia kwenye akaunti aliliripoti kanisani .Kikaoni sina uhakika kama alifanya hivyo!!!
 
Nazungumzia Bukoba maana inatajwa kama vile yapo majimbo kibao kumbe ni Bukoba tu
Bukoba ni jimbo la kawaida tu...sema ni kongwe, lina mapadre wengi, na limetoa maaskofu wengi...na ni maarufu so ni jimbo lenye ushawishi mkubwa kwenye ukatoliki wa Tz...
 
Je yapo majimbo mangapi makuu hapa nnchi je unaweza kunitajia kwa kila Jimbo kuu na askofu wake nitafurahi nikijuwa hilo

Naanza la dsm Jimbo kuu la dasm
Lapili Jimbo kuu la mwanza
N la tatu Jimbo kuu la mbeya mengine ninyepi na bishop wake

Asante

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Jimbo Kuu la Dar es Salaam - Askofu Mkuu Ruwaichi
Jimbo Kuu la Tabora - Askofu Mkuu Ruzoka
Jimbo Kuu la Mwanza - Askofu Mkuu Nkwande
Jimbo Kuu la Arusha - Askofu Mkuu Amani
Jimbo Kuu la Mbeya - Askofu Mkuu Nyaisonga
Jimbo Kuu la Songea = Askofu Mkuu Dallu
 
Uko sahihi. Hii ndiyo sababu Kuu na sio vinginevyo. Kilaini na Ngalalekumtwa ni very intelligent priests na ni zao la Vatican na ni classmates walirudi Tanzania tayari wakiwa mapadri ( Kilaini ilibidi apate ruhusa maalumu kutoka kwa Pope ili apadirishwe akiwa na miaka 25. Miaka inayotakiwa ni 28.
Kipindi Ngalalekumtwa akiwa Naibu wa Askofu Sumbawanga alipigiwa vita sana kule hadi alivyorudishwa Iringa pia ulipokuwa Rais wa TEC , Pengo alikuwa anapinga lolote linalotolewa na TEC na kuna wakati TEC walitoa tamko dhidi ya Serikali, Pengo aliyekuwa hayupo kwenye kikao hicho alitoa tamko kupinga waraka huo.
Kilichomkuta Ngalalekumtwa akiwa Rais wa TEC ndicho kilichomkuta Kilaini ulipokuwa Askofu Msaidizi DSM. Alikuwa very popular kwa ajili ya mafundisho ya dini na ufafanuzi wa mambo mbali mbali kuhusu Imani Katoliki na waumini wakampenda sana bila kusahau umahiri wake wa kufundisha Historia ya Kanisa ingawa pia mathematician mzuri.
Zatatolewa sababu nyingi lakini people wants to avoid the big elephant in the room. My opinion, don't crucify me.

Yote kwa yote
Issue ya escrow kupokea pesa na kuruhusu pesa zipitie benki ya kanisa liko wazi hata kwa mtoto mdogo anajua!
 
Back
Top Bottom