Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,061
- 10,355
Huyo kilaini atajieleza nini zaidi ya kukubali kuwa amekula mlungula.?
Mkuu, kwenye hili sikuungi mkono. Kilaini ufisadi wake ni kutokana na kuwa na nasaba na Lowasa na si JKmnafiki mkubwa Kilain! eti kikwete ni chaguo la Mungu! mungu yupi? mungu wa mafisadi?
Mkuu, kwenye hili sikuungi mkono. Kilaini ufisadi wake ni kutokana na kuwa na nasaba na Lowasa na si JK
mkuu atajieleza mbele ya baraza la maaskofu tecKilaini atajieleza kwa nani? Wote si wale wale. Kama wana jeuzi na waifunge Benki yao ya Mkombozi
Nitatofautiana nawe kidogo mkuu, alipokuwa akisema JK ni chaguo la Mungu, Kilaini alikuwa ana maana ya kupewa maono ya kuwa JK ndiye amechaguliwa na Mungu, kuja kuizika rasmi CCM na kuwa itamfia mikononi mwake!bora tumegundua mapema
mwakani angekuja makanisani na kuanza kubwabwaja kua Pinda ni chaguo la Mungu ka alivyowaingiza watz mjini mwaka 2005
mnafiki mkubwa Kilain! eti kikwete ni chaguo la Mungu! mungu yupi? mungu wa mafisadi?
Subirini Mshindo mkubwa utakaotoka kinywani mwa Benjamin William Mkapa wakati ukifika.
Waulizeni Kigoda cha Mwalimu Nyerere....walimualika wakidhani ataogopa na kunywea kama mnavomshambulia hapa na AnBen,Kiwira na blabla zingine.
Kilaini atajieleza kwa nani? Wote si wale wale. Kama wana jeuzi na waifunge Benki yao ya Mkombozi