Askofu Kilaini aitwa Dar es Salaam na Kanisa Katoliki

Anaitwa kujieleza nini ambacho hakijulikani??
Wanataka wasikie akisema nini ambacho hakifahamiki??
Ni upuuzi huu huu wa kufumbiana macho ndio uliopelekea jamii na taifa zima kufikia hapa tulipo.
ANGALIZO: Tatizo la yeyote anayemhoji Kilaini ni moja tu - lazima awe ni mtu aliyejipanga maana mzee ni arrogant and intelligent but also extremely doggy !!!

Ningeshauri Kilaini afukuzwe!
 
Back
Top Bottom