PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
Wana jamvi kwa taarifa nilizopata muda so mrefu ni kuwa Askofu machachari (Kilaini) amerejeshwa makao makuu ya kanisa Katoliki kujieleza kufuatia kuhusishwa na wizi wa fedha za uma katika account ya escrow
Na huenda akasimamishwa kuhudumia kondoo wa bwana kulingana na sheria za kanisa.
Tususiri kuona nini kitatokea.
Makao makuu ya kanisa yapo Vatican.

Toka mwanzo Askofu Kilaini alishema JK ni chaguo la Mungu. Nadhani amelipwa hizo hela kwa kuliona hilo. Kwa Papa Francis wa sasa kama atapewa taarifa vizuri, Kilaini hachomoki hapo. Kilaini si mchunga kondoo, bali anawaua kondoo.
Ccm bwana kwahiyo ous unataka kutuamimisha kuwa Tanzania Haina makao makuu ya kanisa
Mkuu hata mimi mwanzoni nilidhani unamaanisha Vatican. Makao makuu ya Kanisa Katoliki yapo Vatican tu na sio mahali pengine popote! Wala hakuna kitu kinachoitwa Makao (sembuse Makuu) ya Kanisa Katoliki Tanzania; hakuna.
Kikanisa, nchi imegawanyika katika majimbo ambayo yanaongozwa na maaskofu ambao kila mmoja anaripoti kwa Papa moja kwa moja. Unapoitazama Tanzania kwa jicho la Papa (Vatican) kinachoonekana ni Majimbo na maaskofu wake.
Makao makuu ya kanisa yapo Vatican.
Wana jamvi kwa taarifa nilizopata muda so mrefu ni kuwa Askofu machachari (Kilaini) amerejeshwa makao makuu ya kanisa Katoliki kujieleza kufuatia kuhusishwa na wizi wa fedha za uma katika account ya escrow
Na huenda akasimamishwa kuhudumia kondoo wa bwana kulingana na sheria za kanisa.
Tususiri kuona nini kitatokea.
Acha kupotosha Sema Makao Makuu ya Kanisa Katoliki ndiyo yako Vatikani lkn KKKT, Kakobe, Gwajima n.k makao Makuu yako hapa hapa Bongo!
Ccm bwana kwahiyo ous unataka kutuamimisha kuwa Tanzania Haina makao makuu ya kanisa
Kwani wewe ulidhani tunawaongelea walokole?